Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Acha kuweweseka.Ukiskia ujinga ndio huo sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kuweweseka.Ukiskia ujinga ndio huo sasa
Of course kama Watanzania haturuhusiwi kwenda kwao sasa hizo ndege huku zije kumhudumia nani? Wakae nazo na sisi tunazo zetu pia.Nani ametukuzwa tena? Kenya kapiga marufuku sisi kuingia kwao na sisi tumemtandika panapouma zaidi ndege isije. What is Kenya? UAE mbona hawakupiga marufuku watu wametoa utaratibu tu upimwe uende na cheti. Jino kwa jino.
Kenyata amekula hela za mkopo za covid19...ndio maana mpaka leo kanatoa data!
Sisi hatueleweki ktk data za covid19 mabeberu hawatuelewi kabisa tumepitaje pitaje!
Kajamaa bado kanatumiwa haka,sie tunakubari wawekazaji wakubwa hapa niwakenya,lkn huyu dogo bado ana kiburi anang'ata na kupuliza.
Wacha akaziwe tu...anatutingisha tu.
Yaani Jirani yako amkataze mtoto wako kwenda kucheza na mtoto wake halafu wewe umruhusu mtoto wake kuja kucheza na mwanao!Agressions zote za nini hizi?
Kuna namna nzuri ya ku-address what Kenya did na sio huu utoto wa shortcuts namna hii!
Wewe umejaza makorona nchini mwako,Kenya lazima wachukue hatua,and then na wewe unachukua jibu rahisi sana la kukataza zao?
Majibu yaliyofeli shule bwana,hesabu ngumu hayawezi,yanaweza hesabu rahisi rahisi tu....
Cheza chess hii!
Ndio shida na huu utawala,hautumiagi akili katika higher levels kabisa!
We ndo kichwa panzi ten times.Mkuu
Nitoe siri gani mzee?
Serikali ina siri gani?Siri za serikali ni crimes done by watawala towards wananchi,hizo ndio siri za serikali which sio siri ni crimes which need to be exposed.
That said....Hawa watawala wetu hawatumii akili kisawasawa,hii kuandika tangazo la kupiga marufuku ni njia rahisi sana na ni shortcut...
Tunataka vichwa viumie kutoa jawabu considering every aspect is taken care of....
Tatizo hawa watawala wa mawe ni vichwa panzi,akili hamna mle!
Exactly.Of course kama Watanzania haturuhusiwi kwenda kwao sasa hizo ndege huku zije kumhudumia nani? Wakae nazo na sisi tunazo zetu pia.
[emoji23][emoji23][emoji23]tumewasadia piaKenya Kuna COVID-19, Kitendo cha Serikali kuzuia KQ kutua Tanzania Tukipongeze, Wale tukiruhusu kuleta ndege Watatuletea Corona Tu
Jifariji hivyo hivyo soon kenyata atakuja kuomba msamahaHAHAHAHA, Kelele za chura hiyo. Uganda ama Rwanda zikifunga Kenya inaweza kuumia lakini si Tanzania. KQ na mtoto wake jambo jet zinaenda entebbe na kigali kushinda dar na hizo vitu zingine umetaja.
Sawa,na wewe kuzuia ni economically viable kwako au unakurupuka sababu pumbu zinawawasha?
Kumbuka Nairobi ni international hub mizigo na watalii wote wanatumia route ya Nairobi kuja TZ,kwahiyo unawalazimisha waende Cape Town ndio waje TZ?
Watakuja tena?
Pigeni hesabu ya hasara na financial projections muone kama ni economically meaningful kwenu acheni bangi za Chato!
Kwa msongamano unaoendelea Covid haiezi pungua Tz
Ndio maana nakwambia,y'all need to go to the drawing board,uamuzi mliochukua ni uamuzi rahisi sana hata kichaa wa mirembe angeuchukua..
Mzee,huwezi nielekeza cha kuongea humu wala mimi siwezi kuelekeza chochote humu!
Kenya imefungia nchi zaidi ya 250,TZ ni one of them..shida mmepaniki na kuchukulia personal,too bad Nairobi ni regional hub EA hapa,mizigo yote itakwamia hapo,na abiria wote hawawezi enda long route ya Cape Town eti ndio waje TZ....
Jawabu sio rahisi kiivyo kama mlivyotoa,is that economically at your best interest au mmeenda kula pilipili kichaa za Chattle huko?
This is chess and not checkers...
Any scientific proof? Kama hupimi unajuaje kuwa hakuna circulating/latent viruses among the population?Tanzania Corona imetokomezwa.