Siteseki na mtu kama wewe ambaye huna ustaarabu wowote. Hizo kauli zako za kijinai kawape wenzako ambao hawajastaarabika.
Juzi tumetoka kuangalia Fainali ya Europa ulisikia kauli kama hizi?
Wastaarabu hawatoi kauli za kijinai, sema tu kwa vile nchi zetu hazivuati Sheria wewe na hao wenzako msiyostaarabika mngekuwa central mkusubiri mechi iishe kwa sababu mnahatarisha usalama wa nchi kwa sababu ya ushamba wenu na kukosa ustaarabu.
Sitaarabikeni, dunia haipo huko ndugu yangu. Mpira unachezwa uwanjani siyo midomoni mwa mnaowaita wahamasishaji. Pole sana