Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 5,606
- 7,032
Je, huu ni msaada au mkopo? Tungekuwa tunapata ufafanuzi kidogo ili sisi walipa kodi tujue, endapo tumeongezewa deni jingine la kulipa au tumepewa bureee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee Pascal je unaweza kuamua unapenda kudai nini? Unaanza warudishe walichopora, ila baada hutaji walichopora unjadili mifupa isiyo na thamani yoyote ya kifedha;This is good news ila hizo pesa ni peanut compared to what German looted Tanzania, hivyo ni sehemu tuu ya CSR. Sasa its high time Tanzania sio tupewe viji misaada mbuzi as favours, bali tupewe haki yetu na mapato stahili ya mali kale zetu zilizoko Ujerumani. Sio vibaya tukiwakumbusha Ujerumani kurudisha fuvu la Mkwawa shujaa, na wale mashujaa wote waliowanyonga, kisha kuwachinja na kuchukua vichwa vyao na kuvipeleka Ujerumani. 2. Warudishe malikale zote walizo loot from German East Africa. 3. Wagharimie kutujengea uwezo wa uhifadhi, ili waturudishie ile skeleton ya dinasauria wetu wa Tendaguru ambeye ndie anayevunja gueness book of records ya dinasauria mkubwa duniani, ambaye anawaingizia Ujerumani bilions of money kupitia utalii. Watujengee uwezo, waturudishie dinasauria wetu, watu waje Tanzania na sio Ujerumani.
P