Serikali yaanza kugwaya kwa 'utajiri' walioutangazia ulimwengu, Tanzania kukosa mikopo nafuu na misaada

Ukiacha hayo mambo ya misaada ya kimikopo kupitia dirisha la nchi maskini, tujiandae na kwenye biashara. "Trade preferences" kama EBA (Everything But Arms) nayo huenda tukaondolewa kwa sababu EBA ni kwa nchi maskini zaidi (LDCs). Lakini pia kwa kuwa sisi ni "donor country" hata Standard GSP na GSP+ pia huenda tutakuwa ineligible kufaidika nayo. Hongera awamu ya tano. Kupokea vimisada napo ni kujizalilisha hasa kwa Donor country kama Tanzania.

[Kila kauli ina gharama yake]
 
Mpango afunguke kwa uwazi tu yakwamba kwa sasa Tanzania tuna deni kubwa na hatukopesheki
Ni kweli tuna deni lakini siyo kweli kwamba hatukopesheki kwa sababu ya deni kubwa. Tanzania ina kiwango kidogo sana cha Debt to GDP katika EAC ukilinganisha na nchi zingine.

Kenya 59%
Rwanda 42%
Uganda 40%
Tanzania ni 37%

Kiwango ambacho watoa mkopo kama huanza kuogopa kutoa mikopo ni pale kinapofikia 50% debt to GDP ratio.

Kenya juzi wamepata mkopo pamoja na kwamba wana 59 Debt to GDP. Hata Ethiopia ambao wako kwenye 61% debt to DGP ratio wanaendelea kupata mikopo.

Tanzania hatupati mikopo kwa sababu ya masharti ambayo yanakuja na string attached ambazo either hatuzikubali au hatuzitimizi lakini sio kwamba eti tuna deni kubwa.
 
Hebu hao Mabeberu waache unafiki wao, ina maana yanayosemwa na viongozi wetu nao wanayatilia maanani?

Ya Ngoswe watuachie sisi kina Ngoswe wao wadili na reality.
 
Hebu anayeelewa afafanue hapo Mh anaposema "najua wengi mnatamani" hao wengi anaowalenga hapo ni sisi Wananchi?
 
Hapana. Hatujafika huko mkuu.
Wapo vinara wa hali hiyo kati ya majirani zetu, lakini bado wanakopesheka. Ethiopia juzi tu kazoa Bilioni mbili na ushee; na Kenya kaokota zaidi ya $1.9 bilioni toka kwa hao hao IDA.
Hawa wote Ethiopia na Kenya wana madeni ya zaidi ya nusu ya pato lao (GDP), Kenya wapo zaidi ya asili mia 59; Ethiopia ni zaidi ya hapo. Hata Uganda wako mbali sana nasi.

Ujue, tukikosa mikopo sasa hivi kuna sababu nyingine, sio ya kutokopesheka.

Kukosekana kwa demokrasia, Kuminya vyombo vya habari visiandike ukweli, kukosekana uwazi na ukweli katika uendeshaji wa serikali, uchaguzi wa magumashi zanzibar, sheria mbovu ya takwimu, sheria mbovu ya vyama vya siasa n.k
 
Ni kweli tuna deni lakini siyo kweli kwamba hatukopesheki kwa sababu ya deni kubwa. Tanzania ina kiwango kidogo sana cha Debt to GDP katika EAC ukilinganisha na nchi zingine.

Kenya 59%
Rwanda 42%
Uganda 40%
Tanzania ni 37%

Kiwango ambacho watoa mkopo kama huanza kuogopa kutoa mikopo ni pale kinapofikia 50% debt to GDP ratio.

Kenya juzi wamepata mkopo pamoja na kwamba wana 59 Debt to GDP. Hata Ethiopia ambao wako kwenye 61% debt to DGP ratio wanaendelea kupata mikopo.

Tanzania hatupati mikopo kwa sababu ya masharti ambayo yanakuja na string attached ambazo either hatuzikubali au hatuzitimizi lakini sio kwamba eti tuna deni kubwa.
Hata hizo takwimu za GDP ya Tanzania usiziamini. Katika awamu hii, takwimu nyingi ni za uwongo, ni za kupikwa.

Hiyo GDP ndiyo utajiri wenyewe. Kama tunawadanganya watu kuwa sisi ni matajiri, tunawadanganya kuwa uchumi unakua kwa 7.1% wakati ni 5% or less, ina maana hata GDP yetu inakuwa ni ya uwongo.

Kama GDP yetu ni ya uwongo, ina maana hata hiyo asilimia ya deni letu ni ya uwongo pia.

Usiulinganishe uchumi wa Kenya na Tanzania. Uchumi wa Kenya una predictability, wakati uchumi wa Tanzania hauna predictability. Haieleweki kwa namna tunavyoenda, tutaishia wapi. Unaweza kumkopesha mwenye deni ambaye unaelewa ana uhakika na anachofanya, kuliko asiye na deni ambaye haijulikani anafanya nini kwaajili ya kufika wapi.

Utawala huu umekosa maono. Wanadhani wakiwanyima watu uhuru wa kujua, watafanikiwa kwa kila jambo wanalolipanga. Ukweli ni kinyume. Anayekukopesha ili awe na uhakika, kuna wakati anahitaji taarifa toka kwa watu na taasisi huru. Kama wewe hutaki taasisi huru ziwe huru kufanya kazi, hata kama taarifa zako zitakuwa za kweli, wakati wote zitatiliwa mashaka.

Nilishangaa nilipokuwa ASEX (Australian Stock Exchange), Sydney; kuona Tanzania imekuwa listed kwenye nchi hatari kwa mitaji ya nje. Leo huwezi kupata fedha kwaajili ya kuja kuwekeza Tanzania.

Ni uwongo mkubwa kueleza kuwa tunashindwa kupata mikopo kwa sababu inakuwa na masharti tunayoyakataa. Ukiacha pesa MCC, ambaye ilihitaji kuheshimu haki za binadamu, demokrasia na uhuru wa watu, hakuna msaada tuliowahi kuukataa kwa sababu ya masharti. Hata pesa ya MCC, hatukuikataa bali walitukatia watoaji baada kumnyang'anya ushindi wa wazi Maalim Seif kule Zanzibar.
 
Hapana. Hatujafika huko mkuu.
Wapo vinara wa hali hiyo kati ya majirani zetu, lakini bado wanakopesheka. Ethiopia juzi tu kazoa Bilioni mbili na ushee; na Kenya kaokota zaidi ya $1.9 bilioni toka kwa hao hao IDA.
Hawa wote Ethiopia na Kenya wana madeni ya zaidi ya nusu ya pato lao (GDP), Kenya wapo zaidi ya asili mia 59; Ethiopia ni zaidi ya hapo. Hata Uganda wako mbali sana nasi.

Ujue, tukikosa mikopo sasa hivi kuna sababu nyingine, sio ya kutokopesheka.
Tusijifananishe na Ethiopia na Kenya bwana sisi tujifananishe na Zimbabwe na Zambia bwana
 
Kakudanganya nani,
Uliyem quote kaongea ukweli mtupu nashangaa wewe Unatumia story za vijiweni kujibu.
 
Ni kweli tuna deni lakini siyo kweli kwamba hatukopesheki kwa sababu ya deni kubwa. Tanzania ina kiwango kidogo sana cha Debt to GDP katika EAC ukilinganisha na nchi zingine.

Kenya 59%
Rwanda 42%
Uganda 40%
Tanzania ni 37%

Kiwango ambacho watoa mkopo kama huanza kuogopa kutoa mikopo ni pale kinapofikia 50% debt to GDP ratio.

Kenya juzi wamepata mkopo pamoja na kwamba wana 59 Debt to GDP. Hata Ethiopia ambao wako kwenye 61% debt to DGP ratio wanaendelea kupata mikopo.

Tanzania hatupati mikopo kwa sababu ya masharti ambayo yanakuja na string attached ambazo either hatuzikubali au hatuzitimizi lakini sio kwamba eti tuna deni kubwa.
Comment bora kabisa

Kakudanganya nani,
Uliyem quote kaongea ukweli mtupu nashangaa wewe Unatumia story za vijiweni kujibu.
kubwa.[/QUOTE]

Hata hizo takwimu za GDP ya Tanzania usiziamini. Katika awamu hii, takwimu nyingi ni za uwongo, ni za kupikwa.

Hiyo GDP ndiyo utajiri wenyewe. Kama tunawadanganya watu kuwa sisi ni matajiri, tunawadanganya kuwa uchumi unakua kwa 7.1% wakati ni 5% or less, ina maana hata GDP yetu inakuwa ni ya uwongo.

Kama GDP yetu ni ya uwongo, ina maana hata hiyo asilimia ya deni letu ni ya uwongo pia.

Usiulinganishe uchumi wa Kenya na Tanzania. Uchumi wa Kenya una predictability, wakati uchumi wa Tanzania hauna predictability. Haieleweki kwa namna tunavyoenda, tutaishia wapi. Unaweza kumkopesha mwenye deni ambaye unaelewa ana uhakika na anachofanya, kuliko asiye na deni ambaye haijulikani anafanya nini kwaajili ya kufika wapi.

Utawala huu umekosa maono. Wanadhani wakiwanyima watu uhuru wa kujua, watafanikiwa kwa kila jambo wanalolipanga. Ukweli ni kinyume. Anayekukopesha ili awe na uhakika, kuna wakati anahitaji taarifa toka kwa watu na taasisi huru. Kama wewe hutaki taasisi huru ziwe huru kufanya kazi, hata kama taarifa zako zitakuwa za kweli, wakati wote zitatiliwa mashaka.

Nilishangaa nilipokuwa ASEX (Australian Stock Exchange), Sydney; kuona Tanzania imekuwa listed kwenye nchi hatari kwa mitaji ya nje. Leo huwezi kupata fedha kwaajili ya kuja kuwekeza Tanzania.

Ni uwongo mkubwa kueleza kuwa tunashindwa kupata mikopo kwa sababu inakuwa na masharti tunayoyakataa. Ukiacha pesa MCC, ambaye ilihitaji kuheshimu haki za binadamu, demokrasia na uhuru wa watu, hakuna msaada tuliowahi kuukataa kwa sababu ya masharti. Hata pesa ya MCC, hatukuikataa bali walitukatia watoaji baada kumnyang'anya ushindi wa wazi Maalim Seif kule Zanzibar.
 
Kama wachina hawataki kujulikana kama nchi tajiri (iliyoendelea) watuachie sisi tunaojitangaza kuwa ni "nchi tajiri".

Sisi tunalilia sifa hiyo, kwa nini wachina wanaikataa? Najua maana yao, lakini hata hivyo ngoja niulize "The Greats" wa JF watoe fikra zao.
tunahitaji kuondoa fikra za kimasikini, kwa kuukataa umasikini hadharani
 
Back
Top Bottom