Tutaona mengi sana hasa wakati huu ambapo hatuna rais mwanadiplomasia.
Serikali ya Tanzania yaipiga KQ Airways kutua nchini
"Wakimwaga ugali tunamwaga mboga"
"Magufuli baba lao"View attachment 1523058View attachment 1523059
Kuna siku kitanuka tu tusipokuwa makini, kuna kindege au helicopter kitapata hitillafu iwe kama WW1 na Sarajevo assassination.
Hizi nchi za Kenya na Tz ni kama China na USA kwa sasa
Yeah hii ni habari njema kabisa wamezoea kutuona sisi mafala this time ukiweka ugoko sie tunaweka chuma hakuna muda wa kulea upumbavu
Nikisema hizi nchi mbili zote zinachezeshwa kwata la beberu nitakuwa nakosea?
Duh, hapa sasa patamu. Hivi tuna wizara ya mashauri ya kigeni? Na ile EAC je?
Pagumui sana hapaa...!! MKAPA ndo alikuwa anaweza kumshaurii Jiwe sasa hayupooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yani diplomasia ya kenya na tz ipo pabayaa sanaa. Ego itaua uhusiano wa hizi nchi mbilii japo wanajidai marafiki kinafiki lakini tushafikaa mbalii aiseee sasa hivi raia wa tz wataanza kutimuliwa kenya[emoji29][emoji29]
MKAPA majirani wote hawajaja kumzika.
Waswahili waliwahi kusema mwanzo wa ngoma ni lele! Hizi si dalili nzuri kwa mustakabali wa jumuiya yetu..itabidi kifanyike kitu kuokoa jahazi,huku kutunishiana misuli sidhani kama kutakua na suluhisho la kudumu!
Mboga na ugali vyote vimemwagwa tuone sasa nani mjanja...
Ndo tunakoenda mkuu...!! Mzee hakuwa na haja ya kurudishaa wale wajumbe[emoji29][emoji29][emoji29] mbona yeye huwa haendii sasa anataka wenzake wamtukuzee kama nani.