Serikali ya Tanzania yazuia ndege kutoka shirika la Kenya Airways kutua Dar, Kilimanjaro na Zanzibar

Ila Rwandair/Ethiopia Airways ndio wataofaidika! Hapo lazima Kenya watakuwa wapole tu.
 
Unajua wajumbe waliokuja kwenye msiba wa Mkapa walirudia angani????[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wangekuwa hawana mafuta ya kutosha mbona wangenyooka
Hapana wenyewe wamekiri kulikuwa kuna shida angani hakuna aliyewakataza kutua
 
Maamuzi yenu na wakati mnatuonea donge vile sisi tumefunga, yani watanzania km wake wwnza vile[emoji23][emoji23][emoji23]

Kila kitu mume hata akiwafanyia wote bado kuna mke mmoja atajishukushuku sana
Hayo ya ukewenza yapeleke kwako, tunaongelea Mambo ya Kuwa na jirani mkorofi asiyejitambua ambaye Kila kukicha anamtafutia vitimbi jirani yake! Kenya na Kama typical jirani wa kiswahili ambaye anatabia za uswahili I kweli! Ninyi mkitu 'beep'! Sisi tunafanya kweli mpaka mseme po🤣😂🤣!
 
Wewe ndiyeekichekesho, IMF na WB wote wsmepongeza na kukubaliana na hatua zinazochukuliwa na Tanzania Katika kupambana na Corona, ni wajinga wachache wenye kudhani kuwa kupima na kutangaza ndio njia sahihi yaekupambana na Corona, tumewajibu Kenya upumbavu wao, tunasubiri mwengine mjinga kama Kenya ili tumpe za uso
 
Kimsingi uamuzi wowote lazima kuzingatia hasara na faida yake-impact analysis. Uamuzi huu hasara tupu kwa taifa sawa na uamuzi oyvo wa kuficha takwimu za covid19 tukidhani sisi ndio wajanja kuliko ulimwengu mzima.
 
Majirani hawajaja kwa sababu bado wanaamini Tanzania kuna corona imepamba moto ila hatutangazi tunaficha ndio maana waliweka siku 3 za maombolezo na bendera nusu mlingoti.
Na wale waliokuwa angani wakarudi?
 
Ngoja tuonyeshane makali kwanza tutajuwa uganda inawatu wangapi nao kuna vikwazo tutawawekea kulingana na upepo unavyo kwenda!
 
Kimsingi uamuzi wowote lazima kuzingatia hasara na faida yake-impact analysis. Uamuzi huu hasara tupu kwa taifa sawa na uamuzi oyvo wa kuficha takwimu za covid19 tukidhani sisi ndio wajanja kuliko ulimwengu mzima.

Omba uraia Kwa majirani zetu kama unaona sisi tunafucha takwimu
 
Nani anayefuata?? Usiwe na mawazo ya kishetani...TZ siyo nchi ya mchezo mchezo...TZ Ina historia iliyotukuka...this is a blessed nation...we have everything...we are proud...TZ siyo nchi ya mchezo...tunaweza kupigana Vita in three fronts...nyie endeleeni kuwalamba miguu mabeberu
 
Wewe hujui chochote
 
KINACHOWAUMA KENYA NI TZ KUWA TISHIO KWAO KIUCHUMI. NAIROBI LEO SI KITU KWA DAR BAADA YA 10 YRS KENYA ITAKUWA UNDER DOG KWA TZ
 
Inawezekana upimwe akili ati watoto wangu wasije kwako kwa hofu ya kuambukizwa maradhi lakini watoto wako waje kwangu kama mimi ni baba nitakuwa mjinga na wanao kuwaruhusu kuja kwangu
Haeleweki huyo jamaa
 
Unaona vile huwa munajidanganya! Route ya pesa mingi kwa KQ in EAC ni Nairobi-Mombasa ambayo iko na 10 flights kwa siku. Tafadhali penda kufanya research annual books of account za KQ ziko mtandaoni.
Hakuna mamatata KQ waongeze apo mombaza 0 zifike route 100!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…