Yupo akiyewahi kuwaita mbumbumbu hiyo timu.Ulishawahi kuona wapi mechi ya mpira wakaingia mashariki wa aina Moja tu kiwanjani? Ni kweli Ahmed Alley na Dalali wanaweza kuua watu ndani ya New Amani Complex?
Mbona Yanga walipocheza finali na Alger watu wote waliingia na kushangilia kwa Uhuru.
Je, hizi kauli za Simba ndio kauli ya SMZ pia?
View: https://youtu.be/H0hoWgOF7Qc?si=FQAGc3SoSPs4mH7H
Ulishawahi kuona wapi mechi ya mpira wakaingia mashariki wa aina Moja tu kiwanjani? Ni kweli Ahmed Alley na Dalali wanaweza kuua watu ndani ya New Amani Complex?
Mbona Yanga walipocheza finali na Alger watu wote waliingia na kushangilia kwa Uhuru.
Je, hizi kauli za Simba ndio kauli ya SMZ pia?
View: https://youtu.be/H0hoWgOF7Qc?si=FQAGc3SoSPs4mH7H
Kiko wapi 🤣Simba Bingwaaaaa
Angalia ngumi mwishoni mwa clipNyashu hawa
Mmenyooka nao wangapi maana kombe ndo mmekosa.Hizo ni hamasa za mpira hazina madhara mbona? Ila atakaye jaribu kutuharibia tutanyooka naye ulalo
Simba ni wavivu kwenda kwenye game za yanga fuatiriaUlishawahi kuona wapi mechi ya mpira wakaingia mashariki wa aina Moja tu kiwanjani? Ni kweli Ahmed Alley na Dalali wanaweza kuua watu ndani ya New Amani Complex?
Mbona Yanga walipocheza finali na Alger watu wote waliingia na kushangilia kwa Uhuru.
Je, hizi kauli za Simba ndio kauli ya SMZ pia?
View: https://youtu.be/H0hoWgOF7Qc?si=FQAGc3SoSPs4mH7H