Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona Moi tulimzika kwa Corona Ila hapakuwa na kelele?Yapo kibao,tawimu za michwari unazo?
Huna
Kila siku tunazika,juzi umemzika Mkapa,covid-19...deal with it you fools!
Hapana wenyewe wamekiri kulikuwa kuna shida angani hakuna aliyewakataza kutuaUnajua wajumbe waliokuja kwenye msiba wa Mkapa walirudia angani????[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wangekuwa hawana mafuta ya kutosha mbona wangenyooka
Hayo ya ukewenza yapeleke kwako, tunaongelea Mambo ya Kuwa na jirani mkorofi asiyejitambua ambaye Kila kukicha anamtafutia vitimbi jirani yake! Kenya na Kama typical jirani wa kiswahili ambaye anatabia za uswahili I kweli! Ninyi mkitu 'beep'! Sisi tunafanya kweli mpaka mseme po🤣😂🤣!Maamuzi yenu na wakati mnatuonea donge vile sisi tumefunga, yani watanzania km wake wwnza vile[emoji23][emoji23][emoji23]
Kila kitu mume hata akiwafanyia wote bado kuna mke mmoja atajishukushuku sana
Umemjibu vizuri sanaMbona Moi tulimzika kwa Corona Ila hapakuwa na kelele?
Hii ndo diplomasia yenyewe uliza uambiwe kama hujuiTutaona mengi sana hasa wakati huu ambapo hatuna rais mwanadiplomasia.
Wewe ndiyeekichekesho, IMF na WB wote wsmepongeza na kukubaliana na hatua zinazochukuliwa na Tanzania Katika kupambana na Corona, ni wajinga wachache wenye kudhani kuwa kupima na kutangaza ndio njia sahihi yaekupambana na Corona, tumewajibu Kenya upumbavu wao, tunasubiri mwengine mjinga kama Kenya ili tumpe za usoJawabu la Covid-19 kwa hizi nchi na evidences unazo?
Huna
Unakula kufuli!
Subiri......
Maana naona hamuoni mbali mnaiona Kenya tu..wakati kuna rundo la hizi nchi linakuja!
TZ tutabaki kua comedians kuhusu corona kama Madagascar....tutakung'utwa kufuli worldwide!
Kaanza Kenya.....
Shida angani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapana wenyewe wamekiri kulikuwa kuna shida angani hakuna aliyewakataza kutua
Na wale waliokuwa angani wakarudi?Majirani hawajaja kwa sababu bado wanaamini Tanzania kuna corona imepamba moto ila hatutangazi tunaficha ndio maana waliweka siku 3 za maombolezo na bendera nusu mlingoti.
Ngoja tuonyeshane makali kwanza tutajuwa uganda inawatu wangapi nao kuna vikwazo tutawawekea kulingana na upepo unavyo kwenda!Sema kujidanganya! Munapenda kujidanganya watanzania. KQ ilikuwa inakuja Dar mara 14 kwa wiki hiyo ni mara mbili kwa siku kuanzia 2015. Linganisha hiyo na KQ mara 5 kwa siku kuenda Entebbe, Jambo Jet mara 3 kwa siku kuenda Entebbe.
Hata kibiashara, Kenya inafanya biashara mingi na uganda na Rwanda kushinda Tanzania. Biashara kati ya Kenya na Uganda ni karibu mara tatu kati ya Kenya na Tanzania.
Kimsingi uamuzi wowote lazima kuzingatia hasara na faida yake-impact analysis. Uamuzi huu hasara tupu kwa taifa sawa na uamuzi oyvo wa kuficha takwimu za covid19 tukidhani sisi ndio wajanja kuliko ulimwengu mzima.
Nani anayefuata?? Usiwe na mawazo ya kishetani...TZ siyo nchi ya mchezo mchezo...TZ Ina historia iliyotukuka...this is a blessed nation...we have everything...we are proud...TZ siyo nchi ya mchezo...tunaweza kupigana Vita in three fronts...nyie endeleeni kuwalamba miguu mabeberuTumia akili kutumia lugha ya Kiswahili kwa ufasaha!
Hakuna kitu ilikua inaitwa Chademo!
hapo ndipo niliposemea utumie akili maana ni obvious umekosea sababu ubongo wako ni mbovu na evidence nimeiweka hapo!
Mengine ni blah blah na very subjective!
Unadai TZ hakuna corona,una evidences za upimaji?Huna
Hizi nchi ni watu wenye akili akam nyie,msiwaletee utoto!
Viongozi wa TZ wamefanikiwa kudanganya raia zake kua hakuna covid-19 TZ kwa kutumia propaganda maredioni
Ni too bad hizi nchi za nje zinataka evidences na sio propaganda za Dr Abbas na wengine!
Hapo kagusa Kenya,wanafuata wengine....sijui utanijibu nini hapa!?
Wewe hujui chochoteMkuu
Nitoe siri gani mzee?
Serikali ina siri gani?Siri za serikali ni crimes done by watawala towards wananchi,hizo ndio siri za serikali which sio siri ni crimes which need to be exposed.
That said, hawa watawala wetu hawatumii akili kisawasawa,hii kuandika tangazo la kupiga marufuku ni njia rahisi sana na ni shortcut.
Tunataka vichwa viumie kutoa jawabu considering every aspect is taken care of.
Haeleweki huyo jamaaInawezekana upimwe akili ati watoto wangu wasije kwako kwa hofu ya kuambukizwa maradhi lakini watoto wako waje kwangu kama mimi ni baba nitakuwa mjinga na wanao kuwaruhusu kuja kwangu
Hakuna mamatata KQ waongeze apo mombaza 0 zifike route 100!Unaona vile huwa munajidanganya! Route ya pesa mingi kwa KQ in EAC ni Nairobi-Mombasa ambayo iko na 10 flights kwa siku. Tafadhali penda kufanya research annual books of account za KQ ziko mtandaoni.