Mapinduzi siyo!?Nasikia maandamano yalianziaga hapo sijui ni kweli anyway tukutane D9 Samia lazima atoke na akitoka lazima atoke na takataka zake zote alizoziteua.
Jf hadi 6D
Tangu jana Kuna mtu aliisema hii issue ticktock na kumtonya Gwajima wanataka wamkamate ni mtego.It sound goooood
Wanataka wamkamate Gwajima stuka.Dude limeamshwa, Na bado, toeni na miili ya mashujaa wetu tukazike
Inawezekana ila hapo watazidi kuharibuWanataka wamkamate Gwajima stuka.
Tarehe 9 haizuliki kwa usanii kama huu. Kwann lilifungiwa na kwanini linafunguliwa?Nasikia maandamano yalianziaga hapo sijui ni kweli anyway tukutane D9 Samia lazima atoke na akitoka lazima atoke na takataka zake zote alizoziteua.
Boss kwa sasa, hana points za kuongea kwenye public, hivyo hana namna zaidi ya kumuachia bwana mdogo aweke mambo sawa.PM ataendana kweli na Boss wake??
Ni kama mmoja hakuna neno Msamaha kwenye kamusi yake.
Kwa hiyo huyu kahaba anatuona watanganyika wapumbavu sana ...yani umwage damu ya wazalendo kwa kulinda damu za wahuni na mafisadi kisha uje na janja janja za matengenezo ....samia anatakiwa kuhukumiwa kunyongwa hadi kufa na kufilisiwa kwa asilimia 100% ni muhalifu mkubwa sana ....GAIDI..fuatilia hotuba ya Waziri Mkuu.
..taratibu serikali imeanza kujitenga na viongozi wa dini wanaotetea dhuluma.
Huko sio kuingilia mahakama. Kanisa halikufungwa kwa amri ya mahakama.Mwigulu ameiingilia mahakama kwa kuamuru Kanisa la Ufufuo na uzima kifunguliwa mara moja.
Katiba hii ifumuliwe ili viongozi wasiwe miungu watu
Kuna mtu ticktock jana alikuwa anamuonya Gwajima kuwa hapo Mikocheni alipojificha (Hii ni nyumba ya Tatu anahama kujificha) wameshaigundua achomoke haraka na kuwa Gwajima alikuwa na plani ya kukimbia Nchini imegonga mamba kwa ajili ya Hali iliyopo. Akadai hatua inayofuata watalifungua kanisa aangie mkenge wamchuke kiulaini. Hizi kauli za Serikali kuonyesha wanajali, wameumia ni baada ya Makala ya CNN.Inawezekana ila hapo watazidi kuharibu