China munayo majibu ya corona ? Au ndio akili za chademo, ingia mtandaoni uniletee takwimu ya Corona ya china ya hivi sasa
Sometimes tumia akili wewe...
Kuna kitu kinaitwa Chademo?
Nimezungumzia China popote kwenye posts zangu?
China inapambana na hali yake,na second wave is on full effect!
Forget about linchi la hovyo kama China linaloendeshwa na vichaa wa CCP....
Hoja ipo pale pale...
Tanzania hatujaweza jibu hoja ya Covid-19 kwenye hizi nchi za dunia....Tumebaki kufanya vituko kama Madagascar
Kaanza Kenya,ombeni miungu wenu wasifatie wengine....
Maana,they are coming,just wait and see...
Oooh Kenya this,Kenya that....blah blah..
Si heri ingekua Kenya tu ndio ya kuhofia,kuna msusuru wa nchi za kuhofia hapa,na omba sana wasianze domino effect..
Shida ni upumbavu wa hawa majamaa waliofanya na covid-19,sasa hivi hawana majibu wala evidences kwamba hakuna covid-19 TZ,wameishia kupaniki,sasa subiri msururu wa wengine....wait...