Serikali ya Tanzania yazuia ndege kutoka shirika la Kenya Airways kutua Dar, Kilimanjaro na Zanzibar

Serikali ya Tanzania yazuia ndege kutoka shirika la Kenya Airways kutua Dar, Kilimanjaro na Zanzibar

Wewe ng'eng'eneka tu, na mkikomaa utarudi kwenu kibera
Hakuna kitu inaitwa "ng'eng'eneka"...kuna kitu mtaani inaitwa "kuneng'eneka"...please update your street lingo!

Mimi sio mtu wa Kenya wala Kibera,mimi mtu wa Marangu,Kilimanjaro,Tanzania!

Kama unanipa Ukenya,thats nonsense maana you dont know me,sana sana umegeuka mganga wa kienyeji kugawa raia kwa internet characters kama Wyatt Mathewson na kadhalika!

Crimea una clout humu,ila haya unayatoa sasa utafanya tukucheke aisee....uganga sio fani yako!
 
Kama vipi kijana nyie nendeni tu mkaishi Kenya.
Mambo kama haya yanashughulikiwa kwa namna hii.

Magufuli kama Putin vile, wadau tulisha sema kabla huu mchezo wa kufunguliana anga ni wa nipe nikupe. Siyo chako changu na changu ni changu tu.
Acha makasiriko kijanaa hapo Mabeberu wanahusikaje nambie???? Diplomasia yetu wenyewe sababu ya Ego tunaiharibu sio suala la kuanza kusingizia wachinaa..
 
ISSUE RESOLVED... CASE CLOSED!!

msilete makelele mengine hapo... haisaidii wakati muafaka imesha patikana... tupumzike kidogo sasa kuhusu issue hii... tusianze sijui ilikuwa hivi wala vile, sijui nani mwamba au nani mwoga n.k.

Let us let it to rest... ikapumzike mahali pema... [emoji41]
 
Yani nyie mnafikiri hao wakenya wanawapenda sana?

Yani mtu akuzuie kuingia kwake kisha wewe uendelee kumkenulia meno tu?
Nchi ya hivyo haipo duniani labda Lisi akiwa rais!

Hivi unafikiri China ilipomfukuza balozi wa USA juzi sababu ya USA kufunga ubalozi mdogo wa china kule USA juzi ilikuwa ni ili tump na Ping waoneshane nani ni mbabe?
Walikuwa wana linda maslahi ya nchi zao na raia wao wanajua hilo.

Hata hapa selikali kufanya hivyo ni ili kulimda maslahi ya taifa na bibi zako kule kijijini.
Mkuu Kenya wametangaza first round nchi 11,je dunia hii Ina nchi ngapi?Je hizo nchi zingine zimereact Kama sisi? Kwa nini sisi tujione tumefungiwa?Huoni kuwa tumeonesha utoto na kutojiamini?Tumeshindwaje kuvuta subra kidogo tuone mwisho wake? Kwangu Mimi logic was simple kwamba Kama hawataki ndege zetu ziende Kenya kwa sababu zitapeleka wtz kwa kuwa Wana corona,je KQ ingekuja bongo kupakia akina nani? I think mihemuko tumeiweka mbele than anything ease
 
Umesahau kusema tukiwafukuza watakosa chakula kenya hakutokalika watakuwa wakimbizi. Then watakuja kulia lia kama kawaida yao. Halafu mnaogopa kumbe hahahaha nahisi hiyo ni nzuri coz watanzania kwa sasa hatuwaitaji nyie kama mnavyo tuitaji sisi
Hivi unajua watanzania wengi wako Kenya? Tofauti ni moja, Mukifukuza wakenya mutakuwa munafukuza professionals na wanabiashara wanao nunua hizo vitungu na nyanya zenyu(Watu wanaojenga uchumi na walio na umuhimu kwa nchi). Kenya ikifukuza watanzania itafukuza makahaba, omba omba wa barabarani, na watu wa kubeba mizigo hapo gikomba (Kazi zisizo muhimu kwa Taifa).
 
malawi nao katika kuunga juhudi
IMG-20200801-WA0054.jpg
 
Umesahau kusema tukiwafukuza watakosa chakula kenya hakutokalika watakuwa wakimbizi. Then watakuja kulia lia kama kawaida yao. Halafu mnaogopa kumbe hahahaha nahisi hiyo ni nzuri coz watanzania kwa sasa hatuwaitaji nyie kama mnavyo tuitaji sisi
Unadhani kenya ikikumbwa na njaa tanzania inaweza supply mahindi ya msaada????? Sisi wenyewe stock ipo hoii mkuuu... Jiwe kila siku anasema kuhusu serikali kuto kutoa msaada wa chakulaaaa ebu tuache unafiki hapa wa kujidai tuna msaada sana kwa Kenyaa...
 
Uganda sio hub

Rwanda sio hub

Burundi sio hub

Acha kuchanganya mambo wewe?

Uganda,Rwanda,Burundi na upumbavu mwingine ni viwanja vya ndege vya hovyo kama ilivyo DIA au KIA

Cape Town ni hub,J'burg ni hub

Lagos ni hub

Cairo ni hub

Nairobi ni hub

Addis Ababa ni semi hub

Usije kulogwa ukadhani kiwanja chochote tu ni hub..stop that nonsense!

Sishauri chochote,maana hakuna mtu ananilipa for my services!

Kuna majitu tumeyaajiri maofisini huko yafanye hiyo kazi,unfortunately they dont do their job yanaishia kufanya madudu kama hilo tangazo la kipumbavu walilotoa ambalo halina solution yeyote!

Na hapa kama itakua ni Kenya pekee yake sio tatizo sana,shida ni kama other countries zitafuata suit!Be worried niggas!

Hoja ya Kenya ni valid,hoja yao ya Covid-19 kuhusu sisi ni valid na hatuna majibu nayo with evidences!

Thats make us even sillier and and stupid!
Km unaona huna wajibu wa kujisumbua kushauri .je ni vema kulalamika?its non sense je kenya ilikuwa hub for a day or ni suala la kujijenga kwa miaka?
 
Mkuu Kenya wametangaza first round nchi 11,je dunia hii Ina nchi ngapi?Je hizo nchi zingine zimereact Kama sisi? Kwa nini sisi tujione tumefungiwa?Huoni kuwa tumeonesha utoto na kutojiamini?Tumeshindwaje kuvuta subra kidogo tuone mwisho wake? Kwangu Mimi logic was simple kwamba Kama hawataki ndege zetu ziende Kenya kwa sababu zitapeleka wtz kwa kuwa Wana corona,je KQ ingekuja bongo kupakia akina nani? I think mihemuko tumeiweka mbele than anything ease
Kiwango chetu cha interactions ni kikubwa na tunategemeana. Hao wengine madhara si makubwa kama tukibaniana wenyewe.
 
Tanzania isiwe mwepesi wa kutaka mazungumzo hata Kenya wakihitaji kuongea hadi pindi corona wanayosema Tz iishe, walianza kufunga mipaka na restrictions kibao kwa watanzania,leo wamekuja na kuzuia ndege za Tz kuingia Kenya , hatua iliyochukuliwa na Tz ni sahihi sana, waacheni kwanza nendeni kwenye kampeni mkirudi November ndio mazungumzo yaaze ili wajutie maamuzi yao kwanza.
 
Kiwango chetu cha interactions ni kikubwa na tunategemeana. Hao wengine madhara si makubwa kama tukibaniana wenyewe.
Kwamba sisi Tz na Kenya tunaintract sana kwa kutumia ndege? Hivi zaidi ya precision air ni ndege gani nyingine ya Tanzania inayoenda Kenya? Na tulijuaje kwamba kwenye second or third list hatumo?
 
Tanzania isiwe mwepesi wa kutaka mazungumzo hata Kenya wakihitaji kuongea hadi pindi corona wanayosema Tz iishe, walianza kufunga mipaka na restrictions kibao kwa watanzania,leo wamekuja na kuzuia ndege za Tz kuingia Kenya , hatua iliyochukuliwa na Tz ni sahihi sana, waacheni kwanza nendeni kwenye kampeni mkirudi November ndio mazungumzo yaaze ili wajutie maamuzi yao kwanza.
Mkuu ni ndege gani ya Tanzania ilikuwa inatua Kenya hapo kabla?
 
Mkuu Kenya wametangaza first round nchi 11,je dunia hii Ina nchi ngapi?Je hizo nchi zingine zimereact Kama sisi? Kwa nini sisi tujione tumefungiwa?Huoni kuwa tumeonesha utoto na kutojiamini?Tumeshindwaje kuvuta subra kidogo tuone mwisho wake? Kwangu Mimi logic was simple kwamba Kama hawataki ndege zetu ziende Kenya kwa sababu zitapeleka wtz kwa kuwa Wana corona,je KQ ingekuja bongo kupakia akina nani? I think mihemuko tumeiweka mbele than anything ease
Huna ujualo! Acha hizo akili za siasa zilizokujaa kichwani mwako kwanza
 
Huna ujualo! Acha hizo akili za siasa zilizokujaa kichwani mwako kwanza
Wewe unaejue nielekeze mkuu,kilichotusukuma tureact haraka Kama si muhemuko na inferiority complex ni nini?
 
Mkuu ni ndege gani ya Tanzania ilikuwa inatua Kenya hapo kabla?

Arguments hizi nime zisikia sana ni za kijinga mno, huoni kuwa tuna mashirika mengi ya nje yana routes zake Tz na yanapitia kenya yakirudi au kwenda katika nchi mbalimbali , kitendo cha kuzuia ndege kutoka Tanzania kuingia Kenya means mashirika yote hayo hayata weza kutua Kenya yakitokea Tanzania hivyo effects ni kubwa, hatua ya serikali ni sahihi sana.
 
Back
Top Bottom