babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 11,632
- 29,912
Kuna sehemu walishutumu Tanzania kwa upikaji wa uchumi kama wanavyoshutumu nchi zingine ?Wakati IMF waki dispute takwimu za ukuaji wa uchumi wa asilimia 7 na wao kusema asilimia 5.2 mwaka jana wewe bado ulikuwa Kolomije nini?
@johnthebaptistMwalimu Nyerere aliwahi kusema, "Ili tuendelee tunahitaji watu, ardhi, siasa safi na uongozi bora"
Pia alisema " Pesa si msingi wa maendeleo bali ni matokeo yake"
Hawa wachumi wanaposema tukusanye pesa zaidi je wanaijua falsafa ya Mwalimu.
Ardhi tuliyonayo ni kwa ajili ya kulima na viwanda ni matokeo ya kufanikiwa kwa kilimo.
Kilimo kitaleta fedha za kigeni lakini ukusanyaji wa kodi za ndani hauongezi fedha za kigeni moja kwa moja.
Ili tufanikiwe tuitumie ardhi yetu kikamilifu kwa kuwekeza zaidi kwenye Kilimo kuliko kitu chochote kile.
Uwekezaji tunaoufanya sasa ni mzuri sana lakini unatakiwa ufanywe baada ya kilimo kufanikiwa na kuwa kilimo cha kimataifa na si cha jembe la mkono.
Tukiendelea kutoimarisha kilimo chetu, ukuaji wa uchumi wetu utakuwa si endelevu na tutaendelea kuwa na vijana wengi mitaani walio na elimu ya juu na wasio na elimu kabisa wakizurura mitaani.
Sasa hivi mazao ya wakulima pamoja na kuwa ni machache lakini yanakosa soko na pengine kwa sababu hayako kwenye ubora unaotakiwa kimatifa au Serikali imeweka urasimi katika watu kujitafutia masoko wenyewe.
Bado kilimo ni uti wa mgongo wa Uchumi wetu lakini hatuutendei haki kwa kuutangaza kama tunavyofanya katika kutangaza ukusanyaji wa kodi, viwanda, elimu, afya, ndege, barabara, madaraja nk.
Hahaha acha ubishi mzee. Mbona unachobishia ni kweli kilitokea? Labda ulisahau kama ilitokea ila hilo swala la Tz kudaiwa tumepika takwimu za ukuaji uchumi lilitokea.Kuna sehemu walishutumu Tanzania kwa upikaji wa uchumi kama wanavyoshutumu nchi zingine ?
Hizo taasisi si zilikuwa zinajikanyaga zenyewe.
Taasisi mbili tofauti zilitoa takwimu mbili todauti,Hahaha acha ubishi mzee. Mbona unachobishia ni kweli kilitokea? Labda ulisahau kama ilitokea ila hilo swala la Tz kudaiwa tumepika takwimu za ukuaji uchumi lilitokea.
Na kwamba ndege tunazonunua hadi sasa zinaendeshwa kwa hasaraMpango afunguke kwa uwazi tu yakwamba kwa sasa Tanzania tuna deni kubwa na hatukopesheki
Mkuu matatizo yetu tofauti na yao.Sisi hatujiamini Raisi anachofanya ni kutujenga imani kwa mifano hai kuwa tusiwe wanyonge kihivo.Wachina tayari wanajiamini ,wao wanachofanya ni kuficha uwezo wao ili kukwepa majukumu ya kuchangia Misaada mbalimbali ya kimataifa kwa nchi maskini.Mnadhani China yeye ni fala anapojitangaza kila siku kuwa yeye bao ni nchi masikini na inayoendelea? Huwa mnamuona kichaa anapong'ang'a kuwa kundi moja na Tanzania kimaendeleo?
hili ndio la kweli lakini hatutaki kukiri ngoja tu wakati utafika kila goti litapigwa.Mpango afunguke kwa uwazi tu yakwamba kwa sasa Tanzania tuna deni kubwa na hatukopesheki
True hata ukisoma colonial system waliliona hilo zipo jamii si wazuri kwenye reasoning matumizi ya akili bali ni wazuri kwenye mannual labour waliwatumia kwenye mashamba ya katani,pamba,miwa na makuli bandarini.Hata awakutaka kupotesha resources za kuwaendeleza kielimu waliona jamii hizo zafaa kwa matumizi ya nguvu zaidiNadhani kawaida ya watu wa kanda ileee pendwa kupenda sifa. Siku jamaa toka huko akinunua baiskeli,redio ya mkulima,nguo za dukani na mwanamke mweupe!! Mtajua mtaa mzima. Wengi tunamkumbuka bwana mapesa, mzee wa vijisenti, milioni 10 kuwa hela ya matembele.... Sio kila kundi la watu lazima atoke mtawala, zipo koo za kifalme toka enzi na enzi.
Sie donor country tambo nyingi mikopo ya nn sasa?Hapana. Hatujafika huko mkuu.
Wapo vinara wa hali hiyo kati ya majirani zetu, lakini bado wanakopesheka. Ethiopia juzi tu kazoa Bilioni mbili na ushee; na Kenya kaokota zaidi ya $1.9 bilioni toka kwa hao hao IDA.
Hawa wote Ethiopia na Kenya wana madeni ya zaidi ya nusu ya pato lao (GDP), Kenya wapo zaidi ya asili mia 59; Ethiopia ni zaidi ya hapo. Hata Uganda wako mbali sana nasi.
Ujue, tukikosa mikopo sasa hivi kuna sababu nyingine, sio ya kutokopesheka.
Hebu fanyeni yenu acheni siasa za majalalani,kuongoza nchi si sawa na kukiongoza chadema juzi tu Kuna nchi moja ya ulaya imetoa mabilioni kwa kufuraishwa na udhibiti na usimamizi mzuri wa fedha unaofanywa na magufuri..
Huku ndio kujitoa akili.Tanzania hatupati mikopo kwa sababu ya masharti ambayo yanakuja na string attached ambazo either hatuzikubali au hatuzitimizi lakini sio kwamba eti tuna deni kubwa.
Bahati yako mbaya ni kwamba huzijui Kenya na Ethiopia.Tusijifananishe na Ethiopia na Kenya bwana sisi tujifananishe na Zimbabwe na Zambia bwana