PostGE2025 Serikali yaagiza Kanisa la Gwajima (Ufufuo na Uzima) lifunguliwe

PostGE2025 Serikali yaagiza Kanisa la Gwajima (Ufufuo na Uzima) lifunguliwe

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

View: https://youtube.com/shorts/qfDu8GoqAwY?si=G96anwQWbqvntMxJ

Kabla ya agizo lake hilo, Je, Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba ametoa majibu Maswali haya kwa wananchi?

1. Utekaji na mauaji ya wakosoaji wa serikali na Samia yamekwisha Tanzania?

2. Kwanini mahakama inasuasua kusikiliza na kutoa maamuzi ya kesi ili ijulikane ni upande gani una haki na upi una makosa katika mgogoro huu?

3. Kesi iko mahakamani. Ni kwanini, PM anaagiza Waziri ndio atoe uamuzi wa kufungua kanisa?

MWISHO:
#Matatizo na makosa ya serikali hayawezi kutatuliwa kwa kauli za kisiasa za majukwaani toka kwa viongozi wa hovyo wanotumia mamlaka yao ya kiserikali vibaya kuonea na kunyanyasa watu!

#Tunataka uwajibikaji wa ksheria na kisiasa kwa wahusika wote walio abuse mamlaka yao. Hili jambo haliwezi kwisha kienyeji tu kama anavyodhani PM Mwigulu Nchemba!

#Serikali haiwezi kutengeneza tatizo linalosababisha madhara makubwa ya vifo vya watu maelfu wasio na hatia pamoja na uharibifu wa mali kwa sababu ya ujinga na tamaa ya madaraka ya kikundi kidogo tu cha watu kisha mambo yaachwe yaishe hivihivi. Hapana, HAITAKUWA HIVYO, TUNATAKA UWAJIBIKAJI
 
Naam naam uwajibikaji wa kisheria ni muhimu
. Tanzania sheria haifuatwi tena kiongozi akishiba tu anatoa tamko na tamko lake linakuwa juu ya sheria

Inastaajabisha sana
 
Kitimoto ni haramu walahi. Walifikiri Bishop ni wale wa kujambisha jambisha wamejambishwa wao. Fungeni makanisa yote mpaka kiyama siye hatutaki utekaji. Mbona mwafungua. Heheee! Mlitishia kujamba wakati mwaharisha hee! Walahi mwakamatika kubaya. Nye sijeuri. Fungeni mlifikiri mwamkomoa. Heee! Shetani akomoa shetani wenziye. Na bado. Mlitakaje nye. Endeleani kuua zamu yenyu haiko mbali walahi. Walahi mtalipia. Bata wahed na bado
 
Back
Top Bottom