Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jawabu la Covid-19 kwa hizi nchi na evidences unazo?Kila nchi tutashughulika nayo kulingana na umuhimu wale na vile itakavyotuchukulia. Tumeanza na Kanya, tunasubiri inayofuata.
Umuhimu wa Kenya kwa Tanzania sio sawa na umuhimu wa SA au USA kwa Tanzania,tutashughulika nazo tofauti endapo zitafanya kama ilivyofanya Kenya
Tz imebeba mavirus tele.umejuaje mkuu??Brother
SA ndio more serious zaidi ya Kenya.....
Kwavile SA maambuzi yamepamba moto,hawatataka more additions from abroad kuingiza virus zaidi SA.
Na TZ tumebeba mavirusi tele
Ramaphosa sasa hivi atapiga ban!
SA wapo serious sana na covid.....subiri utaona ban inafuata!
Nyumbu ni nyumbu tu,hata apewe nguo akili zake ni zile zile.Na juzi wametoka kumpokea Rais wao hewa bila ya kuvaa barakoa harafu wanataka takwimu ili wajue kama korona ipo au hamna [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Yani nimejua wapinzani hawana akili Kwa kiwango gani najuta kuharibu kura yangu 2015[emoji24][emoji24][emoji24]
Kuna mijitu haijui lugha hii ya mafumbo ila Kwa Mimi hata hainisumbui nilishajifunza siku nyingiHapa ndipo anaponitatiza huyu jamaa yetu.[emoji16][emoji16]
Umeelewa sasa kwamba ugomvi wake na serikali ni mwingine,hapa ni kichaka tu.
Mbona kama umeumia hivii..kunywa maji bwana upunguze hasiraMbona KQ pekee, si mungefungia hata Jambo Jet ambayo ni mtoto 100% wa KQ, pia precision air ambayo ni 50% mtoto wa KQ? Yaani hapo hakuna kazi imefanyika ni vitisho tu. Hata mufungie KQ na Jambo Jet bado KQ itapata pesa kupitia precision air
Ajasoma momentum huyo"""""To any action there is equal and opposite reaction""""" Haya siyo maneno yangu
C huwa mnasema hamchangii kwenye majukwaa mengine zaidi ya jukwaa la kenya imekuaje tena umekuja humu ambapo WaTz tunaongea mambo yetu? Au ndio desperation.HAHAHAHA, Kelele za chura hiyo. Uganda ama Rwanda zikifunga Kenya inaweza kuumia lakini si Tanzania. KQ na mtoto wake Jambo Jet zinaenda Entebbe na Kigali kushinda Dar na hizo vitu zingine umetaja
Kevin mrudishe zile tausi tuliwapeaBoss hizi vitisho zenu hazikuanza leo na Kenya haijashtuka. 2015 GOT ilipunguza frequency ya KQ kuingia Dar kutoka 5 kwa siku mpaka 14 kwa wiki. Wiki iko na siku ngapi 7, haya fanya 14/7=2. Hesabu rahisi hiyo.
Twende kwenye mada ya msingi nimeita hivyo kusud Kwa jina lingine chadomo kama imekuuma jinyonge harafu ulete taarifa hapa umejiskiajeTumia akili kutumia lugha ya Kiswahili kwa ufasaha!
Hakuna kitu ilikua inaitwa Chademo!
hapo ndipo niliposemea utumie akili maana ni obvious umekosea sababu ubongo wako ni mbovu na evidence nimeiweka hapo!
Mengine ni blah blah na very subjective!
Unadai TZ hakuna corona,una evidences za upimaji?Huna
Hizi nchi ni watu wenye akili akam nyie,msiwaletee utoto!
Viongozi wa TZ wamefanikiwa kudanganya raia zake kua hakuna covid-19 TZ kwa kutumia propaganda maredioni
Ni too bad hizi nchi za nje zinataka evidences na sio propaganda za Dr Abbas na wengine!
Hapo kagusa Kenya,wanafuata wengine....sijui utanijibu nini hapa!?
Bora ivunjike...jumuiya yenyewe ni ya kijinga tuKuna watu wanapenda ugomvi, sasa mnashangilia nini yaani. EAC hiyo inavunjika. Soon mabalozi watatimuana kama vile naona soon
Wewe ni mkenya ,Tanzania tumeshasahau kama kuna korona hata USA washawaruhusu watu wao waje huku.Niko na wakenya kwa hili nasimama na mutu ya Kenya ,sisi wabongo na ma corona yetu tupigwe tu
Aise,mbona wewe post zako ni future possible tense? yaani wewe kila ukiandika "Kama ziki..." Sasa ni hivi,Dua la kuku halimpati mwewe,marekani ni nchi mojawapo amabyo inayoiamini TZ kwa kupambana na Corona,na watalii wanaendelea kuja,hizo "wishes" zako hazitatokea,but,elewa, TZ hakuna Corona! that's a bitter truth for you to swallow.nakuhakikishia,Uhuru lazima apige goti.Covid-19 ni hasara zaidi kwa Wakenya kuliko hela za mauzo wanazopata TZ....
Wakaona wapige chini....
Naona mmefocus na amuzi la Kenya ambalo infact linatutoa kamasi,of which ni tip of the iceberg
Nchi zingine ziki-follow suit,then we are dead!
Maana hatuna majibu ya covid-19 kwa evidences,hatuna...
Naona SA ikipiga ban videnge vya TZ,na wengine wanafuata..
Goodluck dealing with them....
Lazima tutumie akili na kua sincere na kufanya mambo kwa uwazi maana mataifa mengine yapo at stake here...
Msituletee vituko vya Chattle hapa duniani....domino effect inakuja!
We pimbi kweli? Hayo makorona yaliyojazwa nchini yako wapi? Hebu tuambie namna gani nzuri ya ku-adress hii issue ambapo mtu kaanza kukufungia anga yake. Ulitaka tuwalambe makalio?Agressions zote za nini hizi?
Kuna namna nzuri ya ku-address what Kenya did na sio huu utoto wa shortcuts namna hii!
Wewe umejaza makorona nchini mwako, Kenya lazima wachukue hatua, and then na wewe unachukua jibu rahisi sana la kukataza zao?
Majibu yaliyofeli shule bwana, hesabu ngumu hayawezi, yanaweza hesabu rahisi rahisi tu.
Cheza chess hii!
Marekani ya nyokoAise,mbona wewe post zako ni future possible tense? yaani wewe kila ukiandika "Kama ziki..." Sasa ni hivi,Dua la kuku halimpati mwewe,marekani ni nchi mojawapo amabyo inayoiamini TZ kwa kupambana na Corona,na watalii wanaendelea kuja,hizo "wishes" zako hazitatokea,but,elewa, TZ hakuna Corona! that's a bitter truth for you to swallow.nakuhakikishia,Uhuru lazima apige goti.
Who cares about you insane ?Cha kusikitisha nyinyi msio wapumbavu na mizigo there is nothing you can do. Absolutely nothing you can do about this situation and more to come.
Corona uioni? Hiyo ndiyo sababu ya kutomzika MkapaPagumu sana hapa! MKAPA ndio alikuwa anaweza kumshauri Magufuli sasa hayupo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yaani diplomasia ya Kenya na Tz ipo pabaya sana.
Ego itaua uhusiano wa hizi nchi mbilii japo wanajidai marafiki kinafiki lakini tushafikaa mbalii aiseee sasa hivi raia wa Tanzania wataanza kutimuliwa Kenya[emoji29][emoji29]
MKAPA majirani wote hawajaja kumzika.