Hana majibu maana yeye yupo gizani mara baada ya jiwe kumtoka bila kutarajiaKwa hiyo hutaki au na je imeongezeka, imepungua au makato mapya na ni miamala ipi inahusika? Majibu tafadhali ndugu mleta hoja[emoji848]
Awamu ta 5 ndiyo ilikuwa mlezi wa ufisadi tangu dunia ainzeMajizi ya awamu ya sita ni shida.
Kadanganye wapumbavu wenzakoHizo ni rate mpya na infact zimepunguzwa,kwani hujui kwamba transactions zimepunguzwa kwa 43%?
Tatizo lenu Mnakurupukia mkijua ni Kodi mpya wakati ilikuwepo toka mwaka Jana.
Kadanganye wapumbavu wenzako
Kazi yangu ni kuelimisha wapumbavu kama wewe.Kadanganye wapumbavu wenzako
Ngoja nimalize kula ntakujibuHivi hilo gazeti la Serikali huwaga linauzwa wapi?
Huwezi kutengeneza uzalendo kwa kunyonya watu, hakuna mtu anayekataa kulipia tax ila je hakuna vyanzo vingine zaidi ya mifuko ya watu!?Mawazo hasi hayajengi, tutoe ushauri mzuri
Tuwe wazalendo tuijenge nchi yetu
Ndo kitakachotokea mbeleniHadi sasa benki inatoza makato makubwa sana, afu tena wanaongeza.
Tutaanza karibisha majambazi
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Huenda ni maneno ya kojijga ila nadhani hukuwa unapata report za makapuni ya simu ndo maana unaona mbeno ya kijingaππ Haya maneno ya kijinga mliwahi sema hata kwenye tozo za miamala ya simu.. Uchumi sio hisia ni hesabu..
Matokeo yake yakawa hivi π
Hizo taarifa zinatoka kwa watu wa makampuni,TCRA wao Wana zi compile tuu..Huenda ni maneno ya kojijga ila nadhani hukuwa unapata report za makapuni ya simu ndo maana unaona mbeno ya kijinga
Ujinga ni mzigo.Madawa watanunua na mawe..?
Barabara watajenga kwa kutumia nini
Mishahara ya watumishi mnayotaka iongezwe pesa itatoka wapi...?
Ajira mpya mnazolilia kila siku unadhani hao watu tutawalipa upepo..?
Huduma zote za kijamii zinategemea kodi zetu mimi na wewe
Si afadhali wewe umeajiriwa Serikalini.hii inaitwa recycling phenomenonYaani mfano umelipwa mshahara na hio hio serikali ukaingia benki halafu unaenda benki au atm kutoa hela serikali tena wanakukata TOZO(Hapo kama bank nao huwa wanatoza unaliwa huku na huku)
Uongo mtupu
Nakubaliana na wewe kabisaSiipendi CCM, ila suala la kulipa kodi, kuchangia maendeleo ya nchi ni jukumu la kila Mtanzania.
Amani tuliyonayo leo kuna watu wanalipwa mishahara na motisha mbalimbali kuhakikisha tunalala bila bugudha.