Nakubaliana na wewe...Uhuru lazima aje apige magoti hapa na siyo goti moja...hakuna kupiga simu...tutawatimua wakenya wore...hatua inayofuatia ni kufunga mpaka...nyang'au mpaka aombe suluhuAise,mbona wewe post zako ni future possible tense? yaani wewe kila ukiandika "Kama ziki..." Sasa ni hivi,Dua la kuku halimpati mwewe,marekani ni nchi mojawapo amabyo inayoiamini TZ kwa kupambana na Corona,na watalii wanaendelea kuja,hizo "wishes" zako hazitatokea,but,elewa, TZ hakuna Corona! that's a bitter truth for you to swallow.nakuhakikishia,Uhuru lazima apige goti.
Mimi nafikiri sasa wewe tatizo lako na serikali ya tanzania ni personal zaidi kuliko huu mjadala uliopo.
Sijui kama wanaokujibu wamelielewa hilo au nao hawana kazi ya kufanya!!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sawa nimekuelewa wewe mtu wa aina gani.. wakewale.. crying wolf!! Okay brother jifurahisheNobody is paying me for proposing anything...
Thats not my job....tumeajiri watu kufanya that,and they dont do their job!
In October we will fire them all!
Mkuu huyo jamaa nahisi ni mkenya ila km ni mbongo nahisi ile tumbua tumbua style ilimkumba mana anapinga kila kitu na leo ndo nimezd kumuona mpuuzi eti anapinga GoT kufanya retaliation lkn hapingi walichofanya Wakenya.Wewe ndiyeekichekesho, IMF na WB wote wsmepongeza na kukubaliana na hatua zinazochukuliwa na Tanzania Katika kupambana na Corona, ni wajinga wachache wenye kudhani kuwa kupima na kutangaza ndio njia sahihi yaekupambana na Corona, tumewajibu Kenya upumbavu wao, tunasubiri mwengine mjinga kama Kenya ili tumpe za uso
Sikiliza, wao kama wsnaogopa Corona, tumewazuia kuja kuchukua Corona, tatizo liko wapi?. na nchi yoyote itakayofanya hivyo tutawasaidia wasipate Corona kwa njia hiyo.Hakuna korona kakwambia Dr Abbas...
Nigga you are in a fools' paradise!
Agressions zote za nini hizi?
Kuna namna nzuri ya ku-address what Kenya did na sio huu utoto wa shortcuts namna hii!
Wewe umejaza makorona nchini mwako, Kenya lazima wachukue hatua, and then na wewe unachukua jibu rahisi sana la kukataza zao?
Majibu yaliyofeli shule bwana, hesabu ngumu hayawezi, yanaweza hesabu rahisi rahisi tu.
Cheza chess hii!
Wewe naomba unijibu hili hapa, na utakaponijibu mimi sitaendelea kujishughulisha na wewe kwa vyovyote utakavyojibu, hao hapo ni wamarekani wenye akili na maarifa mengiTumia akili kutumia lugha ya Kiswahili kwa ufasaha!
Hakuna kitu ilikua inaitwa Chademo!
hapo ndipo niliposemea utumie akili maana ni obvious umekosea sababu ubongo wako ni mbovu na evidence nimeiweka hapo!
Mengine ni blah blah na very subjective!
Unadai TZ hakuna corona,una evidences za upimaji?Huna
Hizi nchi ni watu wenye akili akam nyie,msiwaletee utoto!
Viongozi wa TZ wamefanikiwa kudanganya raia zake kua hakuna covid-19 TZ kwa kutumia propaganda maredioni
Ni too bad hizi nchi za nje zinataka evidences na sio propaganda za Dr Abbas na wengine!
Hapo kagusa Kenya,wanafuata wengine....sijui utanijibu nini hapa!?
Inashangaza. Kama tatizo ni korona, kwanini ndege zao zije huku kuchota korona!Sikiliza, wao kama wsnaogopa Corona, tumewazuia kuja kuchukua Corona, tatizo liko wapi?. na nchi yoyote itakayofanya hivyo tutawasaidia wasipate Corona kwa njia hiyo.
Hatar nduguKumekucha kumekucha mbona tutaheshimiana tu
Roja that mhandisi mimi nitashughulika na hawa wanaotoka Narok kuja huku wasso😂
Nakucheck unipe mrejesho wa ile mambo ya jana.
Unaongelea panadol wewe,kafanye tena utafiti utagundua kuwa kwa bidhaa zilizopo Ni zile zisizo na umuhimu zenye umuhimu Kama za maziwa hazijiMaduka ni mengi kuanzia ya dawa baridi mpaka ya bidhaa za kawaida, na ukienda mikoa ya kanda ya ziwa na kilimanjaro ndo soko kubwa la bidhaa hizo.
Na hii Tanzania kuwa open, (though with restrictions) ndio inawaumiza sana hawa wakenya.We mpumbavu naomba unijibu hili hapa, na utakaponijibu mm ctaendelea kujishughulisha na ww kwa vyovyote utakavyojibu cz ur a fool, hao hapo ni wamarekani wenye akili na maarifa mengi kuzd kapuku wa akili km ww[emoji116][emoji116]View attachment 1523495
[emoji28][emoji28][emoji28]ananzungumzia panadol za kenya za maarage.Unaongelea panadol wewe,kafanye tena utafiti utagundua kuwa kwa bidhaa zilizopo Ni zile zisizo na umuhimu zenye umuhimu Kama za maziwa haziji
Sema hawa Jirani zetu wapenda kuchukua hatua KiulayaUlaya wakati maisha wanaishi kibongobongo tu.Hata Kikwete kupitia Samweli Sitta walishapunguza route za Kenya Airways baada ya kusumbua watu wetu wa utalii na hapo ndio wakashika adabu.
Hawa walituzoea sana, kwasasa ni kama system haitaki tena mazoea yaliyokwisha tugharimu sana.
Sana tu,sawa yao kuwakatia kila kituMagufuli katoa adhabu ndogo.
Huu upuuzi wenu ndio hatuutaki, hicho kijumuiya kisipokuwepo shida iko wapi? Nyang'au dawa yake ndio hiyo
Ndiyo.Mpita njia mwenye Corona unaweza mkaribisha nyumbani kwako ewe msamaria mwema?