Serikali yaamuru Wananchi warudishiwe fedha zao walizolipa kuwaona Simba na Yanga wakicheza

George Massatu nilikuwa namuheshimu sana ila Boli Zozo nuksi😁
 
Beki niliyekuwa namuheshimu Godwin Aswile sijui yuko wapi ule mwamba

Yule jamaa alikuwa noma haswaaa.Akiwa Simba SC aliwahi kuwadhibiti Wasudani (nadhani walikuwa El Hilal wale) kwao kwenye michuano ya klabu bingwa Afrika hadi jamaa wakazima taa za uwanjani na kuwaangushia kipigo kikali wachezaji wa Simba.

Ilibidi Godwin Aswile,Mohammed Mwameja na wengine kadhaa washonwe nyuzi ili kutibu majeraha ya kipigo cha mbwa mwizi.Hiyo ilikuwa ni mwanzoni mwa miaka ya 1990 (nadhani 1994).
 
Unamkumbuka Dua Saidi wa Small Simba ya Zanzibar?
 
CCM Ni makini haijawahi tokea

20210511_170756.jpg
 
Serikali ya CCM kupitia waziri wa Habari mh Bashungwa imewataka TFF kuwarudishia wananchi fedha walizolipa kama kiingilio cha kushuhudia mechi ya Simba na Yanga.

Source: ITV habari!
Na wale waliotoka mikoani kuja Dar wanafidiwa vipi, watu wamelipa nauli, wamelala lodge bado haionekani kama hasara
 
Beki niliyekuwa namuheshimu Godwin Aswile sijui yuko wapi ule mwamba
Namkumbuka sana Godwin Aswile. Wakati ule kombe la Chalenge tunashiriki pamoja na nchi za Zambia na Malawi. Aswile alimdhibiti vilivyo Mshambuliaji wa Zambia, Moses Chikwalakwala. Bahati mbaya sana Aswile alimtimba Chikwalakwala wala hakuweza kurudi uwanjani tena.[emoji460]
 
Tatizo sio kurudishiwa fedha za viingilio tu, kuna gharama nyingine kubwa ambazo zinatakiwa kuangaliwa kwa kina, mfano kuna wapenzi wa soka waliokodisha magari kutoka mikoa mbalimbali kuja Dar es Salaam, vipi kuhusu yule shabiki aliyetembea kwa miguu toka Kigoma hadi Dar es Salaam, huyu nae wanamfikiriaje?

Kurudisha fedha za viingilio tu haitoshi, ila warudishe gharama nyingine kwa mashabiki watakaoweza kuthibitisha gharama walizoingia siku hiyo, kwa watu waliokodi gari kutoka mikoani, kuwarudishia viingilio tu hiyo naona si sawa.

Pia waliosababisha sintofahamu hii wachukuliwe hatua, ni bahati tu madhara makubwa hayakutokea, lakini suala hili likifumbiwa macho hatuwezi kujua nini kinaweza kutokea siku za usoni, hivyo hatua kali zichukuliwe na wahusika wenyewe wajiulize kama wanastahili nafasi hizo, wasisubiri kuambiwa wala tamko.
 
Karia anaogopwa na wizara nzima!
 
Back
Top Bottom