Hizo ni hamasa za mpira hazina madhara mbona? Ila atakaye jaribu kutuharibia tutanyooka naye ulaloUlishawahi kuona wapi mechi ya mpira wakaingia mashariki wa aina Moja tu kiwanjani? Ni kweli Ahmed Alley na Dalali wanaweza kuua watu ndani ya New Amani Complex?
Mbona Yanga walipocheza finali na Alger watu wote waliingia na kushangilia kwa Uhuru.
Je, hizi kauli za Simba ndio kauli ya SMZ pia?
View: https://youtu.be/H0hoWgOF7Qc?si=FQAGc3SoSPs4mH7H
Umefungwa weweNiwe tu mkweli hii mechi tusha fungwa hizi zote ni dalili ya woga
Wanajisumbua tu. Uwanjani anaingia yeyote kwa pesa yakeUlishawahi kuona wapi mechi ya mpira wakaingia mashariki wa aina Moja tu kiwanjani? Ni kweli Ahmed Alley na Dalali wanaweza kuua watu ndani ya New Amani Complex?
Mbona Yanga walipocheza finali na Alger watu wote waliingia na kushangilia kwa Uhuru.
Je, hizi kauli za Simba ndio kauli ya SMZ pia?
View: https://youtu.be/H0hoWgOF7Qc?si=FQAGc3SoSPs4mH7H
Hakuna hamasa hapo, hizo ni kauli za watu ambao hawajastaarabika. Kuna watu kila siku mnalilia utawala wa Sheria ila watu wenu wakitoa kauli ambazo zinavunja Sheria mnachekelea kisa Simba au Yanga.Hizo ni hamasa za mpira hazina madhara mbona? Ila atakaye jaribu kutuharibia tutanyooka naye ulalo
Serikali na jeshi la polisi wajitokeze waseze kama na wao huo ndio msimamo wao. Hii inaanzisha rejea mpya (presidency) kwenye mpira wetu Tanzania itakayokuja kusababisha maafa makubwa sana Tanzania huko mbeleeni.Sasa kwa Znz kauli kama hizo hapo ndo kwao.
Kauli za jino kwa hino huko ndo zinaenziwa.
Sasa hao Yanga wajichanganye waone kitu itakayowapata
Hizi ni kauli mbaya kuwahi kusemwa katika taifa linalofuata sheria. Kauli zinazochochea mauaji. Wanaoshinda mechi ni wachezaji na benchi la ufundi, sio watazamaji. Ndio maana timu zinashinda ugenini pia kwenye shabiki wao kidogo. Inshallah na Berkane watashinda ugenini ili amani yetu ibaki.Hakuna hamasa hapo, hizo ni kauli za watu ambao hawajastaarabika. Kuna watu kila siku mnalilia utawala wa Sheria ila watu wenu wakitoa kauli ambazo zinavunja Sheria mnachekelea kisa Simba au Yanga.
Tujifunze ustaarabu mpira hauko hivyo, tujifunze kuandaa timu uwanjani na siyo kutegemea ulozi wa nje ya uwanja
Samahani sana laikini
Unatesekea wapi ndugu, maana naona soon utapasuka MOYO. Na mimi nakuongezea mateso sasa nasema hivi "kwa yeyote atakae jaribu kuhujumu Goli la MAMA yaani TUTAKINUKISHA NA KUKINUSHA KWELI KWELI"Hakuna hamasa hapo, hizo ni kauli za watu ambao hawajastaarabika. Kuna watu kila siku mnalilia utawala wa Sheria ila watu wenu wakitoa kauli ambazo zinavunja Sheria mnachekelea kisa Simba au Yanga.
Tujifunze ustaarabu mpira hauko hivyo, tujifunze kuandaa timu uwanjani na siyo kutegemea ulozi wa nje ya uwanja
Samahani sana laikini
NakaziaSimba Bingwaaaaa
Hilo ni dua la kuku... Mbona hukusema mwaka jana wakati Yanga inacheza kimataifa, Serikali ya Tz ilisisitiza watanzania wote twende kwa Mkapa tuonyeshe uzalendo wetu kuishangilia yanga.Mungu atakujibu kwa Berkane kuondoka na kombe ili Mungu abaki kuwa Mungu na mamlaka yake kwa ulimwengu.
Kuhujumu ni kufanya nini, kuwakata miguu wachezaji wa Simba? Tafsiri ya kuhujumu ni kufanya nini? Mbona Simba waliingia wamevaa jezi za mMelods na Alger kwenye mechi za Yanga kwenye kombe hilihili mbona Yanga hawakuja na kauli za kishamba kama hizi? Simba ni washamba na vichaa wote.Unatesekea wapi ndugu, maana naona soon utapasuka MOYO. Na mimi nakuongezea mateso sasa nasema hivi "kwa yeyote atakae jaribu kuhujumu Goli la MAMA yaani TUTAKINUKISHA NA KUKINUSHA KWELI KWELI"
Siteseki na mtu kama wewe ambaye huna ustaarabu wowote. Hizo kauli zako za kijinai kawape wenzako ambao hawajastaarabika.Unatesekea wapi ndugu, maana naona soon utapasuka MOYO. Na mimi nakuongezea mateso sasa nasema hivi "kwa yeyote atakae jaribu kuhujumu Goli la MAMA yaani TUTAKINUKISHA NA KUKINUSHA KWELI KWELI"
Hao wanatafuta chaka tu la kutokea wameshajua kushinda ni ngumu!!mpira ni uwanjani hayo mambo mengine ni kudanganyana tu ila kwakuwa mashabiki wao ndio hupenda kuyasikia hayoNiwe tu mkweli hii mechi tusha fungwa hizi zote ni dalili ya woga
Sasa kwa Znz kauli kama hizo hapo ndo kwao.
Kauli za jino kwa hino huko ndo zinaenziwa.
Sasa hao Yanga wajichanganye waone kitu itakayowapata