DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 6,138
- 11,989
Umefungwa wewe na bibi yako!Niwe tu mkweli hii mechi tusha fungwa hizi zote ni dalili ya woga
Umefungwa wewe na bibi yako!Niwe tu mkweli hii mechi tusha fungwa hizi zote ni dalili ya woga
Asante sanaWewe ni mtu mjinga.
Kwa bahati nzuri sina shida na simba kuchukua kombe, ila nipo hapa kuwaelimisha watu kama wewe ambao hamjastaarabikaKitu kidogo unaandika kitabu...Kwa maelezo yako yooote bado unateseka tu. Simba kikombe inachukua.
wewe angahika na jkt wakati wanaume wanapambania heshima ya nchi.Mnatatishia kishamba tu, watu watajaa uwanjani wa aina zote washudie mkitiwa mate live.
Ulishawahi kuona wapi mechi ya mpira wakaingia mashariki wa aina Moja tu kiwanjani? Ni kweli Ahmed Alley na Dalali wanaweza kuua watu ndani ya New Amani Complex?
Mbona Yanga walipocheza finali na Alger watu wote waliingia na kushangilia kwa Uhuru.
Je, hizi kauli za Simba ndio kauli ya SMZ pia?
View: https://youtu.be/H0hoWgOF7Qc?si=FQAGc3SoSPs4mH7H
Ulitaka awe bibi yako?Umefungwa wewe na bibi yako!
Na walisema hakuna timu nyingine nchini itavaa medali kama yao. Sasa hivi wanahahaHilo kombe yanga walishavaa medali zake, wanazo lakini sikusikia upuuzi. Kila mtu alishiriki kwa njia yake bila shida. Hili la Sasa ni maskini akipata matako hulia bwata
Hizo ni hamasa za mpira hazina madhara mbona? Ila atakaye jaribu kutuharibia tutanyooka naye ulalo
Kauli za kifala kutoka kwa fala Dalali!! Zee zima linaongea mambo ya *******.Hizo ni hamasa za mpira hazina madhara mbona? Ila atakaye jaribu kutuharibia tutanyooka naye ulalo
Kumbe ata wewe ungekuwa msemaji kwa niaba yake, .....ungetoa maneno mabaya km ulivyo yaandika apaKauli za kifala kutoka kwa fala Dalali!! Zee zima linaongea mambo ya *******.
Alivyokuja ndivyo amepokelewa.Kumbe ata wewe ungekuwa msemaji kwa niaba yake, .....ungetoa maneno mabaya km ulivyo yaandika apa
Uchukue kombe kwa mpira gani? Ununue kwa pesa ipi? Uwezo wenu ni kununua marefa wa bongo kwa senti mbili. Unashindwa kuifunga timu kama Dodoma Jiji au Namungo mpaka ubebwebwe na referree ndiyo umfunge RS Berkhane! In your dreams.Whatever ila ili kombe tuhakikishe linabaki hapa kwa njia yoyote ile hata kwa kulinunua