Rabonn
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 5,789
- 11,106
Na lawama zote kwa JoniKila kitu wanasingiziwa mabeberu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na lawama zote kwa JoniKila kitu wanasingiziwa mabeberu
Mzee haya nayo ni masihara au real?nimepitwaje na hii?Unajua wajumbe waliokuja kwenye msiba wa Mkapa walirudia angani????[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wangekuwa hawana mafuta ya kutosha mbona wangenyooka
Uamuzi wa kukurupuka haujui, ungeujua usingeandika kama ulivyoandika.Heshima ya nchi haijawahi kulindwa kwa maamuzi ya kukurupuka na mihemuko,sana sana tutaonekana watu wa ajabu
Hata Mimi Hilo suala la kitu Cha kuzuia mlima usionekane upande wa kenya nimelifikiria sanaUCHUMI WA KENYA UNATEGEMEA TANZANIA KWA SABABU ZIFUATAZO:
1. Makampuni mengi ya kati ya kusafisha madini yapo Kenya na jameajiri watu wengi mfano ni Tanzanite...hivyo ukidhibiti utoroshaji na ukaanza kuyaongezea thamani hapa Tanzania Kenya lazima wataathirika
2. Kwenye kilimo ...bidhaa nyingi za kilimo zinazalishwa Tanzania mfano vituungu, kahawa, matunda na etc....Kenya wamewekeza sana kwenye makampuni ya kuchakata na kusafirisha mazao ya kilimo kwenda Asia, Ulaya, na America...lakini ili viwanda vyao na makampuni ya kusafirisha bidhsa yaweze kufanya kazi ni lazima waje Tanzania kununua raw materials mbali mbali kwa wakulima wetu..kama unakumbuka kwenye bajeti ya mwaka huu serikali imepiga marufuku kwa wanunuzi wa kati wa mazao ya kilimo kwenda kununua moja kwa moja kwa mkulima....sharti lazima awe na ubia na mzawa mtanzania....
Kwenye utalii ni kuwa Kenya wanafaidika sana na utalii wa Tanzania... Wanatumia pesa nyingi kufanya matangazo ya utalii Ulaya, Asia, na Marekani kwa vivutio kama vile Serengeti, Mlima Kilimanjaro, Mikumi, Katavi, Selous game reserve kwa sasa Mwalimu Nyerere National park e.t.c
Kenya kwenye ishu ya usalama wa chakuka kwa kuangalia staple food kama vile mchele, mahindi, ndizi, na Viazi hawapo food secure... Hivyo deficit yao kwa kiasi kikubwa wanaifidia kutoka Tanzania
Kenya wamekuwa wajanja kwenye kusafirisha minofu ya samaki wa Ziwa Victoria kupitia Nairobi ( Jomo Kenyatta International Airport) kitendo cha Serikali kuweka miundo mbinu pale Mwanza kinaua usafirishaji wa Minofu ya Samaki kupitia Nairobi kwa sababu production kubwa ya minofu ipo upande wa Tanzania
Kwenye sekta ya Usafirishaji pia kuna vitu ukifanya Tanzania unaumiza bandari ya Mombasa...mfano ukiboresha reli ya kati it is economically cheaper kwa Uganda kusafirisha bidhaa kupitia reli mpaka Mwanza na kisha kupakia kwenye meli mpaka kwenye bandari za Jinja, Entebbe na Kampala...pia hata South Sudan hii route inakuwa nafuu kwao kuliko kupitia Mombasa
Pia kwenye usafirishaji wa Anga Kenya wanaogopa sana mashirika ya ndege ya Tanzania sababu tukishika market share tutapunguza faida za KQ...ndio maana walihusika kikamilifu kuiua kabisa ATC na walipoona kuna Precision Air inaibuka wakakimbilia kununua share
*Haya ni machache ninayoyafahamu kuhusu uchumi wa Kenya na Tanzania*
*Nilikuwa Nina wazo mnaonaje wadau tuishauri serikali itengeneze pazia kubwa kuzuia view ya mlima Kilimanjaro kwa upande wa Kenya*
Ila jamaa kama yuko sahihi.Tunazisubiri kwa hamu sana hizo BAN toka mataifa mbalimbali.
Na itatuuma sisi, na tutateseka sisi.
Pili Pili usiyoila inakuwashiani.
Mkuu wanaotoa maamuzi wanafanya hivyo wakiwa na waajiriwa wa sisi walipa kodi.Nchi sio CCM mzee
Nchi sio bwana mawe
Nchi sio Abbas
Nchi sio Mkurugenzi wa Mamlaka ya Viwanja..
Nchi ni wananchi Watanzani who are loving hardworking people!
Hao niliowataja ni watu binafsi wenye akili binafsi zenye kufanya mambo ya hovyo kama mimi na wewe!
Wameona tatizo,badala ya kutatua kwa kutumia akili,wamefanya maamuzi ya chooni
Lazima tuwaseme na tu-demand answers from them,tumewapa ajira na tunawalipa!
We didnt employ them for this nonsense they are doing!
Acheni mihemko ya kipumbavu ya huko machakani Chattle,tunataka sober minds zenye kujua kucheza this economic chess!
Kaanza Kenya,watafata wengine kupiga ban,you dont have answers to all these coming tragedies!
Tunataka jawabu la kwanini wanatudanganya na korona,kwa evidences...hawana wanatuletea stori za Abbas and his minions eti "TZ hakuna corona" sababu madomo yao yanaweza funguka kutamka kitu....evidence?hakuna
Subiri anafuata SA,anakuja UG,then Rwanda,Ulaya na America ndio sahau kabisa....wait and see!
Sisi Tanzania hatujamwaga ugali bali tumeondoka nao, Kenya ndio wamemwaga mboga [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445]Mboga na ugali vyote vimemwagwa tuone sasa nani mjanja.
Una kichaa ww sio bureBro, Ethiopia na the rest ot EA combined bado JKIA anatuacha mbali
Unafananisha Nairobi na uchafu wa Addis aisee? Kua serious wewe
JK alikuwa mwanadiplomasia akawa anavumilia tu dharau za kijinga za viongozi wengine. Huyu wa sasa ukimpiga ngumi ya mdomo yeye anakupiga ya jicho tena muda huo huo.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mzee wakizingua anazinguaa
Hata Mimi Hilo suala la kitu Cha kuzuia mlima usionekane upande wa kenya nimelifikiria sana
Nadhani amekuita mkenya baada ya kukuona hueleweki kama Tobo lissu kwenye maslahi ya Taifa wewe unahamisha magoliHakuna kitu inaitwa "ng'eng'eneka"...kuna kitu mtaani inaitwa "kuneng'eneka"...please update your street lingo!
Mimi sio mtu wa Kenya wala Kibera,mimi mtu wa Marangu,Kilimanjaro,Tanzania!
Kama unanipa Ukenya,thats nonsense maana you dont know me,sana sana umegeuka mganga wa kienyeji kugawa raia kwa internet characters kama Wyatt Mathewson na kadhalika!
Crimea una clout humu,ila haya unayatoa sasa utafanya tukucheke aisee....uganga sio fani yako!
Mkuu wewe wa dar nini unajitutumua kutusemea wamikoani.Unadhani kenya ikikumbwa na njaa tanzania inaweza supply mahindi ya msaada????? Sisi wenyewe stock ipo hoii mkuuu... Jiwe kila siku anasema kuhusu serikali kuto kutoa msaada wa chakulaaaa ebu tuache unafiki hapa wa kujidai tuna msaada sana kwa Kenyaa...
Uhuru bado hajamjua Magufuli vizuri, wenzie wa sadc washmuelewa. Kenyatta aendelee na jitihada zake atakipata anachokitafuta.
Diplomasia za kimavimavi hatufanyi saivi, Ni kipindi kile cha mkwere tulifanya diplomasi uchwara Xi Jinping akaja na mdefe wake mkubwa tukaja sikia aliondoka na mzigo wa jino laana, alafu kumbe walibargain mutoto ya mukulu isinyongwe kwa kusafirisha dona😂 dah amakweli tulipigwa ila Sasa maamae atuguse mtu aone cha mtema kuni. Hili kofuli noma na funguo tushazipoteza lupaso
Hatarii mama D usipime
Hata tunaopinga kila anachofanya rais tukumbuke asingesimamia issue ya COVID tusingekua hapa tukichangia maada. Tungejilock down, tupunguzwe kazini, tupoteze biashara, tukose pesa, tukose huduma, tuugue, tupate stress tufe halafu BBC watangaze watu laki6 wamekufa kwa COVID 19 TanzaniaHatarii mama D usipime
Sadc wamekaa, bado isti afrika na afrika yote kumpigia salute
Corona tunaona kwenye tivii tu uko kwao mara leo wamefungiwa mara ooh 😂 huku watu tunabeng' Kama kawa
W.H.O eti ooh tunafuatilia mitishamba mara sijui nini😅 wanafiki wanatafuta gia ya kujirudi ila ndo hivyo dingi alishawashtukia mapema😁
Hiyo october ndio utajikuta peke yako una akili za kinyesi.Upuuzi according to who?You?
Buaahaahahaha
Kama ni upuuzi umepitia na ku-comment,which means my post has a pull on you!
Who cares thereafter?Nobody!
Tumeyapa ajira hayo matakataka yafanye maamuzi sahihi kuhakikisha yanatetea our best economic interests at all costs,instead wameenda kufanya maamuzi ya mavi kama unavyowashabikia!
October 2020 tunafukuza kazi yote yakalime,tuweke wenye akili!
Yameshindwa kazi kabisa!
Sipo chato, ila nyie wapuuzi mnaozarau vya kwetu mnakera Sana. Ebu inama chini jiangalie km jinsia yako bado ipo!Umetokea chattle au wapi mbona una ghadhabu za kijinga?