Kipondo Cha ugoko
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 1,411
- 2,700
That why Mimi waga nasema tatizo la nchi hii sio katiba, tunaweza tukawa na katiba nzuri sana lkn kwa aina ya hawa viongozi wetu wasiojali katiba Wala kuifuata ni kazi Bure. Kwa mfano katiba ya sasa tulionayo kama ikifuatwa vzr huwezi kukuta ujinga kama huu wa fungia fungua ,kamata achia, wape usiwape.Kesi si ilikuwa mahakamani?
Na ukisema amewasamehe amewasehe kitu gani? Walifanya kosa gani?
Tunaongozwa na mijitu isiyofuata sheria. Inaamua tu. Funga, fungia, samehe, fungia tena. Hauwezi kutegemea haki hiwe upande wako hata siku moja. Anyway, December 9. Tunaanza upyaaaaaaaaaaa!!!
Tudill kwanza na viongozi waziheshimu Sheria, wafute katiba tofauti na hapo ni kazi Bure ndugu zangu( mifano tunayo)
Sawa tutaandika katiba mpya je aina hiii ya viongozi wataiheshimu??