Bird Watcher
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 3,151
- 6,261
Kenya wanajitoa ufahamu mkuu Wewe unataka akili zipi zitumike kama UAE watu wanaingia na certificate tu za ku approve kuwa hawana Convid19 wewe unataka tubembelezane na kenya kama kina nani? Kitendo cha kuzuia kabisa ni kama wamedharau maamuzi na Labs za nchini kwetu na kufanya ivo ni kama wamemdharau Rais pia Sasa hapo hakuna Kupoteza muda ni Chuma Chuma tu mpaka akili ziwarudi acha waendelee ku grab attention ya international communities sisi ngoja tuendelee kuchapa KaziAgressions zote za nini hizi?
Kuna namna nzuri ya ku-address what Kenya did na sio huu utoto wa shortcuts namna hii!
Wewe umejaza makorona nchini mwako, Kenya lazima wachukue hatua, and then na wewe unachukua jibu rahisi sana la kukataza zao?
Majibu yaliyofeli shule bwana, hesabu ngumu hayawezi, yanaweza hesabu rahisi rahisi tu.
Cheza chess hii!
Ndio shida na huu utawala, hautumiagi akili katika higher levels kabisa!
Halafu nikisema Kenya wanahujumu Soko la utalii wa Tanzania kwa maamuzi yao hayo wewe utakataa? Acha tu JPM aende nao Jino Jino