Serikali ya Tanzania yazuia ndege kutoka shirika la Kenya Airways kutua Dar, Kilimanjaro na Zanzibar

Serikali ya Tanzania yazuia ndege kutoka shirika la Kenya Airways kutua Dar, Kilimanjaro na Zanzibar

Tutaona mengi sana hasa wakati huu ambapo hatuna rais mwanadiplomasia.
Serikali ya Tanzania yaipiga KQ Airways kutua nchini

"Wakimwaga ugali tunamwaga mboga"
"Magufuli baba lao"View attachment 1523058View attachment 1523059
Kuna siku kitanuka tu tusipokuwa makini, kuna kindege au helicopter kitapata hitillafu iwe kama WW1 na Sarajevo assassination.
Hizi nchi za Kenya na Tz ni kama China na USA kwa sasa
Yeah hii ni habari njema kabisa wamezoea kutuona sisi mafala this time ukiweka ugoko sie tunaweka chuma hakuna muda wa kulea upumbavu
Nikisema hizi nchi mbili zote zinachezeshwa kwata la beberu nitakuwa nakosea?
Duh, hapa sasa patamu. Hivi tuna wizara ya mashauri ya kigeni? Na ile EAC je?
Pagumui sana hapaa...!! MKAPA ndo alikuwa anaweza kumshaurii Jiwe sasa hayupooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yani diplomasia ya kenya na tz ipo pabayaa sanaa. Ego itaua uhusiano wa hizi nchi mbilii japo wanajidai marafiki kinafiki lakini tushafikaa mbalii aiseee sasa hivi raia wa tz wataanza kutimuliwa kenya[emoji29][emoji29]

MKAPA majirani wote hawajaja kumzika.
Waswahili waliwahi kusema mwanzo wa ngoma ni lele! Hizi si dalili nzuri kwa mustakabali wa jumuiya yetu..itabidi kifanyike kitu kuokoa jahazi,huku kutunishiana misuli sidhani kama kutakua na suluhisho la kudumu!
Mboga na ugali vyote vimemwagwa tuone sasa nani mjanja...
Ndo tunakoenda mkuu...!! Mzee hakuwa na haja ya kurudishaa wale wajumbe[emoji29][emoji29][emoji29] mbona yeye huwa haendii sasa anataka wenzake wamtukuzee kama nani.
 
Mbona KQ pekee, si mungefungia hata Jambo jet ambayo ni mtoto 100% wa KQ, pia precision air ambayo ni 50% mtoto wa KQ? Yani hapo hakuna kazi imefanyika ni vitisho tu. Hata mufungie KQ na jambo jet bado KQ itapata pesa kupitia precision air.
Jambo Jet haifiki Tanzania, haina kibali cha kuja Tanzania, shirika Pekee la Kenya linalofika Tanzania ni KQ, wacha kupanic, ndio kwanza tumeanza kuwaonyesha faida za ujinga wenu.
 
This was coming. Huwezi kufungua anga na kupiga marufuku raia kutoka baadhi ya Nchi. Nafuu hata wangesema kila anayetaka kuingia aje na cheti cha kipimo cha covid alichopima ndani ya masaa 72. Kuzuia kabisa ni dharau kubwa na inaweza kutafsiriwa kwamba huamini hata lab za nchi husika.

Huu mtifuano wa Kenyatta na Magufuli sijui hatma yake itakuwaje
 
HAHAHAHA, Kelele za chura hiyo. Uganda ama Rwanda zikifunga Kenya inaweza kuumia lakini si Tanzania. KQ na mtoto wake jambo jet zinaenda entebbe na kigali kushinda dar na hizo vitu zingine umetaja.
KQ ilikua inakuja Dar peke yake mara 5 kwa siku ukiachana na JRO/ZNZ

Uwezi kusema ni jambo la kawaida kwa KQ, ofcoz ni pigo kwa KQ
 
Dodoma has listened to the people.

Good countermeasure, good job.

We have always said that Kenya needs us more than we need them. We run an endemic trade deficit with them, plus we have the land they are drooling about.

We are not going to be their door mat.

Blow up the East African Community, for all we care.
 
Back
Top Bottom