Serikali ya Tanzania yazuia ndege kutoka shirika la Kenya Airways kutua Dar, Kilimanjaro na Zanzibar

Kenya wanajitoa ufahamu mkuu Wewe unataka akili zipi zitumike kama UAE watu wanaingia na certificate tu za ku approve kuwa hawana Convid19 wewe unataka tubembelezane na kenya kama kina nani? Kitendo cha kuzuia kabisa ni kama wamedharau maamuzi na Labs za nchini kwetu na kufanya ivo ni kama wamemdharau Rais pia Sasa hapo hakuna Kupoteza muda ni Chuma Chuma tu mpaka akili ziwarudi acha waendelee ku grab attention ya international communities sisi ngoja tuendelee kuchapa Kazi
Halafu nikisema Kenya wanahujumu Soko la utalii wa Tanzania kwa maamuzi yao hayo wewe utakataa? Acha tu JPM aende nao Jino Jino
 
Tutakula wenyewe pamba yote tuliyovuna pamoja na ufuta wote.
 
Mwamba MAGUFURI anzisha oparation ya kuwasaka wa kenya walioko Tanzania na kuwarudisha makwao [wamejaa Tanzania na awafuati taratibu za nchi]“”kwa mtu anaewafaamu hawa jamaa “”sio watu wazuri kabisa,
Tatizo wengi wana Kadi zetu za uraia
 
Acha upumbavu
 
KQ ilikua inakuja Dar peke yake mara 5 kwa siku ukiachana na JRO/ZNZ

Uwezi kusema ni jambo la kawaida kwa KQ, ofcoz ni pigo kwa KQ
Five times? They thought we are stupid, ngoja tuone. Lakini tatizo kubwa limekuwa Tanzania kupiga hatua kubwa kwenye kuinua uchumi wake. Hilo hasa ndilo pigo kubwa Kenya hawakulipenda. Vile vile kutokana na Tanzania kutokuweka lockdown uchumi wa Tanzania unaonekana kushamiri inawauma sana, na hizi ni rasha rasha tu masika yenyewe bado.

Chonde chonde Kenya wasije wakatuma bendera nyeupe tu, JPM hajaribiwi.
 

Fikiri sawasawa, acha ushabiki. Kama Tanzania imejaa Corona, na hiyo ndiyo sababu ya kuzuia Watanzania wasitue Kenya, kwa nini Wakenya wenyewe wanaingia Tanzania na kurudi Kenya kila siku? Au Wakenya hawana uwezo wa kubeba Corona toka Tanzania?
 
Hawana chochote wakenya, na wasituzoee,fukuza wote kuanzia balozi wao,wamejaa kupiga daiwaka ktk mahoteli na ualimu wa chekechea.ZUIA MIPAKA YOTE VYAKULA VISIENDE KENYA(ndani ya masaa 2 tu Wataomba poo),kenya wanaishi na majirani kwa unafiki wa hali ya juu,nakuamini ktk hili mkuu
 
Wengi mnao changamoto humu ni wa pesa ya mwisho wa mwezi serikalini au tunaita ng'ombe wa kufungwa,wafanyabiashara waliojiajiri mini nawaita nyati hawatafurahia hii wanaomba suluhu ipatikane
 
Mbona KQ pekee, si mungefungia hata Jambo Jet ambayo ni mtoto 100% wa KQ, pia precision air ambayo ni 50% mtoto wa KQ? Yaani hapo hakuna kazi imefanyika ni vitisho tu. Hata mufungie KQ na Jambo Jet bado KQ itapata pesa kupitia precision air
Precision Air imezuiwa kuingia Nairobi.
 
Kwenye aviation kuna kitu kinaitwa BASA (Bilateral Air Service Agreement) zinazoingia nchi na nchi, kwenye BASA kuna kipengele kinaitwa reciprocal kwamba kinachofanyika upande mmoja wa mkataba ndo hicho hicho kifanyike upande mwingine

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Tunarudi kuleeee kwenye historia ya EAC ya Nyerere. Huwezi taka community iwepo ili ufaidi wewe tuu, hakuna mamlaka yenye akili atazuiwa kuingia kwenye nchi ya mwenzake halafu yenyewe iendelee kumpokea aliyeweka vizuizi.

Naona wakulima na wafanya biashara wanavyoumia ila Ifike mahala.
 

Kwa hiyo hao wakenya wanapofanya maamuzi ya kutufungia huwa hawana mshauri? Yaani sisi tufungiwe alafu tutafute mshauri sisi? Akili za matope kabisa.

Yaani mimi nichukue mkeo alafu wewe badala ya kukasirika utafute mtu wa kunibembeleza?
Mnachanganyikiwa na nini jamani?
 
EAC ipo mashakani ila Kenya walianza zamani tangu enzi za mzee Kenyatta EAC ilivunjika, ngoja tuone
Mchonga aliamua kufunga mpaka jumla. Kenya hata siku moja hawawezi kujifunza. Tujenge ukuta tu hawajitambui tena wanaleta mchezo wakati huu wa uchaguzi! Hizo zitakuwa ni instructions kutoka kwa mabwana zao.
 
Kenya wawe waangalifu na rais wao,kachukua fedha za covid sasa amechoka kupambana nayo na anachofanya sasa nikutengeneza msuguano na tz huku akifahamu wananchi wake hawana ardhi ambayo yeye na family yake wanaihodhi,hivyo tuko hapa Mpanda Wakenya wengi wakitafuta ardhi kwa ajili ya kilimo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…