Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo umbali wa kilomita 4 kutoka kwenye centre yenye umeme ninahitaji kuunganishiwa umeme na mimi napaswa kupatiwa nguzo bure mpaka sehemu ya makazi yangu ??
Sent using Jamii Forums mobile app
TANESCO hawajawahi uza nguzo wanachochaji ni umbali toka miundombinu ya umeme ilipo hadi mteja alipo so kauli ya waziri ilitakiwa kuwa "bei ya kuunganisha umeme ni 27000 haijalishi ni mbali kiasi gani"Hiyo ni kwa ajili ya ule umeme unaosambazwa na Wakala wa Umeme Vijijini (REA) au ule wa kawaida unaoshughulikiwa na TANESCO moja kwa moja? Na pia kwa nini waziri katumia neno "wanaolazimisha" ina maana kuna nafasi ya "kuwaomba" wananchi kulipia hizo nguzo na wakilipia kwa hiari inakuwa siyo tatizo? Kama hilo la kuwaomba lipo na linaruhusiwa basi kuna uwezekano wa mameneja kulazimisha kwa kutumia lugha ya kuwaomba kulipia kama njia ya kujenga mazingira ya rushwa.
TANESCO hawajawahi uza nguzo wanachochaji ni umbali toka miundombinu ya umeme ilipo hadi mteja alipo so kauli ya waziri ilitakiwa kuwa "bei ya kuunganisha umeme ni 27000 haijalishi ni mbali kiasi gani"
Sent using Jamii Forums mobile app
AsanteKifaa kinachotumia umeme wa kawaida mfano majumbani kuna taa, friza, fridge, pasi n.k, hapo sio lazima utumie 3phase. Only single phase.
Kifaa kinachotumia umeme mkubwa mathalan kiwanda cha tofali, ginnery, plant za dhahabu, almasi n.k, hapo yakupasa uwekewe 3phase, umeme wenye uwezo wa kuendesha kiwanda chako.
Je kama nina nyumba tatu kwenye kiwanja kimoja nikitumia mita 1 ya 3phase nitavunja sheria ya kujiunganishia umeme kinyemela?Mkuu, tanesco wanatuibia sana,,,kuvutiwa umeme wa single phase ndani ya 30 mitres wanachaji 321,000/ harafu 30 mitres iyoiyo kwa umeme wa 3phase 912,000/= umbari ukizidi wanachaji zaidi.
Binafsi nipo tayari kulipia nguzo lakini ile gharama ya nguzo wanipe units za umeme maana ile nguzo nalipia bado inakuwa si mali yanguUkienda Tanesco wanakwambia hakuna nguzo, Serikali haijaleta nguzo kwaiyo subiri hadi zitakapo kuja. Toeni utaratibu mzuri wengine hela tunazo za kulipia tunahitaji utaratibu tu, hao wa bure waendelee kusubir
Sent using Jamii Forums mobile app
Je kama nina nyumba tatu kwenye kiwanja kimoja nikitumia mita 1 ya 3phase nitavunja sheria ya kujiunganishia umeme kinyemela?
Sent using Jamii Forums mobile app