Serikali ya Tanzania yazuia ndege kutoka shirika la Kenya Airways kutua Dar, Kilimanjaro na Zanzibar

Serikali ya Tanzania yazuia ndege kutoka shirika la Kenya Airways kutua Dar, Kilimanjaro na Zanzibar

Nani ametukuzwa tena? Kenya kapiga marufuku sisi kuingia kwao na sisi tumemtandika panapouma zaidi ndege isije. What is Kenya? UAE mbona hawakupiga marufuku watu wametoa utaratibu tu upimwe uende na cheti. Jino kwa jino.
Of course kama Watanzania haturuhusiwi kwenda kwao sasa hizo ndege huku zije kumhudumia nani? Wakae nazo na sisi tunazo zetu pia.
 
Kweli mkuuu...!!
Kenyata amekula hela za mkopo za covid19...ndio maana mpaka leo kanatoa data!
Sisi hatueleweki ktk data za covid19 mabeberu hawatuelewi kabisa tumepitaje pitaje!
Kajamaa bado kanatumiwa haka,sie tunakubari wawekazaji wakubwa hapa niwakenya,lkn huyu dogo bado ana kiburi anang'ata na kupuliza.

Wacha akaziwe tu...anatutingisha tu.
 
Agressions zote za nini hizi?

Kuna namna nzuri ya ku-address what Kenya did na sio huu utoto wa shortcuts namna hii!

Wewe umejaza makorona nchini mwako,Kenya lazima wachukue hatua,and then na wewe unachukua jibu rahisi sana la kukataza zao?

Majibu yaliyofeli shule bwana,hesabu ngumu hayawezi,yanaweza hesabu rahisi rahisi tu....

Cheza chess hii!

Ndio shida na huu utawala,hautumiagi akili katika higher levels kabisa!
Yaani Jirani yako amkataze mtoto wako kwenda kucheza na mtoto wake halafu wewe umruhusu mtoto wake kuja kucheza na mwanao!

Hiyo ni itakuwa ni akili au matope?
 
kenya walistahili hata kutandikwa viboko hawajielewi .
sasa tumefunga jaribuni kuvuka muone kilichomkuta idd amin mpaka akaitwa"dada"
 
24 July 2020

Tanzania Tourism Board - Tanzania is now safe and ready to receive tourists from all over the world (July 2020)

 
Mkuu

Nitoe siri gani mzee?

Serikali ina siri gani?Siri za serikali ni crimes done by watawala towards wananchi,hizo ndio siri za serikali which sio siri ni crimes which need to be exposed.

That said....Hawa watawala wetu hawatumii akili kisawasawa,hii kuandika tangazo la kupiga marufuku ni njia rahisi sana na ni shortcut...

Tunataka vichwa viumie kutoa jawabu considering every aspect is taken care of....

Tatizo hawa watawala wa mawe ni vichwa panzi,akili hamna mle!
We ndo kichwa panzi ten times.
Tungekuwa tunaongozwa na vichwa panzi kama unavyodai si ajabu tungeshakuwa kama libya.

Nahisi utakuwa unafikiri kwa kutumia kalio.

Dah!
Yaani mpaka usingizi umekata kwa ujinga ulioandika, we ni bure kabisa.
 
Hv , bangi zinapokuja wapi wakati wenyewe hawatutaki?
Wenyewe wamelianzisha alafu tukumaliza wanalia kimama, ipo hv wanatuitaji zaid ya tunavyo waitaji wao
Sawa,na wewe kuzuia ni economically viable kwako au unakurupuka sababu pumbu zinawawasha?

Kumbuka Nairobi ni international hub mizigo na watalii wote wanatumia route ya Nairobi kuja TZ,kwahiyo unawalazimisha waende Cape Town ndio waje TZ?

Watakuja tena?

Pigeni hesabu ya hasara na financial projections muone kama ni economically meaningful kwenu acheni bangi za Chato!
 
Wakenya wanalia lia, kwanza ndo wamemaliza idadi yaajira nchini so wakizingua itakuwa fresh dada na kaka zetu wapate ajira.
JPM hajaribiwi zama zimebadilika
 
African dudes try to be smart here.

The main target here is Tanzania, the long time goal is to make her the next DRC. The authority should play smart here, the kenyan are just the puppet like Ruandees that time. 900K Km2 with lakes and sea + so many resources its enough to give the heaven for someone somewhere else.
 
Kenya bhna, ndo hatutaki na uchumi unapaa
Kwani kipind cha corona tulishake wapi
Ndio maana nakwambia,y'all need to go to the drawing board,uamuzi mliochukua ni uamuzi rahisi sana hata kichaa wa mirembe angeuchukua..

Mzee,huwezi nielekeza cha kuongea humu wala mimi siwezi kuelekeza chochote humu!

Kenya imefungia nchi zaidi ya 250,TZ ni one of them..shida mmepaniki na kuchukulia personal,too bad Nairobi ni regional hub EA hapa,mizigo yote itakwamia hapo,na abiria wote hawawezi enda long route ya Cape Town eti ndio waje TZ....

Jawabu sio rahisi kiivyo kama mlivyotoa,is that economically at your best interest au mmeenda kula pilipili kichaa za Chattle huko?

This is chess and not checkers...
 
#Habari:Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa amewahakikishia Watanzania kuwa nchi ipo salama katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa Corona na hakuna mgonjwa hata mmoja wa ugonjwa huo katika hospitali zote hapa nchini na habari zinazoenezwa juu ya uwepo wa ugonjwa huo ni za kupuuzwa.
 
Back
Top Bottom