Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,432
- 25,124
Hakuna kitu inaitwa "ng'eng'eneka"...kuna kitu mtaani inaitwa "kuneng'eneka"...please update your street lingo!Wewe ng'eng'eneka tu, na mkikomaa utarudi kwenu kibera
Mimi sio mtu wa Kenya wala Kibera,mimi mtu wa Marangu,Kilimanjaro,Tanzania!
Kama unanipa Ukenya,thats nonsense maana you dont know me,sana sana umegeuka mganga wa kienyeji kugawa raia kwa internet characters kama Wyatt Mathewson na kadhalika!
Crimea una clout humu,ila haya unayatoa sasa utafanya tukucheke aisee....uganga sio fani yako!