Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli tuna deni lakini siyo kweli kwamba hatukopesheki kwa sababu ya deni kubwa. Tanzania ina kiwango kidogo sana cha Debt to GDP katika EAC ukilinganisha na nchi zingine.Mpango afunguke kwa uwazi tu yakwamba kwa sasa Tanzania tuna deni kubwa na hatukopesheki
Hapana. Hatujafika huko mkuu.
Wapo vinara wa hali hiyo kati ya majirani zetu, lakini bado wanakopesheka. Ethiopia juzi tu kazoa Bilioni mbili na ushee; na Kenya kaokota zaidi ya $1.9 bilioni toka kwa hao hao IDA.
Hawa wote Ethiopia na Kenya wana madeni ya zaidi ya nusu ya pato lao (GDP), Kenya wapo zaidi ya asili mia 59; Ethiopia ni zaidi ya hapo. Hata Uganda wako mbali sana nasi.
Ujue, tukikosa mikopo sasa hivi kuna sababu nyingine, sio ya kutokopesheka.
Hata hizo takwimu za GDP ya Tanzania usiziamini. Katika awamu hii, takwimu nyingi ni za uwongo, ni za kupikwa.Ni kweli tuna deni lakini siyo kweli kwamba hatukopesheki kwa sababu ya deni kubwa. Tanzania ina kiwango kidogo sana cha Debt to GDP katika EAC ukilinganisha na nchi zingine.
Kenya 59%
Rwanda 42%
Uganda 40%
Tanzania ni 37%
Kiwango ambacho watoa mkopo kama huanza kuogopa kutoa mikopo ni pale kinapofikia 50% debt to GDP ratio.
Kenya juzi wamepata mkopo pamoja na kwamba wana 59 Debt to GDP. Hata Ethiopia ambao wako kwenye 61% debt to DGP ratio wanaendelea kupata mikopo.
Tanzania hatupati mikopo kwa sababu ya masharti ambayo yanakuja na string attached ambazo either hatuzikubali au hatuzitimizi lakini sio kwamba eti tuna deni kubwa.
Tusijifananishe na Ethiopia na Kenya bwana sisi tujifananishe na Zimbabwe na Zambia bwanaHapana. Hatujafika huko mkuu.
Wapo vinara wa hali hiyo kati ya majirani zetu, lakini bado wanakopesheka. Ethiopia juzi tu kazoa Bilioni mbili na ushee; na Kenya kaokota zaidi ya $1.9 bilioni toka kwa hao hao IDA.
Hawa wote Ethiopia na Kenya wana madeni ya zaidi ya nusu ya pato lao (GDP), Kenya wapo zaidi ya asili mia 59; Ethiopia ni zaidi ya hapo. Hata Uganda wako mbali sana nasi.
Ujue, tukikosa mikopo sasa hivi kuna sababu nyingine, sio ya kutokopesheka.
Kakudanganya nani,Tusijifananishe na Ethiopia na Kenya bwana sisi tujifananishe na Zimbabwe na Zambia bwana
Comment bora kabisaNi kweli tuna deni lakini siyo kweli kwamba hatukopesheki kwa sababu ya deni kubwa. Tanzania ina kiwango kidogo sana cha Debt to GDP katika EAC ukilinganisha na nchi zingine.
Kenya 59%
Rwanda 42%
Uganda 40%
Tanzania ni 37%
Kiwango ambacho watoa mkopo kama huanza kuogopa kutoa mikopo ni pale kinapofikia 50% debt to GDP ratio.
Kenya juzi wamepata mkopo pamoja na kwamba wana 59 Debt to GDP. Hata Ethiopia ambao wako kwenye 61% debt to DGP ratio wanaendelea kupata mikopo.
Tanzania hatupati mikopo kwa sababu ya masharti ambayo yanakuja na string attached ambazo either hatuzikubali au hatuzitimizi lakini sio kwamba eti tuna deni kubwa.
kubwa.[/QUOTE]Kakudanganya nani,
Uliyem quote kaongea ukweli mtupu nashangaa wewe Unatumia story za vijiweni kujibu.
tunahitaji kuondoa fikra za kimasikini, kwa kuukataa umasikini hadharaniKama wachina hawataki kujulikana kama nchi tajiri (iliyoendelea) watuachie sisi tunaojitangaza kuwa ni "nchi tajiri".
Sisi tunalilia sifa hiyo, kwa nini wachina wanaikataa? Najua maana yao, lakini hata hivyo ngoja niulize "The Greats" wa JF watoe fikra zao.