Serikali ya Tanzania yazuia ndege kutoka shirika la Kenya Airways kutua Dar, Kilimanjaro na Zanzibar


Kwani kuna hata ya kulaumiana?

Haya ni matokeo ya kutokuwa na common protocol kuukabili huu ugonjwa.

Huwezi kuchagua kuufumbia macho ugonjwa unaoambukiza na unaouwa halafu utegemee kuchangamana na wenzio wanaouepuka.

Heko Kenya kwa kuchukua hatua kujilinda na huu ugonjwa.

Heko Tanzania kwa kuchukua hatua za kujifariji.

Wote tuko vizuri wapi tatizo?
 
Wewe ndio umekuwa more than hiyo aggression unayopinga.
 
Kwanini unasema ni kushindwa kwa utawala wa Magufuli na kumuacha Uhuru Kenyatta?, kumbuka suala la kuzuia ndege za Kanya kuja Tanzania na kuzuia magari ya Utalii ya Tanzania kwenda Kanya ulitokea kipindi cha Kikwete, Coalition of the willing ni kipindi cha Kikwete, wacha kumuonea Magufuli, wakenya ni hovyo Sana.
 
Maisha yetu Africa sisi na kupimana pimana afya wapi na wapi, yani vimafua tuu ndio vizuie shughuli nyingine zisiendelee, tunakufa na Ebola HIV kila siku ili licorona litupe tension si vimafua hivi ata malaria ni mara kumi zaidi kwa ukali. Em tupumzishwe na kaugonjwa iki
 
You provoke, we Retaliate.
Why povu now aaah!!
 
Tatizo siyo civid19, tatizo ni upungufu wa busara. Tunajua wote tuna matatizo, halafu mmoja anajifanya kiranja wa mwingine. Kila mmoja abaki na shida zake.
Coronavirus ndo kiini cha haya. Sasa ndo imejulikana hakuna cha EAC ama AU.Utawazuia vipi waafrica wenzako kuingia nchini mwako kisa Coronavirus ?By the way waafrica siyo watu wa kusafiri safiri sana. Pia Africa Coronavirus siyo kali kivile kama ilivyo Ulaya.
 
Kicheko Kwa precision air kupiga mpunga hahahaha
 
KLM ipi inayotua Nairobi then Dar?
 
Sasa hili bifu mkitaka linoge ni hakuna mazungumzo! Mambo ya mabalozi sijui mawaziri wamekaa wamejadili hatutaki kusikia wacha kila mtu abaki kwao!
Bifu lolote la TANZANIA na kenya , Kenya ndio itakayoumia zaidi ila tu inajitutumua
 
Uamuzi wa Serikali ya Tanzania ninaupongeza sana.
 
Tunawalazimisha waje moja kwa moja au wapitie entebe kumbuka tumefungua majadiliano tena ya ujenzi wa bomba la Hoima
 
Utawala wa awamu hii kwenye diplomasia na majirani kwa kweli lazima tulie
Wakenya ndiyo wenye tatizo, wana mgogoro na Ethiopia, wana mgogoro na Uganda kugombea kisiwa na sasa wameanzisha mgogoro na Tanzania. Hapo ndipo utaona mwenye tatizo ni nani.
 
Usisahau na Marehemu Mahiga.
 
Mkuu

I'm afraid you still dont get it....

Sisi Tanzania hatujatoa jibu la Covid-19 kwa Kenya wakaridhika.Hii kazi ya kuwahakikishia Wakenya kua Tanzania hakuna covid-19 kwa udhibitisho ni kazi ya hawa mapunguani tuliowapa hizi ofisi waendeshe..

Hiyo Kazi hawajaifanya,walichofanya ni kukurupuka na wao kufunga bila majibu sahihi kwa Wakenya...

Brother,Kenya economically inauza zaidi TZ kuliko sisi tunavyouza kwao maana hatuna bidhaa kama wao,it does not make any sense wao eti kulikataa hili soko tu bila sababu..

Wamepiga hesabu wakaona athari za covid-19 kwao ni kubwa kuliko hela wanayopata TZ,hivyo wakafunga..

Hakuna vita ya kipumbavu namna hiyo kama unavyoniaminisha hapa...

Serikali is really doing a very bad job to convince these people kwamba hakuna covid-19 TZ.Ukweli ni kwamba ipo na hawana majibu kwa hawa watu,ndio maana.

Kaanza Kenya,no wonder wakafata wengine..maana nasikia mpaka na Rwanda magari ya TZ ni lazima yapimwe kwa wiki nzima ndio yapite wakati ya UG na Kenya yanapita same day,tunakosa mapato hapa!

Upumbavu wetu wa kupambana na korona ndio backlash hizi zinakuja na I see tutazuiwa kuingia nchi kibao,just wait hii ni tip of the iceberg!
 
Serikali ya Tanzania yaipiga KQ Airways kutua nchini

"Wakimwaga ugali tunamwaga mboga"
"Magufuli baba lao"View attachment 1523058View attachment 1523059
Chuki ya uthibiti wa madini yetu. Mamamae mlizoea kuwa wauzaji wakuu wa madini ya wizi toka TZ sasa mmedhibitiwa mnawayawaya.

Eti wa pili kidunia kwa uuzaji Tanzanite, kenya kuna shimo hata moja la Tanzanite?

Na mtakufa njaa mwambieni huyo mvuta bangi wenu apige magoti na amuombe msamaha JPM.
 
Kitu nilichojifunza leo , JF Watanzania ni wengi Sana kuliko wakenya yani wakenya hawafiki hata ile robo tu ya Watanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…