mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Iliyokuwa jumuiya ya Africa mashariki iliyovunjika.
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haha natamani nitie neno aseeKauli ya Jaguar kipindi kile ilikuwa bado haijakomaa (ilikuwa njiti). Sasa imekomaa.
Si uandike kwa utuo ueleweke. Mbona Kama tumbo la kuhara limekushika hivi?HAHAHAHA, Kelele za chura hiyo. Uganda ama Rwanda zikifunga Kenya inaweza kuumia lakini si Tanzania. KQ na mtoto wake Jambo Jet zinaenda Entebbe na Kigali kushinda Dar na hizo vitu zingine umetaja
Wewe hamsha akili yako na huo ushabiki wako blind. Ni kweli unaujua uhitaji wa Kenya kwa Tanzania kuanzia watu wao mpaka biashara ya bidhaa zao hapa Tz? Hivi mfano, unajua KQ routes kuja Tanzania ni percent ngapi ya route zao zote Duniani? Hii ya mwisho inatosha kabisa kukuzibua brain 🧠.Mnapenda kujidanganya! Ni kwa sababu Uganda hawana ujinga ya ujamaa na blind nationalism. Makampuni ya Kenya mengi yanapenda kuwekeza Uganda na Rwanda kwa sababu viongozi wa hizo nchi wana akili ya kujua kutofautisha siasa na biashara.
Kwa sahi viwanda vinavyojengwa uganda mingi ni makampuni za kutoka kenya. BUL(Bidco uganda limited) mtoto wa Bidco Kenya, Hoima cement mtoto wa bamburi cement Kenya,Nile breweries mtoto wa Kenya breweries, Lato milk ni mtoto wa wahindi kutoka Kenya na Brookside Kenya.
Hii ndiyo sababu viwanda vya uganda vinakuwa kwa kasi kushinda Tanzania, na sababu ya biashara kati ya Kenya, Uganda na Rwanda kuwa kubwa kuliko Tanzania
Hata Tanzania pia ina maamuzi yake, Kama Tanzania imeamua kuzuia ndege za Kenya kwa sababu yoyote ile, hilo pia limefanyika kwa maslahi ya Tanzania, Tafadhali heshimu maamuzi ya kila nchi.
Tatizo wewe uelewa wako ni mdogo Sana katika dunia ya "Aviation". KLM haiwezi kutoka Kanya kuja Tanzania direct, ni lazima irudi Amsterdam.Hapana inamaanisha KLM ikitoka Nairobi ikuje Tanzania, isirudi tena nairobi itoke huko ikienda amsterdam kwa vile abiria kutoka Tanzania hawaruhusiwi katika uwanja zetu za ndege. Hata ATCL haijafungiwa ni abiria wa kutoka Tanzania, yani hata ukuwe mtalii unapitia nairobi amabayo ndiyo hub ya east and central africa kutoka Tanzania hauruhusiwi. Hii ndiyo msimamo ya Kenya.
Wewe sababu tz haitangazi bhasi unaamini hakuna Corona???? Kenya wenyewe wangekuwa hawatangazi hiyo Corona isingekuwepo tatizo Hela za mabeberu walizokulaaa[emoji23][emoji23][emoji23] Corona imeua watu 200 sijui hukp kenya lakini kuna magonjwa yaneua zaidi ya hio idada lakini hakuna anaejali hiloo sababu ya Misaada lakini Kamwe usifikiria tz hakuna Corona juzi tu kuna shangazi yangu tumemzikaa...
Hatujali as long as wao wanatuhitaji zaidi kuliko sisi tunavyowahitaji wao. Uhusiano wa kinafiki hatuutaki...Pagumu sana hapa! MKAPA ndio alikuwa anaweza kumshauri Magufuli sasa hayupo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yaani diplomasia ya Kenya na Tz ipo pabaya sana.
Ego itaua uhusiano wa hizi nchi mbilii japo wanajidai marafiki kinafiki lakini tushafikaa mbalii aiseee sasa hivi raia wa Tanzania wataanza kutimuliwa Kenya[emoji29][emoji29]
MKAPA majirani wote hawajaja kumzika.
Lete ushahidi unaoonyesha kwamba uchumi wa Uganda unakua kwa kasi kuliko Tanzania.Je unajua, Uganda iko na professionals na wasomi wengi nchini kenya kuliko Tanzania?
Je unajua, Uganda inakuwa kwa kasi kubwa kiuchumi kushinda Tanzania kwa sababu ya biashara na Kenya?
Je unajua, Mganda hahitaji work permit kufanya kazi Kenya?
Mnapenda kujidanganya! Ni kwa sababu Uganda hawana ujinga ya ujamaa na blind nationalism. Makampuni ya Kenya mengi yanapenda kuwekeza Uganda na Rwanda kwa sababu viongozi wa hizo nchi wana akili ya kujua kutofautisha siasa na biashara.
Kwa sahi viwanda vinavyojengwa uganda mingi ni makampuni za kutoka kenya. BUL(Bidco uganda limited) mtoto wa Bidco Kenya, Hoima cement mtoto wa bamburi cement Kenya,Nile breweries mtoto wa Kenya breweries, Lato milk ni mtoto wa wahindi kutoka Kenya na Brookside Kenya.
Hii ndiyo sababu viwanda vya uganda vinakuwa kwa kasi kushinda Tanzania, na sababu ya biashara kati ya Kenya, Uganda na Rwanda kuwa kubwa kuliko Tanzania
Wacha wakwamie huko mkatalii nao mjini!Ndio maana nakwambia,y'all need to go to the drawing board,uamuzi mliochukua ni uamuzi rahisi sana hata kichaa wa mirembe angeuchukua..
Mzee,huwezi nielekeza cha kuongea humu wala mimi siwezi kuelekeza chochote humu!
Kenya imefungia nchi zaidi ya 250,TZ ni one of them..shida mmepaniki na kuchukulia personal,too bad Nairobi ni regional hub EA hapa, mizigo yote itakwamia hapo,na abiria wote hawawezi enda long route ya Cape Town eti ndio waje TZ.
Jawabu sio rahisi kiivyo kama mlivyotoa, is that economically at your best interest au mmeenda kula pilipili kichaa za Chattle huko?
This is chess and not checkers.
.....mmmmmh mkuu nawe mpana hatari.... nullification ni KQ originating from Nairobi to Dar/Kilimanjaro/Zanzibar. So, ikianzia Mombasa, Kisumu, Eldoret (all international airports) or elsewhere apart from Nairobi naona itaruhusiwa. Sijui kwani wasomi wetu hawako makini na vitu vidogo lakini vya msingi kama hivi!
Mkuu,so wewe unasubiri mpaka afe ndugu yako?Kwamba wakifa wengine haikuhusu?Wakiugua wengine hata wasipokufa haikuhusu?Wakiugua wengine ilia wasipimwa haikuhusu?Kwamba tukae na wagonjwa kimya kimya bila kupima,kufuatilia na kujua hali halisi?Watakao kufa wafe na watakaopona wapone?je hio ndo imani yako?Wewe ni jirani, ndugu gan ambae unamfahamu amefariki kwa Corona, njia mathubuti kwa kitu ambacho ni invisible au naweza kusema weak
Na wewe acha umatakor!Acha upumbavu
Hapana! KWa masoko madogo ya Afrika wanatua tu! Ndo maana KQ inakwenda Zambia kupitia Harare na Maputo. Kuna KLM inayopitia Nairobi kuja Dar.Hakuna shirika la ndege la nchi nyingine inayoweza kuruka toka nchi nyingine ambayo sio nchi yake na kutua nchi ambayo sio nchi yake.
Kwa mfano, KLM haiwezi kutoka Nairobi kuja Dar, lazima iende Amsterdam ndio ije Dar. Labda useme raia wa Kanya wasiruhusiwe kuingia Tanzania
Huyo jamaa anaamini Rwanda ambayo ni landlocked country size ya mkoa wa Tz ina-influence kubwa kiuchumi kwa Kenya kuliko Tanzania. Sasa akili au mbolea hiyo?!?Hivi unajua kwamba Wakenya wengi wapo Tz