Serikali yaanza kugwaya kwa 'utajiri' walioutangazia ulimwengu, Tanzania kukosa mikopo nafuu na misaada

Bams

Katika ukanda huu inafahamika vyema kenya ndio ina uchumi wa kwenye makaratasi,
Rwanda pia ilishutumiwa kupika uchumi wake,
Labda nikuulize ulishawahi kusikia Tanzania ikishutumiwa kwa kupika uchumi wake,
Hizo zote mnazoandika ni story za vijiweni.
 
Tanzania ni tajiri sana ila viongozi wake ndio wanafanya mpaka leo tunatishiwa vimisaada na viinchi vya walima nyanya

Viongozi wanatumia rasilimali pesa,muda na watu kukamikisha mipango isiyoendana na dunia ya kisasa tunayoishi

Ili tuendelee lazima tuvitambue vipaumbele vyetu na tupigane kuvifikia sio leo tunajenga reli ya kisasa kwenda rusumo kesho anaingia kiongozi mwingine anaielekeza kwao mbeya
 
Kakudanganya nani,
Uliyem quote kaongea ukweli mtupu nashangaa wewe Unatumia story za vijiweni kujibu.
Kenya na Ethiopia hata kama ana deni anakopesheka kwakuwa wana uhakika Wa kulipa sisi hatuna deni kama hilo lakini uwezo wakulipa deni hatuna ndiyo maana nimesema tusijifananishe na hao
 
Kenya na Ethiopia hata kama ana deni anakopesheka kwakuwa wana uhakika Wa kulipa sisi hatuna deni kama hilo lakini uwezo wakulipa deni hatuna ndiyo maana nimesema tusijifananishe na hao
Wana uwezo wa kulipa wapi,
Hivi Unafahamu Rais wa kenya alinyimwa mkopo china,
Hivi Unafahamu reli ya kenya kwanini imeishia porini yaani "Reli isiyoenda popote"
Pitia hapa usome kidogo Kenya fails to secure $3.6b from China for third phase of SGR
 
Serikali hii ya UONGO NA ULAGHAI endeleeni kuichekea kijinga, lakini siku watu wakishtuka mtakuta tumewapita hadi Zimbabwe kwa mambo ya hovyo.
Ndio shida ya kukabidhi washamba!
Illusions
 
Mabeberu yanatubinya pumbu ili tuyanyenyekee, hatupigi magoti awamu hii.... ‘inchi’ hii ni tajiri.
 
Hoja yako nini kwani? Kumbuka unaweza kuwa na Debt to GDP ratio kubwa lakini still unaweza kukopesheka kuliko mwenye ratio ndogo. Hebu tuwekee figures za US au Japan halafu utuambie kama hawakopesheki.
 
Gaddafi alikuwa na majibu yanafanana na yako ila alikuwa kafa na vijiti viko makalioni
Matusi hayasaidii ukweli ukikuingia dawa ni kukaa kimya! Baada ya 2025 utamkumbuka
 
Hoja yako nini kwani? Kumbuka unaweza kuwa na Debt to GDP ratio kubwa lakini still unaweza kukopesheka kuliko mwenye ratio ndogo. Hebu tuwekee figures za US au Japan halafu utuambie kama hawakopesheki.
Hoja yangu ni kama nilivyomjibu aliyeniquote.

 
Acha kulinganisha kenya na vitu vya kioumbavu kama tz
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa mpaka ikifika 2021 nina hakika kwa huyu jamaa itafika 50% na zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…