Serikali yaagiza wanaotoza fedha za nguzo za umeme kwa wananchi wakamatwe

TANESCO hawajawahi uza nguzo wanachochaji ni umbali toka miundombinu ya umeme ilipo hadi mteja alipo so kauli ya waziri ilitakiwa kuwa "bei ya kuunganisha umeme ni 27000 haijalishi ni mbali kiasi gani"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, tanesco wanatuibia sana,,,kuvutiwa umeme wa single phase ndani ya 30 mitres wanachaji 321,000/ harafu 30 mitres iyoiyo kwa umeme wa 3phase 912,000/= umbari ukizidi wanachaji zaidi.
 
Asante

Je kama nina nyumba tatu kwenye kiwanja kimoja nikitumia mita 1 ya 3phase nitavunja sheria ya kujiunganishia umeme kinyemela?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukienda Tanesco wanakwambia hakuna nguzo, Serikali haijaleta nguzo kwaiyo subiri hadi zitakapo kuja. Toeni utaratibu mzuri wengine hela tunazo za kulipia tunahitaji utaratibu tu, hao wa bure waendelee kusubir

Sent using Jamii Forums mobile app
Binafsi nipo tayari kulipia nguzo lakini ile gharama ya nguzo wanipe units za umeme maana ile nguzo nalipia bado inakuwa si mali yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…