babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 11,632
- 29,912
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kenya na Ethiopia hata kama ana deni anakopesheka kwakuwa wana uhakika Wa kulipa sisi hatuna deni kama hilo lakini uwezo wakulipa deni hatuna ndiyo maana nimesema tusijifananishe na haoKakudanganya nani,
Uliyem quote kaongea ukweli mtupu nashangaa wewe Unatumia story za vijiweni kujibu.
Wana uwezo wa kulipa wapi,Kenya na Ethiopia hata kama ana deni anakopesheka kwakuwa wana uhakika Wa kulipa sisi hatuna deni kama hilo lakini uwezo wakulipa deni hatuna ndiyo maana nimesema tusijifananishe na hao
IllusionsSerikali hii ya UONGO NA ULAGHAI endeleeni kuichekea kijinga, lakini siku watu wakishtuka mtakuta tumewapita hadi Zimbabwe kwa mambo ya hovyo.
Ndio shida ya kukabidhi washamba!
Gaddafi alikuwa na majibu yanafanana na yako ila alikuwa kafa na vijiti viko makalioniIllusions
Bams
Katika ukanda huu inafahamika vyema kenya ndio ina uchumi wa kwenye makaratasi,
Rwanda pia ilishutumiwa kupika uchumi wake,
Labda nikuulize ulishawahi kusikia Tanzania ikishutumiwa kwa kupika uchumi wake,
Hizo zote mnazoandika ni story za vijiweni.
Matusi hayasaidii ukweli ukikuingia dawa ni kukaa kimya! Baada ya 2025 utamkumbukaGaddafi alikuwa na majibu yanafanana na yako ila alikuwa kafa na vijiti viko makalioni
Hoja yangu ni kama nilivyomjibu aliyeniquote.Hoja yako nini kwani? Kumbuka unaweza kuwa na Debt to GDP ratio kubwa lakini still unaweza kukopesheka kuliko mwenye ratio ndogo. Hebu tuwekee figures za US au Japan halafu utuambie kama hawakopesheki.
Hiyo ndio gharama ya uongo na kutaka kutukuzwa kwa vitu visivyostahili.
Bams
Katika ukanda huu inafahamika vyema kenya ndio ina uchumi wa kwenye makaratasi,
Rwanda pia ilishutumiwa kupika uchumi wake,
Labda nikuulize ulishawahi kusikia Tanzania ikishutumiwa kwa kupika uchumi wake,
Hizo zote mnazoandika ni story za vijiweni.
Ni kweli tuna deni lakini siyo kweli kwamba hatukopesheki kwa sababu ya deni kubwa. Tanzania ina kiwango kidogo sana cha Debt to GDP katika EAC ukilinganisha na nchi zingine.
Kenya 59%
Rwanda 42%
Uganda 40%
Tanzania ni 37%
Kiwango ambacho watoa mkopo kama huanza kuogopa kutoa mikopo ni pale kinapofikia 50% debt to GDP ratio.
Kenya juzi wamepata mkopo pamoja na kwamba wana 59 Debt to GDP. Hata Ethiopia ambao wako kwenye 61% debt to DGP ratio wanaendelea kupata mikopo.
Tanzania hatupati mikopo kwa sababu ya masharti ambayo yanakuja na string attached ambazo either hatuzikubali au hatuzitimizi lakini sio kwamba eti tuna deni kubwa.
Kenya ipi hiyo, hii inayopewa misaada ya chakula karne hii,
Wakati IMF waki dispute takwimu za ukuaji wa uchumi wa asilimia 7 na wao kusema asilimia 5.2 mwaka jana wewe bado ulikuwa Kolomije nini?Labda nikuulize ulishawahi kusikia Tanzania ikishutumiwa kwa kupika uchumi wake