Unapenda sana kufanya citation yako kila mara Kenya, kwani wapi ulipaona wanademokrasia pamoja mfumo mzuri kwenye katiba yao lakini hawaendi mahakamani wala kuandamana? Ubinafsi ndiyo imekujaa.Kenya wana Katiba Mpya na matokeo wanapingwa Mahakamani lakini watu wanatuhumiana kuibiana kura, wanapelekana Mahakamanj na hukumu zinatoka lakini hawaridhiki wanakuja mtaani kupigana Mawe
hapo kinachotafutwa sio haki ya Raia wa kawaida bali fursa ya Wanasiasa kuingia kwny Serikali ya umoja wa Kitaifa
huku kwetu ukitaka kuitwa Mhafidhina mshawishi Mbowe na Zitto wavitoe vyama vyao kwny keki ya Muafaka