Wenzetu hamna akili?Kwa hiyo hutaki au na je imeongezeka,imepungua au makato mapya na ni miamala ipi inahusika?Majibu tafadhali ndugu mleta hoja[emoji848]
NI kawaida ya akili ndogo kutafuta vishotikati. Umeelewa?Siamini kama Lameck na timu yake wameshindwa kubuni vyanzo vingine vya mapato isipokuwa kuwabamiza wanyonge kwa gia ya tozo za miamala!
Am sure deposit kwa bank zitapungua lkn pia kbl ya sheria hiyo kuanzia pesa nyingi zitachotwa kurudi kuhifadhiwa kwenye magodoro!!
Ili tukuweke wewe?Tungekuwa na elimu ya kutosha tungeandamana na kuwatoa mafisadi madarakani
Maza anaupiga mwingiTumepigwa
Yaani mfano umelipwa mshahara na hio hio serikali ukaingia benki halafu unaenda benki au atm kutoa hela serikali tena wanakukata TOZO(Hapo kama bank nao huwa wanatoza unaliwa huku na huku)Kwa hiyo hutaki au na je imeongezeka,imepungua au makato mapya na ni miamala ipi inahusika?Majibu tafadhali ndugu mleta hoja🤔
Tulia dawa iingie we sukuma gangSukuma gang WANAKOMESHWA.
Tulivyoweka tozo kwenye miamala ya simu mkakimbilia benki sasa tumekuja huko huko. Mlipo tupo.Transactions zitapungua na uchumi utadorora
Kwa maana hiyo ni tozo mpya au ni zilizokuwepo zimeongezwa au zimepunguzwa? Kwa nia sidhani kama Kuna miamala yeyote iliyokuwa Haina gharama. Na kichekesho kikubwa zaidi no pale mitandao ya simu ilivyoamua kama umejiunga na huduma za kibenki hata kama una billions kwenye account Yako kama huna Salio la kutosha sms huwezi kuipata pesa Yako hata uwe na shida Gani, hata hiyo kuongeza Salio kwenye simu. Hapa ndio ninapo waona watanzania wote sisi ni wajinga. Na tutabakia kuwa maskini Kwa ujinga wetu. Kwani kufanya haya tunajihujimu wenyewe. Kisa tunalazimisha manufaa binafsi na kuzuia manufaa ya umma wa watanzania ambao kupitia Kwa ndio maendeleo ya Taifa.🤔Yaani mfano umelipwa mshahara na hio hio serikali ukaingia benki halafu unaenda benki au atm kutoa hela serikali tena wanakukata TOZO(Hapo kama bank nao huwa wanatoza unaliwa huku na huku)