Serikali yaanza kuogopa "maono" ya Lema

Serikali yaanza kuogopa "maono" ya Lema

Umesahau kuwa CCM ni chama cha waganga? Akina maji marefu.
 
Sasa wanafikiri Lema akiwa Mahabusu ndo Magufuli ataepuka kifo?
 
Wanamuonea tu lema mbona hata Hezekiah aliambiwa atengeneze mambo yake asipotengeneza atakufa, hata Lema asingesema kila nafsi itaonja mauti kwa mda wake sasa kumshikilia Lema ni uonevu mtupu na kukomoana
Kwani Taifa letu lina kitu gàni cha watu wake kujivunia zaidi ya ungwambangwamba? Kama tungekuwa na deals kama vituo vya kisayansi, utafiti, ujenzi wa misingi ya taaluma na social welfares, haya yasingekuwepo. Tupotupo tu, ndiyo maana watawala kwako midomoni mwa wananchi kila sekunde na vice versa
C Shangai ni kawaida ya bavicha wote. Wagumu wa kuelewa wepesi wa kusahau...
 
Hii nchi ilivyo kwa sasa, endapo ukaota mtu mwingine, tofauti na wa sasa, amekuwa Rais, na ukawasimulia watu, ujue wewe na uliyemuota, wote mtashtakiwa kwa kosa la uhaini.
 
Inavyoonekana serikali imeanza kuogopa kauli ya Lema aliyoitoa kuwa "Endapo rais atafikiri yeye ni Mungu basi Mungu anaweza kusitisha maisha yake kabla ya 2020".

Hayo yamejidhihirisha leo mahakamani baada ya wakili wa serikali kusema,

"Lema asipewe dhamana kwa kuwa alisema Rais atakufa kwa hiyo akitoka ataweza kuufanikisha mpango huo. Lakini pia kwa sasa mke wa Rais ni mgonjwa na inawezekana ndio sehemu ya maono ya Lema kuidhuru familia ya Rais".
Duh.. wakili katoa mpya
 
Mimi naamini kifo kiko karibu sana na mimi au mtu yoyote kuliko nguo niliyoivaa/aliyoivaa
 
Inavyoonekana serikali imeanza kuogopa kauli ya Lema aliyoitoa kuwa "Endapo rais atafikiri yeye ni Mungu basi Mungu anaweza kusitisha maisha yake kabla ya 2020".

Hayo yamejidhihirisha leo mahakamani baada ya wakili wa serikali kusema,

"Lema asipewe dhamana kwa kuwa alisema Rais atakufa kwa hiyo akitoka ataweza kuufanikisha mpango huo. Lakini pia kwa sasa mke wa Rais ni mgonjwa na inawezekana ndio sehemu ya maono ya Lema kuidhuru familia ya Rais".
Hizo hoja ni za wakili?!
 
Bado Muda Upo wa Kujua Kama Lema Ni Kichaa au La, Kwanini Kuandikia Mate na Wino upo? Muda ni Jibu! Mimi Naamini Ipo siku, watakaosalia watakimbia kumtoa Lema Jela tena Kwa Pikipiki na Vimulimuli, alichosema Ni Ukweli, huwezi Kujifanya Mungu na Kukanyaga watu Mungu akuangalie tu. Hitler, Idd Amin, Qaddafi, Sadam, Doe, Nicolae wa Romania, Surhato etc, wote walikuwaje na Ni nini Kiliwapata. Magufuli anadhanije yeye ni special!
 
Tuna kesi nyingi sana zinaendelea ktk Mahakama zetu nchini ila mitandao na vyombo vingine vya habari ndo vinakuza kesi ya Mh Lema.

Yes ni habari kubwa sana hii. Ulisikia wapi duniani mtu katiwa nguvuni kwa sababu ya kutangaza hadharani ndoto aliyoota usingizini??

Hii ni habari kubwa sana kwani inaifanya Tanzania kuwa nchi ya kwanza duniani mtu kufunguliwa kesi kwa sababu tu alilala akaota.
 
Bado Muda Upo wa Kujua Kama Lema Ni Kichaa au La, Kwanini Kuandikia Mate na Wino upo? Muda ni Jibu! Mimi Naamini Ipo siku, watakaosalia watakimbia kumtoa Lema Jela tena Kwa Pikipiki na Vimulimuli, alichosema Ni Ukweli, huwezi Kujifanya Mungu na Kukanyaga watu Mungu akuangalie tu. Hitler, Idd Amin, Qaddafi, Sadam, Doe, Nicolae wa Romania, Surhato etc, wote walikuwaje na Ni nini Kiliwapata. Magufuli anadhanije yeye ni special!

Hakika madikteta wote njia yao ni moja.
 
Kati ya watu x basi y ni machizi ya akili. Hivi kwa akili ya kawaida watu wanamwona lema kauli zake za akili kweli? Tuache siasa pembeni then back to humanity then make conclusion and recommendation on Lema's speech after then u can see how foolish ur.
 
Ukiona dola wanahanga na maono ya mtu ujuwe aliyetabiliwa kufa lazima afe kabla ya 2020 maana maandiko yanasema adharauliye kauli iliyoongozwa kwa utukufu wake yu katika nafsi ya kujikataa. Nina uhakika maono yake yana ukweli kabisa mtu anayedharau viashiria vya laana ya Mungu adhabu yake ni kifo ,Mungu adhihakiwi
 
1) HAUELEWEKI UNAULIZA SWALI AU UNAJIBU SWALI?
2) HAKIRI ......?
3)UMESHALANDUKA ....?
rudi darasani kijana,yaani ulikuwa unakunywa uji wa bure huko shuleni.
Huwa nashangaa sana, hivi watu hawajui hata kuandika kiswahili tu au ni nini hiki kimelikumba hili Taifa?
 
Bado Muda Upo wa Kujua Kama Lema Ni Kichaa au La, Kwanini Kuandikia Mate na Wino upo? Muda ni Jibu! Mimi Naamini Ipo siku, watakaosalia watakimbia kumtoa Lema Jela tena Kwa Pikipiki na Vimulimuli, alichosema Ni Ukweli, huwezi Kujifanya Mungu na Kukanyaga watu Mungu akuangalie tu. Hitler, Idd Amin, Qaddafi, Sadam, Doe, Nicolae wa Romania, Surhato etc, wote walikuwaje na Ni nini Kiliwapata. Magufuli anadhanije yeye ni special!
Yeye ni Mungu
 
Back
Top Bottom