Serikali yaagiza Dawa za Kutibu Homa na Kuhara kwa Watoto zitolewe bure Nchi nzima

Serikali yaagiza Dawa za Kutibu Homa na Kuhara kwa Watoto zitolewe bure Nchi nzima

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826

Agizo hilo limetolewa na Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu leo Mei 12, 2023 Bungeni Dodoma kwenda kwa Waganga wa Wilaya na Mikoa Nchini kote akiwataka kusimamia utoaji wa Dawa hizo kwa Watoto wenye chini ya miaka 5.

Waziri Ummy amesema Dawa hizo zikiwemo Kidonge Myeyuko cha 'Amoxicillin', Zinc na ORS hununuliwa na Serikali ili kuzuia Vifo vinavyotokana na Homa ya Mapafu na Kuhara, hivyo zinapaswa kugawiwa bure kwenye Vituo vyote.
 
Back
Top Bottom