Serikali ya Tanzania yazuia ndege kutoka shirika la Kenya Airways kutua Dar, Kilimanjaro na Zanzibar

Serikali ya Tanzania yazuia ndege kutoka shirika la Kenya Airways kutua Dar, Kilimanjaro na Zanzibar

Kuja Tz sio lazima upitie Kenya au South Africa, unaweza kupitia Ethiopia,Rwanda,Zambia,Egypt,UAE,Qatar, Uholanzi,Uturuki,Msumbiji nk,na kwa taarifa yako abiria wengi zaidi waokuja Tanzania kutokea sehemu yeyote ya dunia hii wanakuja na Ethiopian airline kupitia Addis Ababa.
 
Mimi nafikiri sasa wewe tatizo lako na serikali ya tanzania ni personal zaidi kuliko huu mjadala uliopo.

Sijui kama wanaokujibu wamelielewa hilo au nao hawana kazi ya kufanya!!!!
Wewe ndio unashindwa kuelewa hapa...

Mimi sipendi serikali ya aina yoyote to begin with..

Mimi kama capitalist serikali ya aina yoyote always ni part of the problem on anything and never a solution..

That aside...

Tunarudi hoja waliyotoa Wakenya.....

Tanzania haijafanya kazi sawasawa ya kupambana na covid-19,ni kazi ya hawa viazi kuijibu hiyo hoja kwa evidences

Majibu hawana maana wanajua upumbavu waliotufanyia wa issue ya covid-19

Hapa tatizo wala sio Kenya,maana kama ni Kenya tu then we can handle them bila tatizo sana,shida ni mataifa mengine yaki-follow suit ya kutupiga ban sababu tumebeba virus!

I see SA watafuata maana hawana utani na covid maana inawaathiri kila kukicha....I see Rwanda,then UG will follow suit..

Ulaya na Marekani huko ndio tusahau...

Tutabaki na Burundi tu,which is another shithole....just wait and see!
 
Boss hizi vitisho zenu hazikuanza leo na Kenya haijashtuka. 2015 GOT ilipunguza frequency ya KQ kuingia Dar kutoka 5 kwa siku mpaka 14 kwa wiki. Wiki iko na siku ngapi 7, haya fanya 14/7=2. Hesabu rahisi hiyo.
Tofautisha repercussion ya kupunguza na banning,pimbi wewe!
 
kwenye hio barua hio sahihi ni ya kwangu kabisa...
 
China munayo majibu ya corona ? Au ndio akili za chademo, ingia mtandaoni uniletee takwimu ya Corona ya china ya hivi sasa
Sometimes tumia akili wewe...

Kuna kitu kinaitwa Chademo?

Nimezungumzia China popote kwenye posts zangu?

China inapambana na hali yake,na second wave is on full effect!

Forget about linchi la hovyo kama China linaloendeshwa na vichaa wa CCP....

Hoja ipo pale pale...

Tanzania hatujaweza jibu hoja ya Covid-19 kwenye hizi nchi za dunia....Tumebaki kufanya vituko kama Madagascar

Kaanza Kenya,ombeni miungu wenu wasifatie wengine....

Maana,they are coming,just wait and see...

Oooh Kenya this,Kenya that....blah blah..

Si heri ingekua Kenya tu ndio ya kuhofia,kuna msusuru wa nchi za kuhofia hapa,na omba sana wasianze domino effect..

Shida ni upumbavu wa hawa majamaa waliofanya na covid-19,sasa hivi hawana majibu wala evidences kwamba hakuna covid-19 TZ,wameishia kupaniki,sasa subiri msururu wa wengine....wait...
 
Huu ni upuuzi mkubwa sana,
Kwanza kabisa tunapaswa kuelewa sababu za wao kukataa ndege zetu kutua kwao-Hatua tunazochukua dhidi ya COVID 19 ambazo binafsi hata mimi naziona zina kasoro nyingi,haziko organised,hatutoi status updates na mbaya zaidi tunataka kila nchi ifanye hivo

Sijaona sababu ya TCAA kufanya hivyo katika msingi wa Reciprocal kwa sababu inaonesha kwamba uwezo wet wa kufikiri ni mdogo sana.

Maoni yangu ni kwamba kama taifa lazima tuweke mipango madhubuti ya kuzuia usambaaji wa COVID na kuweka takwimu sahihi kuhusu hali ya ugonjwa huo.
Korona anayo Mama yako tu. TANZANIA nzima
 
Wewe ndio unashindwa kuelewa hapa...

Mimi sipendi serikali ya aina yoyote to begin with..

Mimi kama capitalist serikali ya aina yoyote always ni part of the problem on anything and never a solution..

That aside...

Tunarudi hoja waliyotoa Wakenya.....

Tanzania haijafanya kazi sawasawa ya kupambana na covid-19,ni kazi ya hawa viazi kuijibu hiyo hoja kwa evidences

Majibu hawana maana wanajua upumbavu waliotufanyia wa issue ya covid-19

Hapa tatizo wala sio Kenya,maana kama ni Kenya tu then we can handle them bila tatizo sana,shida ni mataifa mengine yaki-follow suit ya kutupiga ban sababu tumebeba virus!

I see SA watafuata maana hawana utani na covid maana inawaathiri kila kukicha....I see Rwanda,then UG will follow suit..

Ulaya na Marekani huko ndio tusahau...

Tutabaki na Burundi tu,which is another shithole....just wait and see!
Kama hatuchukui hatua stahiki kudhibiti covid 19,nao wakaonelea ni vyema sana kuchukua hatua.kuwaunga mkono kwa maamuzi yao ambayo si ya kibiashara,tunakuwa tumekosea wapi????

Hii ni vita ya kibiashara kijana,mistake moja inakughalimu pakubwa sana.nikukumbushe hapa mkenya akicheza kupumbavu KQ ndio imeshahulika mazima,hakujua.

Hiyo ban ya nchi nyingine wanaijua kenya na rwanda tu masikini hawa.watu wenye akili zao kama US wametuweka kwenye list ya nchi wasizo na wasiwasi nazo kuhusu covid.
 
Wewe jamaa mbuluka kweli. Kwani katika tamko Lao Kuna pahala wakenya wamesema KQ wasije Tz. Wameban ndege watz kuingia Kenya ila sio KQ yenye kubeba pia wakenya kuja Tz.
Huyu sijui kaamkia wapi aisee[emoji16][emoji16]
 
Hivi ni flights za Tanzania pekee zimezuliwa kutua Kenya? Nchi nyingi zimo kwenye zuio ,je zimejibu vipi zuio?
Kila siku tunawaambia humu, TZ tuna misimamo yetu,na tunajiamini kwenye maamuzi,usituletee habari za nchi nyingine,hii sio nchi ya wanjohi inayoendeshwa na mabeberu behind the curtain!
 
Niliona mahali wizara ya afya ikitoa waraka kupima covid- 19 ni tsh 40, 000 kwa mzawa
Brother

Hiyo ndio TZ tunavyopambana na covid...

Leo wanapambana na Kenya,as if ni Kenya pekee yake ndio itatupiga ban

Hawaelewi kuna zigo la nchi kibao litatupiga ban na sijui kama hawa mapunguani wana majibu ya hizo nchi...

Waache watumie shortcut kwa maswali magumu...

Yaani haya majamaa bwana....kama maviazi vile
 
Mkuu

Unajitahidi kuwaeleza hawa wehu unfortunately hawatakaa waelewe...

TZ hatuna jibu la covid-19 kwa hawa watu.....

Soon mataifa mengine hapa Africa na Ulaya yatafuata uamuzi wa Kenya sababu tu tunafanya vituko na covid-19...

Hili tatizo lita-baloon kiwango cha ajabu...Kenya ni tip of the iceberg!
Covid hamna bongo.
 
Nchi gani zitatupiga ban mara nyingine tena??
 
Mkuu

I'm afraid you still dont get it....

Sisi Tanzania hatujatoa jibu la Covid-19 kwa Kenya wakaridhika.Hii kazi ya kuwahakikishia Wakenya kua Tanzania hakuna covid-19 kwa udhibitisho ni kazi ya hawa mapunguani tuliowapa hizi ofisi waendeshe..

Hiyo Kazi hawajaifanya,walichofanya ni kukurupuka na wao kufunga bila majibu sahihi kwa Wakenya...

Brother,Kenya economically inauza zaidi TZ kuliko sisi tunavyouza kwao maana hatuna bidhaa kama wao,it does not make any sense wao eti kulikataa hili soko tu bila sababu..

Wamepiga hesabu wakaona athari za covid-19 kwao ni kubwa kuliko hela wanayopata TZ,hivyo wakafunga..

Hakuna vita ya kipumbavu namna hiyo kama unavyoniaminisha hapa...

Serikali is really doing a very bad job to convince these people kwamba hakuna covid-19 TZ.Ukweli ni kwamba ipo na hawana majibu kwa hawa watu,ndio maana.

Kaanza Kenya,no wonder wakafata wengine..maana nasikia mpaka na Rwanda magari ya TZ ni lazima yapimwe kwa wiki nzima ndio yapite wakati ya UG na Kenya yanapita same day,tunakosa mapato hapa!

Upumbavu wetu wa kupambana na korona ndio backlash hizi zinakuja na I see tutazuiwa kuingia nchi kibao,just wait hii ni tip of the iceberg!
Kwa hiyo mkuu unataka wao waje huku Bongo wachukue korona? Wao wamefunga mlango, sie tumeweka komeo kwani shida iko wapi? Ntawashangaa Wakenya waking'ang'ania kuja Tz kwenye korona! Kama wao hawataki wa Tz kwenda kwao, kuna uhalali gani wao kuja huku?
 
Kama hatuchukui hatua stahiki kudhibiti covid 19,nao wakaonelea ni vyema sana kuchukua hatua.kuwaunga mkono kwa maamuzi yao ambayo si ya kibiashara,tunakuwa tumekosea wapi????

Hii ni vita ya kibiashara kijana,mistake moja inakughalimu pakubwa sana.nikukumbushe hapa mkenya akicheza kupumbavu KQ ndio imeshahulika mazima,hakujua.

Hiyo ban ya nchi nyingine wanaijua kenya na rwanda tu masikini hawa.watu wenye akili zao kama US wametuweka kwenye list ya nchi wasizo na wasiwasi nazo kuhusu covid.
Covid-19 ni hasara zaidi kwa Wakenya kuliko hela za mauzo wanazopata TZ....

Wakaona wapige chini....

Naona mmefocus na amuzi la Kenya ambalo infact linatutoa kamasi,of which ni tip of the iceberg

Nchi zingine ziki-follow suit,then we are dead!

Maana hatuna majibu ya covid-19 kwa evidences,hatuna...

Naona SA ikipiga ban videnge vya TZ,na wengine wanafuata..

Goodluck dealing with them....

Lazima tutumie akili na kua sincere na kufanya mambo kwa uwazi maana mataifa mengine yapo at stake here...

Msituletee vituko vya Chattle hapa duniani....domino effect inakuja!
 
Mkuu

Unajitahidi kuwaeleza hawa wehu unfortunately hawatakaa waelewe...

TZ hatuna jibu la covid-19 kwa hawa watu.....

Soon mataifa mengine hapa Africa na Ulaya yatafuata uamuzi wa Kenya sababu tu tunafanya vituko na covid-19...

Hili tatizo lita-baloon kiwango cha ajabu...Kenya ni tip of the iceberg!
Wewe jamaa ni mtumwa wa fikra. Inaonesha unaamini sana katika kutegemea wengine. Simama fanya maamuzi yako na uyasimamie kwa kujiamini, no matter nani or wapi wanasema nini. Tanzania wameamua kufuata njia yao kupambana na Corona, na hawatabadilika kwa lolote. Wafunge mipaka, wafungue no body gives a damn!! Hii ndio njia yetu tuliyoamua kama Wakenya walivyoamua kufuata njia ya wazungu ambayo inabacklash everywhere! TUTAELEWANA TU ( In Dk. Shika voice)
 
Covid-19 ni hasara zaidi kwa Wakenya kuliko hela za mauzo wanazopata TZ....

Wakaona wapige chini....

Naona mmefocus na amuzi la Kenya ambalo infact linatutoa kamasi,of which ni tip of the iceberg

Nchi zingine ziki-follow suit,then we are dead!

Maana hatuna majibu ya covid-19 kwa evidences,hatuna...

Naona SA ikipiga ban videnge vya TZ,na wengine wanafuata..

Goodluck dealing with them....

Lazima tutumie akili na kua sincere na kufanya mambo kwa uwazi maana mataifa mengine yapo at stake here...

Msituletee vituko vya Chattle hapa duniani....domino effect inakuja!
Sasa walizuia raia wa tz kutoenda kenya kwa ndege kwa misingi ipi???

Nakwambia ukweli wewe hujui nia ya hawa jamaa vyema.na sijui kwanini una hasira namna hii???
 
Kwanza mhandisi.......kuna njia kuu ya umeme inaingilia Namanga kwenda kule......nataka niifunge ili tusuluhishe hili kwa sasa......🤣🤣
Roja that mhandisi mimi nitashughulika na hawa wanaotoka Narok kuja huku wasso😂
Nakucheck unipe mrejesho wa ile mambo ya jana.
 
Kwa hiyo mkuu unataka wao waje huku Bongo wachukue korona? Wao wamefunga mlango, sie tumeweka komeo kwani shida iko wapi? Ntawashangaa Wakenya waking'ang'ania kuja Tz kwenye korona! Kama wao hawataki wa Tz kwenda kwao, kuna uhalali gani wao kuja huku?
Wao kuja Bongo sio issue,tatizo ni sisi Watalii na mizigo yetu ambayo 90% inapita JKIA!

Wao kuja Bongo is nonsense here mzee!

Halafu naona mnaiona Kenya tu hapa,kuna nchi naziona zitatoa ban kama aliyotoa Kenya,until then uje hapa na majibu!

Goodluck with that!
 
Back
Top Bottom