Serikali ya Tanzania yazuia ndege kutoka shirika la Kenya Airways kutua Dar, Kilimanjaro na Zanzibar

Vita ya Anga, nani ataibuka mshindi [Kiuchumi}
 
Jawabu la Covid-19 kwa hizi nchi na evidences unazo?

Huna

Unakula kufuli!

Subiri......

Maana naona hamuoni mbali mnaiona Kenya tu..wakati kuna rundo la hizi nchi linakuja!

TZ tutabaki kua comedians kuhusu corona kama Madagascar....tutakung'utwa kufuli worldwide!

Kaanza Kenya.....
 
Tz imebeba mavirus tele.umejuaje mkuu??

Kwa vipimo,au kwa idadi ya vifo??
 
Nyumbu ni nyumbu tu,hata apewe nguo akili zake ni zile zile.
 
Magufuli ni rais mzalendo...kura yangu umeipata mh rais
 
Hapa ndipo anaponitatiza huyu jamaa yetu.[emoji16][emoji16]

Umeelewa sasa kwamba ugomvi wake na serikali ni mwingine,hapa ni kichaka tu.
Kuna mijitu haijui lugha hii ya mafumbo ila Kwa Mimi hata hainisumbui nilishajifunza siku nyingi
 
Mbona KQ pekee, si mungefungia hata Jambo Jet ambayo ni mtoto 100% wa KQ, pia precision air ambayo ni 50% mtoto wa KQ? Yaani hapo hakuna kazi imefanyika ni vitisho tu. Hata mufungie KQ na Jambo Jet bado KQ itapata pesa kupitia precision air
Mbona kama umeumia hivii..kunywa maji bwana upunguze hasira



...oooh sorry kumbe nairobi maji hakuna,no way
 
HAHAHAHA, Kelele za chura hiyo. Uganda ama Rwanda zikifunga Kenya inaweza kuumia lakini si Tanzania. KQ na mtoto wake Jambo Jet zinaenda Entebbe na Kigali kushinda Dar na hizo vitu zingine umetaja
C huwa mnasema hamchangii kwenye majukwaa mengine zaidi ya jukwaa la kenya imekuaje tena umekuja humu ambapo WaTz tunaongea mambo yetu? Au ndio desperation.
 
Boss hizi vitisho zenu hazikuanza leo na Kenya haijashtuka. 2015 GOT ilipunguza frequency ya KQ kuingia Dar kutoka 5 kwa siku mpaka 14 kwa wiki. Wiki iko na siku ngapi 7, haya fanya 14/7=2. Hesabu rahisi hiyo.
Kevin mrudishe zile tausi tuliwapea
Hamnanga shukrani buda.
 
Twende kwenye mada ya msingi nimeita hivyo kusud Kwa jina lingine chadomo kama imekuuma jinyonge harafu ulete taarifa hapa umejiskiaje
 
Tanzania tulipokosea ,ni kuanza kujibizana nao.
Hawa binadamu wa aina ya Kenya ni wakunyamazia tu,unajifanya husikii,mwisho wa siku wataonekana wajinga.
 
Kuna watu wanapenda ugomvi, sasa mnashangilia nini yaani. EAC hiyo inavunjika. Soon mabalozi watatimuana kama vile naona soon
Bora ivunjike...jumuiya yenyewe ni ya kijinga tu
 
Aise,mbona wewe post zako ni future possible tense? yaani wewe kila ukiandika "Kama ziki..." Sasa ni hivi,Dua la kuku halimpati mwewe,marekani ni nchi mojawapo amabyo inayoiamini TZ kwa kupambana na Corona,na watalii wanaendelea kuja,hizo "wishes" zako hazitatokea,but,elewa, TZ hakuna Corona! that's a bitter truth for you to swallow.nakuhakikishia,Uhuru lazima apige goti.
 
We pimbi kweli? Hayo makorona yaliyojazwa nchini yako wapi? Hebu tuambie namna gani nzuri ya ku-adress hii issue ambapo mtu kaanza kukufungia anga yake. Ulitaka tuwalambe makalio?

Kenya hawakuanza Leo, umesahau walianza kwenye malori. Tulivyowatait Mbona tulielewana. Hawa watu wanatumika na washakula pesa ya mzungu kwahiyo lazima waonyeshe measures wanazochukua kukabiliana Covid ili kujustify mpunga waliokula. So, dawa yao ni kuoneshana makali mpaka tutaelewana.
 
Marekani ya nyoko
 
Cha kusikitisha nyinyi msio wapumbavu na mizigo there is nothing you can do. Absolutely nothing you can do about this situation and more to come.
Who cares about you insane ?
 
Corona uioni? Hiyo ndiyo sababu ya kutomzika Mkapa
Lakini Wakenya wasituchezee
Wewe ungekuwa presidaa ungekubali ujinga na hila za Wakenya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…