Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 13,942
- 15,371
Punguani!Huyu CAG anaitendea haki nafasi yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Punguani!Huyu CAG anaitendea haki nafasi yake
We kwel popomaa,yaan wazir ameagiza CAG akafanye ukaguzi we unasema anaitendea hak nafac yake,kwa lip?Huyu CAG anaitendea haki nafasi yake
Aisee wew livuvuzera sio binadam ni zombieHuyu CAG anaitendea haki nafasi yake
CHACHAWASerikali iliyojaa watakatifu imekwiba hela tena za Wakulima? Yaani wafanyakazi wamedhulumiwa nyongeza ya mishahara na wakulima wamedhulumiwa fedha ya mauzo ya mazao yao? Halafu kuna chama kina alama zikiwakilisha Wakulima na Wafanyakazi? What a Joke!!!
Labda CHAMA CHA WAKUNA NAZI TANZANIA.View attachment 1265446
Huyu CAG anaitendea haki nafasi yake
Hivi wewe pusi una akili timamu kweli???!!Huyu CAG anaitendea haki nafasi yake
Nani alikuambia? Wizi na ufisadi hauwezi kuisha. Upo hata zile nchi ambazo zina kiwango kidogo cha ufisadi. Kinachotakiwa ni viongozi wenye nia na kiu ya kuuchukulia hatua kama ilivyoibuliwa hapa.
Tunakuona mwishimiwa juhudi zako. Unadandia kila kitu, usije dandia rungu uta .....Huyu CAG anaitendea haki nafasi yake
Yuko wapi CAG wa kukagua wizi wa Korosho? CAG wa kiukweli Prof Mussa Assad ameondoka, huyu Kicheere atakuja kufanya maigizo kwa kuchukua maelekezo toka kwa Jiwe. Usanii mtupu!!Waziri wa kilimo mh Hasunga amesema mabilioni ya fedha za korosho yameliwa na wajanja hivyo ameunda tume ya uchunguzi kufuatilia ubadhirifu huo.
Pia mh Hasunga amemtaka CAG kuikagua bodi ya korosho kwani kuna kiasi cha zaidi ya sh bilioni 55 hazijulikani ziliko.
Kadhalika Waziri amewataka wakulima wa korosho ambao bado hawajalipwa wajitokeze wakiwa na vielelezo vyao.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
CAG ni taasisi!Yuko wapi CAG wa kukagua wizi wa Korosho? CAG wa kiukweli Prof Mussa Assad ameondoka, huyu Kicheere atakuja kufanya maigizo kwa kuchukua maelekezo toka kwa Jiwe. Usanii mtupu!!
Waziri wa kilimo mh Hasunga amesema mabilioni ya fedha za korosho yameliwa na wajanja hivyo ameunda tume ya uchunguzi kufuatilia ubadhirifu huo.
Pia mh Hasunga amemtaka CAG kuikagua bodi ya korosho kwani kuna kiasi cha zaidi ya sh bilioni 55 hazijulikani ziliko.
Kadhalika Waziri amewataka wakulima wa korosho ambao bado hawajalipwa wajitokeze wakiwa na vielelezo vyao.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Mbona tunaambiwa wizi na ufisadi umeisha awamu hii??
Kweli kabisa, asisahau kutupia jicho ATCL na Tanroad!Huyu CAG anaitendea haki nafasi yake
Akili yako ya ajabu sana yaani kama wamelipwa kupitia BANK hakuwezi kuwa na ubadhirifu wowote?Hizi ni siasa tena siasa uchwara, malipo yanalipwa kwa njia ya benki. Na utaratibu uulikua kila mkulima analipwa kupitia akaunti yake na serikali ilikua inamuingizia mkulima moja kwa moja bila kupitia chama kikuu au chama cha msingi (Amcos). Sasa hizo fedha zipotee zinapotea kwa njia ipi.
Serikali ilkili adharani tu kwamba haitoweza kumalizia madeni sababu ilipata hasara!.
Korosho ilizoutangazia umma kwamba imenunua kwa tsh 3,300/-wamekuja kuuza 2700 hadi tsh 2000/-. na hadi sasa bado hazijaisha!.
Lakini hizi siasa za kuamisha goli ili kutafuta huruma ya wananchi ni kutuona wakulima wa korosho ni mazumbukuku.
Wajanja kwa sababu ni watu fulani, wangekua wale fulani wangekuwa wezi na wahujumu uchumi!Fedha zimeliwa na wajanja au wezi mkuu?
Hawana hela za kuwalipa wakulima waache ubabaishaji, Jiwe si alikuwepo huko Mtwara alijidai hela zipo?Waziri wa kilimo mh Hasunga amesema mabilioni ya fedha za korosho yameliwa na wajanja hivyo ameunda tume ya uchunguzi kufuatilia ubadhirifu huo.
Pia mh Hasunga amemtaka CAG kuikagua bodi ya korosho kwani kuna kiasi cha zaidi ya sh bilioni 55 hazijulikani ziliko.
Kadhalika Waziri amewataka wakulima wa korosho ambao bado hawajalipwa wajitokeze wakiwa na vielelezo vyao.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!