Huu ndio ugoro mkuu wa uzi huu,hongera mkuuInabidi serikali iende mbele zaidi kwa kuharamisha takataka zote zinazoingia kutoka Kenya (bidhaa na raia).
Ukikutwa na chochote "made in Kenya" au kimethibitishwa na KEBS ni uhujumu uchumi.
Na hii sheria isiishie tu kipindi hiki cha mpito,[emoji16] Viongozi waape kuilinda kama ilivyo kwenye kuulinda Muungano.
Newton's 3rd Law of motion on a straight line inahitaji amendment, ACTION AND REACTION hazipaswi kuwa equal.
Hata huelewi Kagame ali-solve vipi lile tatizo..
Hujui wala huelewi lolote about it....
Leave that alone,ni topic for another day,leo tuongelee hili ya hawa mavilaza kuja na majawabu ya hovyo kwa issue ya Wakenya..
Hiyo ndio topic ya leo!
Mezeni kwanza iyo Doz nyingine inafuata ukisikia kuwashwa juwa bado kidogo tutawabadilishia Doz!Mbona KQ pekee, si mungefungia hata Jambo Jet ambayo ni mtoto 100% wa KQ, pia precision air ambayo ni 50% mtoto wa KQ? Yaani hapo hakuna kazi imefanyika ni vitisho tu. Hata mufungie KQ na Jambo Jet bado KQ itapata pesa kupitia precision air
Kenya Airways flights to Dar cut over diplomatic rowKQ unafanya safari 49 kwa wiki kuja Dar, huko Kigali itampeleka Nani?
Kwasababu Uganda ni Landlocked country.Sema kujidanganya! Munapenda kujidanganya watanzania. KQ ilikuwa inakuja Dar mara 14 kwa wiki hiyo ni mara mbili kwa siku kuanzia 2015. Linganisha hiyo na KQ mara 5 kwa siku kuenda Entebbe, Jambo Jet mara 3 kwa siku kuenda Entebbe.
Hata kibiashara, Kenya inafanya biashara mingi na uganda na Rwanda kushinda Tanzania. Biashara kati ya Kenya na Uganda ni karibu mara tatu kati ya Kenya na Tanzania.
Apana haijazuiwa, ni abiria tu kutoka Tanzania wote hata watalii wanaotaka kupitia nairobi kutoka Tanzania. Precision air iki beba kutoka kigali kuja nairobi direct ita ingia tu!Precision Air imezuiwa kuingia Nairobi.
Vipi kuhusu Kanya iliyoamua yenyewe bila kushirikisha majirani zake wakati mnajua hizi nchi zinashirikiana na kuhitajiana?Inaitwa Knee-jerk reaction, zero thoughts into it
Wakitimua wetu tunatimua wao⦠give and take..Pagumu sana hapa! MKAPA ndio alikuwa anaweza kumshauri Magufuli sasa hayupo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yaani diplomasia ya Kenya na Tz ipo pabaya sana.
Ego itaua uhusiano wa hizi nchi mbilii japo wanajidai marafiki kinafiki lakini tushafikaa mbalii aiseee sasa hivi raia wa Tanzania wataanza kutimuliwa Kenya[emoji29][emoji29]
MKAPA majirani wote hawajaja kumzika.
Waswahili waliwahi kusema mwanzo wa ngoma ni lele! Hizi si dalili nzuri kwa mustakabali wa jumuiya yetu. Itabidi kifanyike kitu kuokoa jahazi, huku kutunishiana misuli sidhani kama kutakua na suluhisho la kudumu!
Narudia tena wewe una akili nyingi sana. Uwezo wako wa kuona mbali ni mkubwa sana. You truly deserve to be in this forum
Watazusha jingine jiran mkorofi ni mkorofi tuuCorona imetuletea ubaguzi na chuki, Ingeisha tu tuishi vizuri na majerani zetu.
Kwahiyo kama jamaa hapo mtaani kwenu anatembea na wake za watu na ukasikia mke wako pia anatembea naye, hutochukua hatua zozote kwasababu sio mke wako pekee anayetembea naye?Kwn hayo maamuzi ni kw tanzania pekeake, yani nchi sai inapelekwa kitaarabu taarabu vile
Huu ni upuuzi mkubwa sana,Serikali ya Tanzania yaipiga KQ Airways kutua nchini
"Wakimwaga ugali tunamwaga mboga"
"Magufuli baba lao"View attachment 1523058View attachment 1523059
Mnapenda kujidanganya! Ni kwa sababu Uganda hawana ujinga ya ujamaa na blind nationalism. Makampuni ya Kenya mengi yanapenda kuwekeza Uganda na Rwanda kwa sababu viongozi wa hizo nchi wana akili ya kujua kutofautisha siasa na biashara.Kwasababu Uganda ni Landlocked country.
... nullification ni KQ originating from Nairobi to Dar/Kilimanjaro/Zanzibar. So, ikianzia Mombasa, Kisumu, Eldoret (all international airports) or elsewhere apart from Nairobi naona itaruhusiwa. Sijui kwani wasomi wetu hawako makini na vitu vidogo lakini vya msingi kama hivi!
Mhandisi hii kitu inabidi tufanye kikao cha dharura nipe coordinate π₯πΎWanafikiri wao ni nani kwa mfano? Wakwendee huko, wapambane na stress zao za covid.
Tanzania tupo shwari