Serikali ya Tanzania yazuia ndege kutoka shirika la Kenya Airways kutua Dar, Kilimanjaro na Zanzibar

Unajua wajumbe waliokuja kwenye msiba wa Mkapa walirudia angani????[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wangekuwa hawana mafuta ya kutosha mbona wangenyooka
Mzee haya nayo ni masihara au real?nimepitwaje na hii?
 
Hata Mimi Hilo suala la kitu Cha kuzuia mlima usionekane upande wa kenya nimelifikiria sana
 
Tunazisubiri kwa hamu sana hizo BAN toka mataifa mbalimbali.
Na itatuuma sisi, na tutateseka sisi.
Pili Pili usiyoila inakuwashiani.
Ila jamaa kama yuko sahihi.
Vp kama huu ni mwanzo wa BAN toka kwenye nchi kadhaa ulimwenguni.

Anyway kwakua labda sisi hatuna global flights za ATC
 
Mkuu wanaotoa maamuzi wanafanya hivyo wakiwa na waajiriwa wa sisi walipa kodi.

Wenye fikra kama za kwako ndio wanawafanya wakenya watudharau, lakini dharau zao zina mwisho.

Nchi imerudi kwa wenye nchi wenyewe, Kenya lazima waje kwa adabu hawawezi kuendelea kuwa na maamuzi ya kijinga halafu watu wawatazame tu bila ya kufanya lolote kwa kuhofia maneno ya kina Wyatt Jamii forum.

Corona ni siasa nyingine za kijinga, mtu akiingia kwenye ndani ya basi anapimwa na hakutwi na corona lakini madereva wa malori wakipimwa wanakutwa na corona.

Madereva kadhaa wa malori wamekuwa wakiombwa rushwa na maafisa uhamiaji upande wa Kenya, wasipotoa pesa reports zinaandikwa kwamba wamekutwa na corona!.

Kenya watanyooka tu, Tanzania haiwezi kuendeleza ule upole wa mshumaa, kuwaangazia wengine wakati wenyewe unateketea.
 
Mboga na ugali vyote vimemwagwa tuone sasa nani mjanja.
Sisi Tanzania hatujamwaga ugali bali tumeondoka nao, Kenya ndio wamemwaga mboga [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445]

Cc: Nahrene
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mzee wakizingua anazinguaa
JK alikuwa mwanadiplomasia akawa anavumilia tu dharau za kijinga za viongozi wengine. Huyu wa sasa ukimpiga ngumi ya mdomo yeye anakupiga ya jicho tena muda huo huo.
 
Uhuru bado hajamjua Magufuli vizuri, wenzie wa sadc washmuelewa. Kenyatta aendelee na jitihada zake atakipata anachokitafuta.
Diplomasia za kimavimavi hatufanyi saivi, Ni kipindi kile cha mkwere tulifanya diplomasi uchwara Xi Jinping akaja na mdefe wake mkubwa tukaja sikia aliondoka na mzigo wa jino laana, alafu kumbe walibargain mutoto ya mukulu isinyongwe kwa kusafirisha donaπŸ˜‚ dah amakweli tulipigwa ila Sasa maamae atuguse mtu aone cha mtema kuni. Hili kofuli noma na funguo tushazipoteza lupaso
 
Nadhani amekuita mkenya baada ya kukuona hueleweki kama Tobo lissu kwenye maslahi ya Taifa wewe unahamisha magoli
 
Mkuu wewe wa dar nini unajitutumua kutusemea wamikoani.
 
jana na leo =10flight yani 5 flight per day
nenda rudi =20 je ni kiasi gani kq imepoteza? au ni faida kiasi gani kenya mmetengeneza kwa ukurupukaji wenu?

😁😁 kwan inauma?
 

Ndelamio πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘

Magufuli baba lao
 
Ndelamio πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘

Magufuli baba lao
Hatarii mama D usipime
Sadc wamekaa, bado isti afrika na afrika yote kumpigia salute
Corona tunaona kwenye tivii tu uko kwao mara leo wamefungiwa mara ooh πŸ˜‚ huku watu tunabeng' Kama kawa
W.H.O eti ooh tunafuatilia mitishamba mara sijui niniπŸ˜… wanafiki wanatafuta gia ya kujirudi ila ndo hivyo dingi alishawashtukia mapema😁
 
Hata tunaopinga kila anachofanya rais tukumbuke asingesimamia issue ya COVID tusingekua hapa tukichangia maada. Tungejilock down, tupunguzwe kazini, tupoteze biashara, tukose pesa, tukose huduma, tuugue, tupate stress tufe halafu BBC watangaze watu laki6 wamekufa kwa COVID 19 Tanzania
Bado hali ni ngumu sababu wasaliti wengi ila kuna siku tutaelewana tuu
 
Pale mashariki eti vulture ameonwa mapema na Marshal Eagle, michezo ya simba inajulikana na nyuma nyuma betina anaogopa walimtoa wa kwake kaufyata
 
Hiyo october ndio utajikuta peke yako una akili za kinyesi.
 
Umetokea chattle au wapi mbona una ghadhabu za kijinga?
Sipo chato, ila nyie wapuuzi mnaozarau vya kwetu mnakera Sana. Ebu inama chini jiangalie km jinsia yako bado ipo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…