Serikali yaanzisha kodi mpya kwenye miamala ya fedha kupitia Benki

Serikali yaanzisha kodi mpya kwenye miamala ya fedha kupitia Benki

Katiba mpya itazuia walamba asali kupiga pesa za maskini waliowengi KWA mgongo wa Tozo Kama ilivyo Sasa!!

Uchumi wa Tozo utauawa KWA kifo kibaya sana kwani katiba itazuia mijitu mibogas inayowaza uchumi wa Tozo Kama haya yaliyopo Sasa!!

Ndugu zangu kolezeni moto wa kuni wankatiba mpya kwa wimbo Huu Hapa;-

"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA"!
 
Tunarudi kuzichimbia chini! Mje na huku![emoji1787]
mwigulu atazungumza na waziri wa ardhi watafute namna ya kuweka kodi/tozo ya kulipia mashimo yanayochimbwa ndani ya nyumba za watu binafsi.

itaundwa taskforce ya kupita nyumba kwa nyumba kukagua mashimo yaliyochimbwa kiholela bila kibali cha wizara husika.
 
Yaani mfano umelipwa mshahara na hio hio serikali ukaingia benki halafu unaenda benki au atm kutoa hela serikali tena wanakukata TOZO(Hapo kama bank nao huwa wanatoza unaliwa huku na huku)
Bank makato yao yapo kama kawaida,
 
Wanashindwa ubunifu kwenye kukusanya kodi wanakamua walipa kodi wale wale , kwa mfano maduka mengi ya mitaani hayalipi kodi kwa sababu kodi zaidi rafiki .

Na kwa sababu TRA wanapitaga mwezi wa saba tu maduka ufungwa mchana TRA wakipita maduka yanafunguliwa .

Issue hapo ni kufanya centralization kuanzia serikali ya mitaa kusajili wauza maduka kupitia afisa biashara wa kata husika . Pia kodi iwe rafiki hata ikibidi iwe flat rate kwa mfano (200,000/-) kwa mwaka kila quarter 50k . Wakiwa centralized unatumia control namba analipa moja kwa moja .

Maana kuwakwepa TRA ni kufunga duka siku za msako lakini wakifanya kutoa elimu na kuweka kodi rafiki watakusanya sana .
 
Unajua kwa nini watu hawalipi kodi Mkuu? ni kwa sababu ya mlundikano wa kodi. Mfano; Mtu mwenye Duka la Rejareja anatakiwa kulipa kodi zifuatazo:
1. Kodi ya TRA
2. Kodi ya Leseni ya Biashara
3. Kodi ya Service Levy
4. Kodi ya TBS
5. Kodi ya Usafi wa Mazingira
6. Kodi ya Pango (TRA)
Kwa uchache kodi za Mfanyabiashara mmoja tu ni hizo.
Hapo unategemea utalipa kodi au utakwepa kodi?
Mbaya zaidi ukienda kulipa kodi Wafanyakazi wa TRA, Jiji au Manispaa na TBS wana nyodo ni hatari. Kukuprintia tu control number inachukua siku nzima!
 
Siamini kama Lameck na timu yake wameshindwa kubuni vyanzo vingine vya mapato isipokuwa kuwabamiza wanyonge kwa gia ya tozo za miamala!

Am sure deposit kwa bank zitapungua lkn pia kbl ya sheria hiyo kuanzia pesa nyingi zitachotwa kurudi kuhifadhiwa kwenye magodoro!!
Hata kwenye simu sikuhizi miamala imepungua.
 
mwigulu atazungumza na waziri wa ardhi watafute namna ya kuweka kodi/tozo ya kulipia mashimo yanayochimbwa ndani ya nyumba za watu binafsi.

itaundwa taskforce ya kupita nyumba kwa nyumba kukagua mashimo yaliyochimbwa kiholela bila kibali cha wizara husika.
Natengeneza choo Cha ndani Cha geresha na kinakuwa na shimo lake special, nakuwa natumbukiza Hela tu!
 
Hivi hii inchi kwann ina watu wa hovyo?
Kila siku ni kuwabebesha wanainchi mzigo wakati wao wanaindelea Kula maisha ya Raha.

Mfano Mimi natoa pesa kwa kutumia internet bank kutoka bank kwenda kwenye Miamala ya simu hapo ninakatwa ,,

Halafu tena kutoa kwenye simu kuiweka iwe cash pia nakatwa pesa..

Huo mzigo wote wanaotubebesha ni wa nn?
 
Back
Top Bottom