Serikali ya Zanzibar kemeani kauli za Ahmed Ally na Mzee Dalali zisizo za kimichezo, zinawachafua

Serikali ya Zanzibar kemeani kauli za Ahmed Ally na Mzee Dalali zisizo za kimichezo, zinawachafua

Ulishawahi kuona wapi mechi ya mpira wakaingia mashariki wa aina Moja tu kiwanjani? Ni kweli Ahmed Alley na Dalali wanaweza kuua watu ndani ya New Amani Complex?

Mbona Yanga walipocheza finali na Alger watu wote waliingia na kushangilia kwa Uhuru.

Je, hizi kauli za Simba ndio kauli ya SMZ pia?

View: https://youtu.be/H0hoWgOF7Qc?si=FQAGc3SoSPs4mH7H

Yupo akiyewahi kuwaita mbumbumbu hiyo timu.
 
Vicious cycle ya kufukuzana kwenye mechi ndio imezaliwa Zanzibar, Yanga watafanya hiiiivyohiiiivyo kwenye mechi zao na TFF na Serikali waendelee kukaa kimya hiiiivyohiiiivyo.
 
Kuna maisha baada ya mechi, aibu imebakia na Simba, TFF na Serikali. Hii ni burudani tu lakini kwa Yanga itawalazimu kulipa kisasi na baadae utakuwa utamaduni wa Simba na Yanga kwenye mechi zao kusiwe na mashariki wa timu pinzani ya nyumbani. Huu ni upuuzi ambao kama unhekemea na wenye mamlaka usingekuwepo
 
1000085188.jpg
 
Ulishawahi kuona wapi mechi ya mpira wakaingia mashariki wa aina Moja tu kiwanjani? Ni kweli Ahmed Alley na Dalali wanaweza kuua watu ndani ya New Amani Complex?

Mbona Yanga walipocheza finali na Alger watu wote waliingia na kushangilia kwa Uhuru.

Je, hizi kauli za Simba ndio kauli ya SMZ pia?

View: https://youtu.be/H0hoWgOF7Qc?si=FQAGc3SoSPs4mH7H

Simba ni wavivu kwenda kwenye game za yanga fuatiria
 
Back
Top Bottom