Nakubaliana na wewe...Uhuru lazima aje apige magoti hapa na siyo goti moja...hakuna kupiga simu...tutawatimua wakenya wore...hatua inayofuatia ni kufunga mpaka...nyang'au mpaka aombe suluhuAise,mbona wewe post zako ni future possible tense? yaani wewe kila ukiandika "Kama ziki..." Sasa ni hivi,Dua la kuku halimpati mwewe,marekani ni nchi mojawapo amabyo inayoiamini TZ kwa kupambana na Corona,na watalii wanaendelea kuja,hizo "wishes" zako hazitatokea,but,elewa, TZ hakuna Corona! that's a bitter truth for you to swallow.nakuhakikishia,Uhuru lazima apige goti.