Serikali yaamuru Wananchi warudishiwe fedha zao walizolipa kuwaona Simba na Yanga wakicheza

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Serikali ya CCM kupitia Waziri wa Habari, Mhe. Bashungwa imewataka TFF kuwarudishia Wananchi fedha walizolipa kama kiingilio cha kushuhudia mechi ya Simba na Yanga.

 
Mimi nimeshawahi kuingia kwenye Mechi mara moja tu na Ahmad Amasha akatupiga bao sijarudia sasa ni mtu wa Radio na Runinga
Ahmed Amasha aliwahi kumvunja mguu Yusuph Ambwene wa CDA Dodoma.

Amasha alilia uwanjani baada ya tukio lile!
 
Serikali ya CCM kupitia waziri wa Habari mh Bashungwa imewataka TFF kuwarudishia wananchi fedha walizolipa kama kiingilio cha kushuhudia mechi ya Simba na Yanga.

Source: ITV habari!
Upuuzi tatizo walitengeneze wenyewe halafu mna jisifu??
 
Yaani huyo ndio wale kati ya mabeki ngangari,waliowahi kucheza Yanga aiseee...
Alitokea Tukuyu Stars akaenda Yanga Afrika halafu ndio akatua Simba Sports nadhani zilikuwa ni juhudi za kipekee za Azim Dewji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ