Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Hata urais ni taasisi, lakini tokea Novemba 2015 imekuwa tahashishiCAG ni taasisi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata urais ni taasisi, lakini tokea Novemba 2015 imekuwa tahashishiCAG ni taasisi!
Hivi hii Serikali imelaaniwa na nani? Mbona mambo yanaenda shaghala baghala, yaani msobwe msobwe tu.Waziri wa kilimo mh Hasunga amesema mabilioni ya fedha za korosho yameliwa na wajanja hivyo ameunda tume ya uchunguzi kufuatilia ubadhirifu huo.
Pia mh Hasunga amemtaka CAG kuikagua bodi ya korosho kwani kuna kiasi cha zaidi ya sh bilioni 55 hazijulikani ziliko.
Kadhalika Waziri amewataka wakulima wa korosho ambao bado hawajalipwa wajitokeze wakiwa na vielelezo vyao.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Dah’ umemstahi sana kumuita popomaWe kwel popomaa,yaan wazir ameagiza CAG akafanye ukaguzi we unasema anaitendea hak nafac yake,kwa lip?
Waziri wa kilimo mh Hasunga amesema mabilioni ya fedha za korosho yameliwa na wajanja hivyo ameunda tume ya uchunguzi kufuatilia ubadhirifu huo.
Pia mh Hasunga amemtaka CAG kuikagua bodi ya korosho kwani kuna kiasi cha zaidi ya sh bilioni 55 hazijulikani ziliko.
Kadhalika Waziri amewataka wakulima wa korosho ambao bado hawajalipwa wajitokeze wakiwa na vielelezo vyao.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Naam Rais Magufuli ashughulike na Mafisadi
Hivi ni wapi uliwahi ona hakimu akijihukumu
Utaambiwa mengi lakini unapaswa usadiki machacheMbona tunaambiwa wizi na ufisadi umeisha awamu hii??
Ni mimi sijaukelewa au? Kawahiyo unamaanisha 2017/18 kilikua cha Mwinyi?
Ni mapema mno kusema anaitendea haki nafasi yake.Huyu CAG anaitendea haki nafasi yake