Serikali ya Tanzania yazuia ndege kutoka shirika la Kenya Airways kutua Dar, Kilimanjaro na Zanzibar

Serikali ya Tanzania yazuia ndege kutoka shirika la Kenya Airways kutua Dar, Kilimanjaro na Zanzibar

Unajua wajumbe waliokuja kwenye msiba wa Mkapa walirudia angani????[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wangekuwa hawana mafuta ya kutosha mbona wangenyooka
Mzee haya nayo ni masihara au real?nimepitwaje na hii?
 
UCHUMI WA KENYA UNATEGEMEA TANZANIA KWA SABABU ZIFUATAZO:

1. Makampuni mengi ya kati ya kusafisha madini yapo Kenya na jameajiri watu wengi mfano ni Tanzanite...hivyo ukidhibiti utoroshaji na ukaanza kuyaongezea thamani hapa Tanzania Kenya lazima wataathirika

2. Kwenye kilimo ...bidhaa nyingi za kilimo zinazalishwa Tanzania mfano vituungu, kahawa, matunda na etc....Kenya wamewekeza sana kwenye makampuni ya kuchakata na kusafirisha mazao ya kilimo kwenda Asia, Ulaya, na America...lakini ili viwanda vyao na makampuni ya kusafirisha bidhsa yaweze kufanya kazi ni lazima waje Tanzania kununua raw materials mbali mbali kwa wakulima wetu..kama unakumbuka kwenye bajeti ya mwaka huu serikali imepiga marufuku kwa wanunuzi wa kati wa mazao ya kilimo kwenda kununua moja kwa moja kwa mkulima....sharti lazima awe na ubia na mzawa mtanzania....

Kwenye utalii ni kuwa Kenya wanafaidika sana na utalii wa Tanzania... Wanatumia pesa nyingi kufanya matangazo ya utalii Ulaya, Asia, na Marekani kwa vivutio kama vile Serengeti, Mlima Kilimanjaro, Mikumi, Katavi, Selous game reserve kwa sasa Mwalimu Nyerere National park e.t.c

Kenya kwenye ishu ya usalama wa chakuka kwa kuangalia staple food kama vile mchele, mahindi, ndizi, na Viazi hawapo food secure... Hivyo deficit yao kwa kiasi kikubwa wanaifidia kutoka Tanzania

Kenya wamekuwa wajanja kwenye kusafirisha minofu ya samaki wa Ziwa Victoria kupitia Nairobi ( Jomo Kenyatta International Airport) kitendo cha Serikali kuweka miundo mbinu pale Mwanza kinaua usafirishaji wa Minofu ya Samaki kupitia Nairobi kwa sababu production kubwa ya minofu ipo upande wa Tanzania

Kwenye sekta ya Usafirishaji pia kuna vitu ukifanya Tanzania unaumiza bandari ya Mombasa...mfano ukiboresha reli ya kati it is economically cheaper kwa Uganda kusafirisha bidhaa kupitia reli mpaka Mwanza na kisha kupakia kwenye meli mpaka kwenye bandari za Jinja, Entebbe na Kampala...pia hata South Sudan hii route inakuwa nafuu kwao kuliko kupitia Mombasa

Pia kwenye usafirishaji wa Anga Kenya wanaogopa sana mashirika ya ndege ya Tanzania sababu tukishika market share tutapunguza faida za KQ...ndio maana walihusika kikamilifu kuiua kabisa ATC na walipoona kuna Precision Air inaibuka wakakimbilia kununua share

*Haya ni machache ninayoyafahamu kuhusu uchumi wa Kenya na Tanzania*

*Nilikuwa Nina wazo mnaonaje wadau tuishauri serikali itengeneze pazia kubwa kuzuia view ya mlima Kilimanjaro kwa upande wa Kenya*
Hata Mimi Hilo suala la kitu Cha kuzuia mlima usionekane upande wa kenya nimelifikiria sana
 
Tunazisubiri kwa hamu sana hizo BAN toka mataifa mbalimbali.
Na itatuuma sisi, na tutateseka sisi.
Pili Pili usiyoila inakuwashiani.
Ila jamaa kama yuko sahihi.
Vp kama huu ni mwanzo wa BAN toka kwenye nchi kadhaa ulimwenguni.

Anyway kwakua labda sisi hatuna global flights za ATC
 
Nchi sio CCM mzee

Nchi sio bwana mawe

Nchi sio Abbas

Nchi sio Mkurugenzi wa Mamlaka ya Viwanja..

Nchi ni wananchi Watanzani who are loving hardworking people!

Hao niliowataja ni watu binafsi wenye akili binafsi zenye kufanya mambo ya hovyo kama mimi na wewe!

Wameona tatizo,badala ya kutatua kwa kutumia akili,wamefanya maamuzi ya chooni

Lazima tuwaseme na tu-demand answers from them,tumewapa ajira na tunawalipa!

We didnt employ them for this nonsense they are doing!

Acheni mihemko ya kipumbavu ya huko machakani Chattle,tunataka sober minds zenye kujua kucheza this economic chess!

Kaanza Kenya,watafata wengine kupiga ban,you dont have answers to all these coming tragedies!

Tunataka jawabu la kwanini wanatudanganya na korona,kwa evidences...hawana wanatuletea stori za Abbas and his minions eti "TZ hakuna corona" sababu madomo yao yanaweza funguka kutamka kitu....evidence?hakuna

Subiri anafuata SA,anakuja UG,then Rwanda,Ulaya na America ndio sahau kabisa....wait and see!
Mkuu wanaotoa maamuzi wanafanya hivyo wakiwa na waajiriwa wa sisi walipa kodi.

Wenye fikra kama za kwako ndio wanawafanya wakenya watudharau, lakini dharau zao zina mwisho.

Nchi imerudi kwa wenye nchi wenyewe, Kenya lazima waje kwa adabu hawawezi kuendelea kuwa na maamuzi ya kijinga halafu watu wawatazame tu bila ya kufanya lolote kwa kuhofia maneno ya kina Wyatt Jamii forum.

Corona ni siasa nyingine za kijinga, mtu akiingia kwenye ndani ya basi anapimwa na hakutwi na corona lakini madereva wa malori wakipimwa wanakutwa na corona.

Madereva kadhaa wa malori wamekuwa wakiombwa rushwa na maafisa uhamiaji upande wa Kenya, wasipotoa pesa reports zinaandikwa kwamba wamekutwa na corona!.

Kenya watanyooka tu, Tanzania haiwezi kuendeleza ule upole wa mshumaa, kuwaangazia wengine wakati wenyewe unateketea.
 
Mboga na ugali vyote vimemwagwa tuone sasa nani mjanja.
Sisi Tanzania hatujamwaga ugali bali tumeondoka nao, Kenya ndio wamemwaga mboga [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445]

Cc: Nahrene
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mzee wakizingua anazinguaa
JK alikuwa mwanadiplomasia akawa anavumilia tu dharau za kijinga za viongozi wengine. Huyu wa sasa ukimpiga ngumi ya mdomo yeye anakupiga ya jicho tena muda huo huo.
 

Attachments

  • IMG-20200721-WA0004.jpg
    IMG-20200721-WA0004.jpg
    56.2 KB · Views: 1
Uhuru bado hajamjua Magufuli vizuri, wenzie wa sadc washmuelewa. Kenyatta aendelee na jitihada zake atakipata anachokitafuta.
Diplomasia za kimavimavi hatufanyi saivi, Ni kipindi kile cha mkwere tulifanya diplomasi uchwara Xi Jinping akaja na mdefe wake mkubwa tukaja sikia aliondoka na mzigo wa jino laana, alafu kumbe walibargain mutoto ya mukulu isinyongwe kwa kusafirisha dona😂 dah amakweli tulipigwa ila Sasa maamae atuguse mtu aone cha mtema kuni. Hili kofuli noma na funguo tushazipoteza lupaso
 
Hakuna kitu inaitwa "ng'eng'eneka"...kuna kitu mtaani inaitwa "kuneng'eneka"...please update your street lingo!

Mimi sio mtu wa Kenya wala Kibera,mimi mtu wa Marangu,Kilimanjaro,Tanzania!

Kama unanipa Ukenya,thats nonsense maana you dont know me,sana sana umegeuka mganga wa kienyeji kugawa raia kwa internet characters kama Wyatt Mathewson na kadhalika!

Crimea una clout humu,ila haya unayatoa sasa utafanya tukucheke aisee....uganga sio fani yako!
Nadhani amekuita mkenya baada ya kukuona hueleweki kama Tobo lissu kwenye maslahi ya Taifa wewe unahamisha magoli
 
Unadhani kenya ikikumbwa na njaa tanzania inaweza supply mahindi ya msaada????? Sisi wenyewe stock ipo hoii mkuuu... Jiwe kila siku anasema kuhusu serikali kuto kutoa msaada wa chakulaaaa ebu tuache unafiki hapa wa kujidai tuna msaada sana kwa Kenyaa...
Mkuu wewe wa dar nini unajitutumua kutusemea wamikoani.
 
jana na leo =10flight yani 5 flight per day
nenda rudi =20 je ni kiasi gani kq imepoteza? au ni faida kiasi gani kenya mmetengeneza kwa ukurupukaji wenu?

😁😁 kwan inauma?
 
Uhuru bado hajamjua Magufuli vizuri, wenzie wa sadc washmuelewa. Kenyatta aendelee na jitihada zake atakipata anachokitafuta.
Diplomasia za kimavimavi hatufanyi saivi, Ni kipindi kile cha mkwere tulifanya diplomasi uchwara Xi Jinping akaja na mdefe wake mkubwa tukaja sikia aliondoka na mzigo wa jino laana, alafu kumbe walibargain mutoto ya mukulu isinyongwe kwa kusafirisha dona😂 dah amakweli tulipigwa ila Sasa maamae atuguse mtu aone cha mtema kuni. Hili kofuli noma na funguo tushazipoteza lupaso

Ndelamio 😂😂😂😂👍

Magufuli baba lao
 
Ndelamio 😂😂😂😂👍

Magufuli baba lao
Hatarii mama D usipime
Sadc wamekaa, bado isti afrika na afrika yote kumpigia salute
Corona tunaona kwenye tivii tu uko kwao mara leo wamefungiwa mara ooh 😂 huku watu tunabeng' Kama kawa
W.H.O eti ooh tunafuatilia mitishamba mara sijui nini😅 wanafiki wanatafuta gia ya kujirudi ila ndo hivyo dingi alishawashtukia mapema😁
 
Hatarii mama D usipime
Sadc wamekaa, bado isti afrika na afrika yote kumpigia salute
Corona tunaona kwenye tivii tu uko kwao mara leo wamefungiwa mara ooh 😂 huku watu tunabeng' Kama kawa
W.H.O eti ooh tunafuatilia mitishamba mara sijui nini😅 wanafiki wanatafuta gia ya kujirudi ila ndo hivyo dingi alishawashtukia mapema😁
Hata tunaopinga kila anachofanya rais tukumbuke asingesimamia issue ya COVID tusingekua hapa tukichangia maada. Tungejilock down, tupunguzwe kazini, tupoteze biashara, tukose pesa, tukose huduma, tuugue, tupate stress tufe halafu BBC watangaze watu laki6 wamekufa kwa COVID 19 Tanzania
Bado hali ni ngumu sababu wasaliti wengi ila kuna siku tutaelewana tuu
 
Pale mashariki eti vulture ameonwa mapema na Marshal Eagle, michezo ya simba inajulikana na nyuma nyuma betina anaogopa walimtoa wa kwake kaufyata
 
Upuuzi according to who?You?

Buaahaahahaha

Kama ni upuuzi umepitia na ku-comment,which means my post has a pull on you!

Who cares thereafter?Nobody!

Tumeyapa ajira hayo matakataka yafanye maamuzi sahihi kuhakikisha yanatetea our best economic interests at all costs,instead wameenda kufanya maamuzi ya mavi kama unavyowashabikia!

October 2020 tunafukuza kazi yote yakalime,tuweke wenye akili!

Yameshindwa kazi kabisa!
Hiyo october ndio utajikuta peke yako una akili za kinyesi.
 
Umetokea chattle au wapi mbona una ghadhabu za kijinga?
Sipo chato, ila nyie wapuuzi mnaozarau vya kwetu mnakera Sana. Ebu inama chini jiangalie km jinsia yako bado ipo!
 
Back
Top Bottom