- Thread starter
- #81
Nchi za madikteta ndivyo zilivyo, wake wa marais wao kuonekana kama malaika kwenye jamii.Eti asipewe dhamana kwa sababu mke wa raisi ni mgonjwa
Duu hii Tanzania yangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi za madikteta ndivyo zilivyo, wake wa marais wao kuonekana kama malaika kwenye jamii.Eti asipewe dhamana kwa sababu mke wa raisi ni mgonjwa
Duu hii Tanzania yangu
Kwani Taifa letu lina kitu gàni cha watu wake kujivunia zaidi ya ungwambangwamba? Kama tungekuwa na deals kama vituo vya kisayansi, utafiti, ujenzi wa misingi ya taaluma na social welfares, haya yasingekuwepo. Tupotupo tu, ndiyo maana watawala kwako midomoni mwa wananchi kila sekunde na vice versaWanamuonea tu lema mbona hata Hezekiah aliambiwa atengeneze mambo yake asipotengeneza atakufa, hata Lema asingesema kila nafsi itaonja mauti kwa mda wake sasa kumshikilia Lema ni uonevu mtupu na kukomoana
C Shangai ni kawaida ya bavicha wote. Wagumu wa kuelewa wepesi wa kusahau...
Duh.. wakili katoa mpyaInavyoonekana serikali imeanza kuogopa kauli ya Lema aliyoitoa kuwa "Endapo rais atafikiri yeye ni Mungu basi Mungu anaweza kusitisha maisha yake kabla ya 2020".
Hayo yamejidhihirisha leo mahakamani baada ya wakili wa serikali kusema,
"Lema asipewe dhamana kwa kuwa alisema Rais atakufa kwa hiyo akitoka ataweza kuufanikisha mpango huo. Lakini pia kwa sasa mke wa Rais ni mgonjwa na inawezekana ndio sehemu ya maono ya Lema kuidhuru familia ya Rais".
Hakiri = akiliJe umetumia hakiri yako au umeshalanduka
Hahahaa wamfunge maisha ili rais asife.Sasa wanafikiri Lema akiwa Mahabusu ndo Magufuli ataepuka kifo?
Hizo hoja ni za wakili?!Inavyoonekana serikali imeanza kuogopa kauli ya Lema aliyoitoa kuwa "Endapo rais atafikiri yeye ni Mungu basi Mungu anaweza kusitisha maisha yake kabla ya 2020".
Hayo yamejidhihirisha leo mahakamani baada ya wakili wa serikali kusema,
"Lema asipewe dhamana kwa kuwa alisema Rais atakufa kwa hiyo akitoka ataweza kuufanikisha mpango huo. Lakini pia kwa sasa mke wa Rais ni mgonjwa na inawezekana ndio sehemu ya maono ya Lema kuidhuru familia ya Rais".
Tuna kesi nyingi sana zinaendelea ktk Mahakama zetu nchini ila mitandao na vyombo vingine vya habari ndo vinakuza kesi ya Mh Lema.
Bado Muda Upo wa Kujua Kama Lema Ni Kichaa au La, Kwanini Kuandikia Mate na Wino upo? Muda ni Jibu! Mimi Naamini Ipo siku, watakaosalia watakimbia kumtoa Lema Jela tena Kwa Pikipiki na Vimulimuli, alichosema Ni Ukweli, huwezi Kujifanya Mungu na Kukanyaga watu Mungu akuangalie tu. Hitler, Idd Amin, Qaddafi, Sadam, Doe, Nicolae wa Romania, Surhato etc, wote walikuwaje na Ni nini Kiliwapata. Magufuli anadhanije yeye ni special!
Huwa nashangaa sana, hivi watu hawajui hata kuandika kiswahili tu au ni nini hiki kimelikumba hili Taifa?1) HAUELEWEKI UNAULIZA SWALI AU UNAJIBU SWALI?
2) HAKIRI ......?
3)UMESHALANDUKA ....?
rudi darasani kijana,yaani ulikuwa unakunywa uji wa bure huko shuleni.
Rudi shule ndugu.C Shangai ni kawaida ya bavicha wote. Wagumu wa kuelewa wepesi wa kusahau...
Yeye ni MunguBado Muda Upo wa Kujua Kama Lema Ni Kichaa au La, Kwanini Kuandikia Mate na Wino upo? Muda ni Jibu! Mimi Naamini Ipo siku, watakaosalia watakimbia kumtoa Lema Jela tena Kwa Pikipiki na Vimulimuli, alichosema Ni Ukweli, huwezi Kujifanya Mungu na Kukanyaga watu Mungu akuangalie tu. Hitler, Idd Amin, Qaddafi, Sadam, Doe, Nicolae wa Romania, Surhato etc, wote walikuwaje na Ni nini Kiliwapata. Magufuli anadhanije yeye ni special!