Mbolabilika
JF-Expert Member
- Jul 30, 2019
- 2,128
- 2,867
Chadema huyo hajitambui ,Yani watu wengine kama hawana akiliKile walichofanya Kenya ndio diplomasia ile?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chadema huyo hajitambui ,Yani watu wengine kama hawana akiliKile walichofanya Kenya ndio diplomasia ile?
Yanini kumlaumu mkwezi wakati nazi imeliwa na mwezi?!
Kuna watu walishatabiri Haya yote ya kufungiwa na nchi mbalimbali pale mipaka itakapofunguliwa baada ya kupata ahueni ya ugonjwa wa Corona.
Athari za kutotangaza takwimu juu ya ugonjwa wa Corona ndiyo hizi!
Imeonekana kutotangaza kana kwamba imechukuliwa nchi imekuwa na high risk profile!
Sasa ingekuwa vyema mjadala na hoja ikaanzia hapo badala ya kumhukumu mkwezi.
Nazani kama sijakosea Lema alisema kuhusu athari ya kutotangaza takwimu za ugonjwa wa Corona.
Nabii Lema yametimia kuhusu hili la Corona
Wewe ndio umekuwa more than hiyo aggression unayopinga.Agressions zote za nini hizi?
Kuna namna nzuri ya ku-address what Kenya did na sio huu utoto wa shortcuts namna hii!
Wewe umejaza makorona nchini mwako, Kenya lazima wachukue hatua, and then na wewe unachukua jibu rahisi sana la kukataza zao?
Majibu yaliyofeli shule bwana, hesabu ngumu hayawezi, yanaweza hesabu rahisi rahisi tu.
Cheza chess hii!
Kwanini unasema ni kushindwa kwa utawala wa Magufuli na kumuacha Uhuru Kenyatta?, kumbuka suala la kuzuia ndege za Kanya kuja Tanzania na kuzuia magari ya Utalii ya Tanzania kwenda Kanya ulitokea kipindi cha Kikwete, Coalition of the willing ni kipindi cha Kikwete, wacha kumuonea Magufuli, wakenya ni hovyo Sana.MIMI NINA OBSERVATION TOFAUTI;
1. Huu mgogoro wa Kenya na Tanzania ni ishara ya ku fail kwa diplomasia ya kimataifa chini ya utawala wa Magufuli....
2. Mgogoro huu ni ishara (signal) tu kuwa lipo tatizo kubwa zaidi ambalo halisemwi wazi na viongozi wa nchi hizi mbili na ambalo kwa kweli ndilo chanzo cha mgogoro huu....
Haiwezekani ishu iwe ni korona wakati vikao na vikao kati ya viongozi wa nchi hizi mbili vimekaa kutafuta ufumbuzi, lakini bado hawakubaliani tu ili kumaliza mgogoro na badala yake unazidi kukua tu....!
3. Mgogoro huu hauwaumizi watawala wa serikali ya CCM bali wananchi wa kawaida kabisa wa itikadi za kisiasa zote ambao maisha yao yanategemea mahusiano mema kati ya nchi hizi mbili. Wananchi tukatae uhuni huu na interests za watu binafsi (watawala) kutuumiza sisi....
2. Aidha, mimi nilidhani pia wangepiga marufuku kila ndege inayopitia Kenya kuja Tanzania ya shirika la ndege lolote like. Lakini kuilenga KQ tu inadhihirisha kabisa liko jambo jingine lililo chanzo cha mgogoro huu na siyo virusi vya Corona kamwe...
Mkuu,so wewe unasubiri mpaka afe ndugu yako?Kwamba wakifa wengine haikuhusu?Wakiugua wengine hata wasipokufa haikuhusu?Wakiugua wengine ilia wasipimwa haikuhusu?Kwamba tukae na wagonjwa kimya kimya bila kupima,kufuatilia na kujua hali halisi?Watakao kufa wafe na watakaopona wapone?je hio ndo imani yako?
Kwa mtazamo huo nafikiri ni sawa kabisa wakatuzuia,Tulivowakatalia tumewasaidia sana maana......That is too selfish.
You provoke, we Retaliate.Sawa, na wewe kuzuia ni economically viable kwako au unakurupuka?
Kumbuka Nairobi ni international hub mizigo na watalii wote wanatumia route ya Nairobi kuja TZ, kwahiyo unawalazimisha waende Cape Town ndio waje TZ?
Watakuja tena?
Pigeni hesabu ya hasara na financial projections muone kama ni economically meaningful kwenu acheni bangi za Chato!
Coronavirus ndo kiini cha haya. Sasa ndo imejulikana hakuna cha EAC ama AU.Utawazuia vipi waafrica wenzako kuingia nchini mwako kisa Coronavirus ?By the way waafrica siyo watu wa kusafiri safiri sana. Pia Africa Coronavirus siyo kali kivile kama ilivyo Ulaya.Tatizo siyo civid19, tatizo ni upungufu wa busara. Tunajua wote tuna matatizo, halafu mmoja anajifanya kiranja wa mwingine. Kila mmoja abaki na shida zake.
Kicheko Kwa precision air kupiga mpunga hahahahaDodoma has listened to the people.
Good countermeasure, good job.
We have always said that Kenya needs us more than we need them. We run an endemic trade deficit with them, plus we have the land they are drooling about.
We are not going to be their door mat.
Blow up the East African Community, for all we care.
Kwa hiyo TZ imesusa sio ?
KLM ipi inayotua Nairobi then Dar?Hapana inamaanisha KLM ikitoka Nairobi ikuje Tanzania, isirudi tena nairobi itoke huko ikienda amsterdam kwa vile abiria kutoka Tanzania hawaruhusiwi katika uwanja zetu za ndege. Hata ATCL haijafungiwa ni abiria wa kutoka Tanzania, yani hata ukuwe mtalii unapitia nairobi amabayo ndiyo hub ya east and central africa kutoka Tanzania hauruhusiwi. Hii ndiyo msimamo ya Kenya.
Bifu lolote la TANZANIA na kenya , Kenya ndio itakayoumia zaidi ila tu inajitutumuaSasa hili bifu mkitaka linoge ni hakuna mazungumzo! Mambo ya mabalozi sijui mawaziri wamekaa wamejadili hatutaki kusikia wacha kila mtu abaki kwao!
Tunawalazimisha waje moja kwa moja au wapitie entebe kumbuka tumefungua majadiliano tena ya ujenzi wa bomba la HoimaSawa, na wewe kuzuia ni economically viable kwako au unakurupuka?
Kumbuka Nairobi ni international hub mizigo na watalii wote wanatumia route ya Nairobi kuja TZ, kwahiyo unawalazimisha waende Cape Town ndio waje TZ?
Watakuja tena?
Pigeni hesabu ya hasara na financial projections muone kama ni economically meaningful kwenu acheni bangi za Chato!
Precision air nayo hairuhusiwi kuingia Kenya.Hii itasaidia wateja wengi watatumia precision air
Wakenya ndiyo wenye tatizo, wana mgogoro na Ethiopia, wana mgogoro na Uganda kugombea kisiwa na sasa wameanzisha mgogoro na Tanzania. Hapo ndipo utaona mwenye tatizo ni nani.Utawala wa awamu hii kwenye diplomasia na majirani kwa kweli lazima tulie
Usisahau na Marehemu Mahiga.Pagumu sana hapa! MKAPA ndio alikuwa anaweza kumshauri Magufuli sasa hayupo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yaani diplomasia ya Kenya na Tz ipo pabaya sana.
Ego itaua uhusiano wa hizi nchi mbilii japo wanajidai marafiki kinafiki lakini tushafikaa mbalii aiseee sasa hivi raia wa Tanzania wataanza kutimuliwa Kenya[emoji29][emoji29]
MKAPA majirani wote hawajaja kumzika.
MkuuSasa bwashee ngoja nkuulize...
Hapo kwa Scenario hyo decision gani ingetakiwa ifanyike..?
Honestly kwangu mimi Covid19 ni economic war Tz tumejifunza kuishi nayo tofaut na hapo tungeendelea kupokea misaada kwasabab tu inatakiwa tutangaze updates which by all means ugonjwa ambao tiba yake haifahimiki ni bora kuzuia matangazo kuacha watu wafanye activity zao.
Sasa kenya wanateseka hatutangazi wamepima airport kwao wakaona tunayo? Kama ndio waekwe quarantine.. tofaut na hapo ni chuki ndo zinafanya maamuzi kama haya mbona TZ hawakufunguka wala kumzuia mkenya kuingia huku.
All in all let's watch and see
Chuki ya uthibiti wa madini yetu. Mamamae mlizoea kuwa wauzaji wakuu wa madini ya wizi toka TZ sasa mmedhibitiwa mnawayawaya.Serikali ya Tanzania yaipiga KQ Airways kutua nchini
"Wakimwaga ugali tunamwaga mboga"
"Magufuli baba lao"View attachment 1523058View attachment 1523059
Hilo sasa tangazo lako [emoji16][emoji16]Precision air nayo hairuhusiwi kuingia Kenya.